Kama Serikali ya CCM imechoka kukaa madarakani ithubutu kuwakamata viongozi wa dini

😂😂😂😂😂
You have made my day, nadhani hata wewe huwa unajicheka ukiwa nje ya humu
it's completetly useless kua na mawazo nonsense kama hayo,

but ikiwa kiongozi wa dini yoyote yule anashukiwa kutenfa uhalifu wa aina yoyote kama ambavyo viongozi wengi wa dini huhusika kwenye dhuluma za kingono mathalani ulawiti kwa vijana wadogo, uchechezi na mauaji ya maalubino kwasababu za ushirikina wao, ili eti wawe maaskofu,

watakamatwa na kutiwa nguvuni mara moja kukabiliana na tuhuma za uhalifu wao mahakamani🐒
 
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

Tahadhali nimetoa ushauri na nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
Huyo nyerere ndo chanzo cha matatizo ya nchi ni mnafki sana
 
Imani ya dini ni tofauti na imani ya itikadi ya vyama vya siasa ingawa zinaweza kufanana kwenye maeneo fulani, ila kwa ujumla,

Imani ya dini inahusu masuala ya kiroho, uhusiano wa mwanadamu na Mungu wake, imani kwa Mungu, wakati imani ya itikadi za kisiasa inahusu namna jamii inavyopaswa kuongozwa, imani kwa mtawala/kiongozi, imani kwa mamlaka za duniani.

Mnaweza kumkamata Lissu wafuasi wake wakakaa kimya kwa hofu ya kuumizwa kimwili, lakini ukimkamata Fr. Kitima unagusa mambo ya kiroho, waumini wake wataumia kimwili na kiroho pia, hawatakaa kimya, kuna dini zingine waumini wao hudiriki kujitoa mhanga kutetea imani.

Kwahiyo kama serikali imepanga kuwakamata baadhi ya viongozi wa dini kwa sababu yeyote ile, ijiulize mara mbili kabla ya kutekeleza adhima hiyo.

Serikali icheze na vyote icheze na wanasiasa lakini isicheze na imani za dini na viongozi wake, mtaichoma nchi moto mchana kweupe.

View attachment 3695726
Unazungumzia viongozi wa dini gani?
 
Mbona viongozi wengine wa dini ya kiislam wako jera na haya unayo yasema hayajawahi kutokea?
Moja ya sababu ya maandamano ya mwembechai unafahamu ?

Na kitu kingine una maanisha serikali ya Samia kama ina mpango wa kukamata viongozi hao wakikristo una maanisha ina mpangoa wa kufanya visasi kama nilivyosema kisa viongozi wa kiislam walifungwa gerezani ? Ni sawa na Samia baada ya yeye kuua Watanganyika mwaka jana akasema mbona sisi( Wazanzibar) tuliuuawa mwaka 2001 nchi ya visasi si ndio ?

Unajua changamoto ya kiongozi mkuu aliye madarakani kama ni mkristo ku deal na viongozi tu wa kiislam kuwa shughulikia na kuwafunga au kiongozi wa kiislam kufanya hivyo lwa viongozi tu wakikristo itatafsrika vipi n wafuasi wa hizo dini ?
Mkuu kumbe siku hizi ukisha kuwa kiongozi wa dini tiyari unakuwa umejiwekea kinga ya kutokugusika na kuwa juu ya Sheria?
Hakuna mahali nimesema wapo juu ya sheria. Mfano nikuulize Kanisa la Ufufuo na Uzima lilipo fungiwa nchi nzima lilivunja sheria gani ?

Padre Kitima alipopigwa vibaya sana alivunja sheria gani ?

Leo, hii kama kuna mpango wa kutaka kukamata viongozi hao wa dini ya kikristo unaweza niambia wamevunja sheria gani ?

Nakukumbusha tena taifa letu limepasuka katika dini hizi kubwa mbili japo binafsi sio mfuasi wa dini yoyote ila natambua namna gani hii suala lina hisia kali sana hasa ikitegemea kiongozi aliyejuu ni wa dini gani na ana shughulikia wafuasi wa dini gani sana bila busara hakuna nchi tena.

Nakukumbusha tena Sheikh Mwaipopo nafikiri una mfahamu na matamko yake ya kutoa uhai wa watu unayafahamu au masheikh wa Bakwata unawafahamu na matamko yao ya kukata vichwa watu unayafahamu lakini katika hii telesis ya kukamatwa viongozi wa kidini sijaona wakitajwa unaweza kujiuliza na kujijibu wewe mwenyewe je, ni nchi ya namna gani tunaweza tengeneza.
 
Watanzania hamna kitu hata umkamate shehe mkuu au Askofu halafu dola ikapiga mkwara kudeal na atakaye leta vurugu, wataufyata tu.
 
Mkuu kumbe siku hizi ukisha kuwa kiongozi wa dini tiyari unakuwa umejiwekea kinga ya kutokugusika na kuwa juu ya Sheria?

Mbona viongozi wengine wa dini ya kiislam wako jera na haya unayo yasema hayajawahi kutokea?
Wako jera kwanin ? ni vyema ukielezea ukisema wapo jera tu bila sababu nalo ni tatizo na hawa wanaotaka kukamtwa je wamekutwa na hatia au wamezungumza nin na hao walio kamatwa walifanya nin au kuzungumza nin itapendeza mkuu
 
Moja ya sababu ya maandamano ya mwembechai unafahamu ?

Na kitu kingine una maanisha serikali ya Samia kama ina mpango wa kukamata viongozi hao wakikristo una maanisha ina mpangoa wa kufanya visasi kama nilivyosema kisa viongozi wa kiislam walifungwa gerezani ? Ni sawa na Samia baada ya yeye kuua Watanganyika mwaka jana akasema mbona sisi( Wazanzibar) tuliuuawa mwaka 2001 nchi ya visasi si ndio ?

Unajua changamoto ya kiongozi mkuu aliye madarakani kama ni mkristo ku deal na viongozi tu wa kiislam kuwa shughulikia na kuwafunga au kiongozi wa kiislam kufanya hivyo lwa viongozi tu wakikristo itatafsrika vipi n wafuasi wa hizo dini ?

Hakuna mahali nimesema wapo juu ya sheria. Mfano nikuulize Kanisa la Ufufuo na Uzima lilipo fungiwa nchi nzima lilivunja sheria gani ?

Padre Kitima alipopigwa vibaya sana alivunja sheria gani ?

Leo, hii kama kuna mpango wa kutaka kukamata viongozi hao wa dini ya kikristo unaweza niambia wamevunja sheria gani ?

Nakukumbusha tena taifa letu limepasuka katika dini hizi kubwa mbili japo binafsi sio mfuasi wa dini yoyote ila natambua namna gani hii suala lina hisia kali sana hasa ikitegemea kiongozi aliyejuu ni wa dini gani na ana shughulikia wafuasi wa dini gani sana bila busara hakuna nchi tena.

Nakukumbusha tena Sheikh Mwaipopo nafikiri una mfahamu na matamko yake ya kutoa uhai wa watu unayafahamu au masheikh wa Bakwata unawafahamu na matamko yao ya kukata vichwa watu unayafahamu lakini katika hii telesis ya kukamatwa viongozi wa kidini sijaona wakitajwa unaweza kujiuliza na kujijibu wewe mwenyewe je, ni nchi ya namna gani tunaweza tengeneza.
Huwa nashangaa wanasema et walikamtwa wapo gerezani issue ni nn nanje walikamatwa bila ushahidi ? kama ni ivyo bas kiongozi alikosea no matter what kama wanaleta mambo ya visas bas wajiulize miaka yote wata tawala wao ? na tunajenga Taifa gan nilishangaa watu issue ya Oct 29 waliposema mbona sisi mbona mkapa alifanya iv je mabaraza ya kikristo hawakukemea ?
 
Kuwa Kiongozi wa dini hakukupi Haki ya kukiuka sheria au kuwa Juu ya sheria.

Kuna wanaojiita viongozi wa dini Wana kesi za wizi na ubakaji na wengine mauaji ya kimbali
Kama Kuna watu Wana hatua utaona kama hawana utaona pia so relax Mzee.

Vipi huyu chawa mwenzenu yuko juu ya sheria?

Siku tatu mbele Kitima alishambuliwa ,je huyu kibaka alikamatwa ?

Gp4URv1XwAE6Ed3.jpg
 
it's completetly useless kua na mawazo nonsense kama hayo,

but ikiwa kiongozi wa dini yoyote yule anashukiwa kutenfa uhalifu wa aina yoyote kama ambavyo viongozi wengi wa dini huhusika kwenye dhuluma za kingono mathalani ulawiti kwa vijana wadogo, uchechezi na mauaji ya maalubino kwasababu za ushirikina wao, ili eti wawe maaskofu,

watakamatwa na kutiwa nguvuni mara moja kukabiliana na tuhuma za uhalifu wao mahakamani🐒
Kobazi on the move.
 
Imani ya dini ni tofauti na imani ya itikadi ya vyama vya siasa ingawa zinaweza kufanana kwenye maeneo fulani, ila kwa ujumla,

Imani ya dini inahusu masuala ya kiroho, uhusiano wa mwanadamu na Mungu wake, imani kwa Mungu, wakati imani ya itikadi za kisiasa inahusu namna jamii inavyopaswa kuongozwa, imani kwa mtawala/kiongozi, imani kwa mamlaka za duniani.

Mnaweza kumkamata Lissu wafuasi wake wakakaa kimya kwa hofu ya kuumizwa kimwili, lakini ukimkamata Fr. Kitima unagusa mambo ya kiroho, waumini wake wataumia kimwili na kiroho pia, hawatakaa kimya, kuna dini zingine waumini wao hudiriki kujitoa mhanga kutetea imani.

Kwahiyo kama serikali imepanga kuwakamata baadhi ya viongozi wa dini kwa sababu yeyote ile, ijiulize mara mbili kabla ya kutekeleza adhima hiyo.

Serikali icheze na vyote icheze na wanasiasa lakini isicheze na imani za dini na viongozi wake, mtaichoma nchi moto mchana kweupe.

View attachment 3695726
Verse moja kakimbia akipatikana atakaa ndani tu

Hao wengine havana issue

Msisahau ulimi uliponza kichwa
 
Imani ya dini ni tofauti na imani ya itikadi ya vyama vya siasa ingawa zinaweza kufanana kwenye maeneo fulani, ila kwa ujumla,

Imani ya dini inahusu masuala ya kiroho, uhusiano wa mwanadamu na Mungu wake, imani kwa Mungu, wakati imani ya itikadi za kisiasa inahusu namna jamii inavyopaswa kuongozwa, imani kwa mtawala/kiongozi, imani kwa mamlaka za duniani.

Mnaweza kumkamata Lissu wafuasi wake wakakaa kimya kwa hofu ya kuumizwa kimwili, lakini ukimkamata Fr. Kitima unagusa mambo ya kiroho, waumini wake wataumia kimwili na kiroho pia, hawatakaa kimya, kuna dini zingine waumini wao hudiriki kujitoa mhanga kutetea imani.

Kwahiyo kama serikali imepanga kuwakamata baadhi ya viongozi wa dini kwa sababu yeyote ile, ijiulize mara mbili kabla ya kutekeleza adhima hiyo.

Serikali icheze na vyote icheze na wanasiasa lakini isicheze na imani za dini na viongozi wake, mtaichoma nchi moto mchana kweupe.

View attachment 3695726
Wakifanya jinai hawa akina Fr. Kitima na Askofu Bagonza sio tu watakamatwa, bali watahukumiwa sawa kama Sheria inavyotamka. Na naitahdharisha sana Serikali yangu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa makini sana baadhi ya hawa viongozi wa dini. Kwenye nchi zengine ndio wamekuwa chanzo cha migogoro na uvunjifu wa amani. Kwa Tanzania tusiwaruhusu. Tuchukue hatua mapema za kuwathibiti!
 
Wanaweza kuwakamata na kuwafunga na hamna mtanzania atatoka kufanya lolote! Sio kwa hizi IQ zetu mkuu wacha kujipa matumaini, wakamataji wanajua hamna kitu kitatokea na maisha yataendelea shitholeni
Thubutu.
Wakimkamata Fr.Kitima wameisha hao wahuni.
Watajutia maamuzi yao. Watameza kaa la moto litakwama kooni. Hawataweza kulitema wala kumeza.
 
Back
Top Bottom