KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
"UBUNIFU" ni kitu gani? Ni 'preserve' ya kundi maalum wasioweza kuwa katika jamii serikali inakowapata waajiriwa wake? Hii dhana uliipata wapi?Serikali uajili kwa vyeti. Sio uwezo nA UBUNIFU. Haina uwezo wa kuongeza tija. Unaweza ukaws mbunifu ukaongeza mapato ya kampuni lkn mshahara unabak vile vile
Sasa wewe unadhani hilo tatizo la kuongeza mshahara ndiyo iwe sababu ya serikali kutofanya vizuri katika mashirika yake? Serikali haiwezi kuliondoa tatizo hilo, kama kweli inaona ndilo linalozuia?
Kwa nini ndiyo iwe sababu ya serikali kutoweza kufanikisha kazi zake katika mashirika?
Hujatoa sababu hata moja, ya kueleza kwa nini serikali isifanye biashara na kufanikiwa. Haya unayorudiarudia ni mambo ya kukaririshwa tu basi.