William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
- Thread starter
-
- #101
Kaka unajaribu kubadili fikra kuwa uhalisia. Mfumo wa serikali kufanya biashara ulifeli Dunia nzima miaka ya '80Mkuu, ahsante kwa mchango wako, lakini dhana hii ni potofu kabisa.
Kwa nini watu wote hao walioko serikalini wote wawe hawana ubunifu, ila hawa wengine ndiko kuwe na wabunifu?
Umetoa mfano huo wa TTCL, ukalinganisha na TIGO, VODA na HALOTEL - hivi kweli unaweza kusema kwamba wafanyakazi walioko TTCL hawana ubunifu kama hao walioko kwenye mashirika hayo? Ushahidi wa hili ni upi?
Serikali wangetaka mashirika yao yafanye vizuri ingewezekana sana!
Basi tu, hatujapata viongozi ambao wana nia ya kuyafanya haya mashirika yawe imara. Ni mambo ya uzembe tu na kukosa usimamizi unaotakiwa kuyawezesha mashirika yafanye kazi vizuri.
Na nchi za ulaya zote walianza kuamini na kusapoti sekta binafsi kabla ya Karne ya 10.
Kampuni kubwa duniani NI za watu binafsi. Zio za ndege Wala za vinywaji.
Tanzania tunawatu wehu kweli. Simba inaajili kocha na wachezaji kutoka kila Kona wenye vipaji ndio wa kapata mafanikio.
Nmb manajment yote wazungu wenye vipawa vya usimamizi wa fedha na taaluma ndio maana imesimama.
Sisi wasomi wetu NI wasaka fursa sio talented. Mtu anakipawa Cha kuwa dokta anasoma uinjinia Sasa akija kwenye utendaji Hana Cha kuongezsa zaidi ya aliyoyasoma pindi akiwa chuo.