Mkuu achana na imani za dini, mfuasi wa Mwamposa ukimwambia huo mchanga unaonunua hauna msaada wowote anaweza kukukata panga.Wanaweza kuwakamata na kuwafunga na hamna mtanzania atatoka kufanya lolote! Sio kwa hizi IQ zetu mkuu wacha kujipa matumaini, wakamataji wanajua hamna kitu kitatokea na maisha yataendelea shitholeni
Mkuu achana na imani za dini, mfuasi wa Mwamposa ukimwambia huo mchanga unaonunua hauna msaada wowote anaweza kukukata panga.
Imani ya dini ni tofauti na imani ya itikadi ya vyama vya siasa ingawa zinaweza kufanana kwenye maeneo fulani, ila kwa ujumla,
Imani ya dini inahusu masuala ya kiroho, uhusiano wa mwanadamu na Mungu wake, imani kwa Mungu, wakati imani ya itikadi za kisiasa inahusu namna jamii inavyopaswa kuongozwa, imani kwa mtawala/kiongozi, imani kwa mamlaka za duniani.
Mnaweza kumkamata Lissu wafuasi wake wakakaa kimya kwa hofu ya kuumizwa kimwili, lakini ukimkamata Fr. Kitima unagusa mambo ya kiroho, waumini wake wataumia kimwili na kiroho pia, hawatakaa kimya, kuna dini zingine waumini wao hudiriki kujitoa mhanga kutetea imani.
Kwahiyo kama serikali imepanga kuwakamata baadhi ya viongozi wa dini kwa sababu yeyote ile, ijiulize mara mbili kabla ya kutekeleza adhima hiyo.
Serikali icheze na vyote icheze na wanasiasa lakini isicheze na imani za dini na viongozi wake, mtaichoma nchi moto mchana kweupe.
View attachment 3695726
samia na genge lake hilo lazima mlipie.Kila mcsenge aliyehusika kuratibu,kuchochea 29 oktoba sharti afikiwe na mkono wa bwana
Halafu mbona wote hapo ni wa dini ya kikristo? Au hiyo picha ni ya mfano tuu?Imani ya dini ni tofauti na imani ya itikadi ya vyama vya siasa ingawa zinaweza kufanana kwenye maeneo fulani, ila kwa ujumla,
Imani ya dini inahusu masuala ya kiroho, uhusiano wa mwanadamu na Mungu wake, imani kwa Mungu, wakati imani ya itikadi za kisiasa inahusu namna jamii inavyopaswa kuongozwa, imani kwa mtawala/kiongozi, imani kwa mamlaka za duniani.
Mnaweza kumkamata Lissu wafuasi wake wakakaa kimya kwa hofu ya kuumizwa kimwili, lakini ukimkamata Fr. Kitima unagusa mambo ya kiroho, waumini wake wataumia kimwili na kiroho pia, hawatakaa kimya, kuna dini zingine waumini wao hudiriki kujitoa mhanga kutetea imani.
Kwahiyo kama serikali imepanga kuwakamata baadhi ya viongozi wa dini kwa sababu yeyote ile, ijiulize mara mbili kabla ya kutekeleza adhima hiyo.
Serikali icheze na vyote icheze na wanasiasa lakini isicheze na imani za dini na viongozi wake, mtaichoma nchi moto mchana kweupe.
View attachment 3695726
Imani ya dini ni tofauti na imani ya itikadi ya vyama vya siasa ingawa zinaweza kufanana kwenye maeneo fulani, ila kwa ujumla,
Imani ya dini inahusu masuala ya kiroho, uhusiano wa mwanadamu na Mungu wake, imani kwa Mungu, wakati imani ya itikadi za kisiasa inahusu namna jamii inavyopaswa kuongozwa, imani kwa mtawala/kiongozi, imani kwa mamlaka za duniani.
Mnaweza kumkamata Lissu wafuasi wake wakakaa kimya kwa hofu ya kuumizwa kimwili, lakini ukimkamata Fr. Kitima unagusa mambo ya kiroho, waumini wake wataumia kimwili na kiroho pia, hawatakaa kimya, kuna dini zingine waumini wao hudiriki kujitoa mhanga kutetea imani.
Kwahiyo kama serikali imepanga kuwakamata baadhi ya viongozi wa dini kwa sababu yeyote ile, ijiulize mara mbili kabla ya kutekeleza adhima hiyo.
Serikali icheze na vyote icheze na wanasiasa lakini isicheze na imani za dini na viongozi wake, mtaichoma nchi moto mchana kweupe.
View attachment 3695726
Haujaacha kutoa tigo tu mkuuKila mcsenge aliyehusika kuratibu,kuchochea 29 oktoba sharti afikiwe na mkono wa bwana
uwakamate walevi na porno superstars wanini sasa kwamfano gentleman?Imani ya dini ni tofauti na imani ya itikadi ya vyama vya siasa ingawa zinaweza kufanana kwenye maeneo fulani, ila kwa ujumla,
Imani ya dini inahusu masuala ya kiroho, uhusiano wa mwanadamu na Mungu wake, imani kwa Mungu, wakati imani ya itikadi za kisiasa inahusu namna jamii inavyopaswa kuongozwa, imani kwa mtawala/kiongozi, imani kwa mamlaka za duniani.
Mnaweza kumkamata Lissu wafuasi wake wakakaa kimya kwa hofu ya kuumizwa kimwili, lakini ukimkamata Fr. Kitima unagusa mambo ya kiroho, waumini wake wataumia kimwili na kiroho pia, hawatakaa kimya, kuna dini zingine waumini wao hudiriki kujitoa mhanga kutetea imani.
Kwahiyo kama serikali imepanga kuwakamata baadhi ya viongozi wa dini kwa sababu yeyote ile, ijiulize mara mbili kabla ya kutekeleza adhima hiyo.
Serikali icheze na vyote icheze na wanasiasa lakini isicheze na imani za dini na viongozi wake, mtaichoma nchi moto mchana kweupe.
View attachment 3695726
Kuwa Kiongozi wa dini hakukupi Haki ya kukiuka sheria au kuwa Juu ya sheria.Imani ya dini ni tofauti na imani ya itikadi ya vyama vya siasa ingawa zinaweza kufanana kwenye maeneo fulani, ila kwa ujumla,
Imani ya dini inahusu masuala ya kiroho, uhusiano wa mwanadamu na Mungu wake, imani kwa Mungu, wakati imani ya itikadi za kisiasa inahusu namna jamii inavyopaswa kuongozwa, imani kwa mtawala/kiongozi, imani kwa mamlaka za duniani.
Mnaweza kumkamata Lissu wafuasi wake wakakaa kimya kwa hofu ya kuumizwa kimwili, lakini ukimkamata Fr. Kitima unagusa mambo ya kiroho, waumini wake wataumia kimwili na kiroho pia, hawatakaa kimya, kuna dini zingine waumini wao hudiriki kujitoa mhanga kutetea imani.
Kwahiyo kama serikali imepanga kuwakamata baadhi ya viongozi wa dini kwa sababu yeyote ile, ijiulize mara mbili kabla ya kutekeleza adhima hiyo.
Serikali icheze na vyote icheze na wanasiasa lakini isicheze na imani za dini na viongozi wake, mtaichoma nchi moto mchana kweupe.
View attachment 3695726
Report ya Jaji O. Chande iliwanyooshea kidole!?aliyehusika kuratibu,kuchochea 29 oktoba sharti afikiwe na mkono wa bwana
Picha ni halisi.Halafu mbona wote hapo ni wa dini ya kikristo? Au hiyo picha ni ya mfano tuu?
Hatukatai viongozi wa dini wanakosea lkn serikali inapokuwa na double standard kwenye ukamataji ni hatari kwa nchi.Kuwa Kiongozi wa dini hakukupi Haki ya kukiuka sheria au kuwa Juu ya sheria.
Kuna wanaojiita viongozi wa dini Wana kesi za wizi na ubakaji na wengine mauaji ya kimbali
Kama Kuna watu Wana hatua utaona kama hawana utaona pia so relax Mzee.
Hao ni viongozi wa dini gani? Je,hao kama ni viongozi wa dini wao wapo juu ya sheria kama watafanya kinyume na sheria za nchi? Naomba kuelimishwaImani ya dini ni tofauti na imani ya itikadi ya vyama vya siasa ingawa zinaweza kufanana kwenye maeneo fulani, ila kwa ujumla,