- Thread starter
- #21
Kwani Shehe Mwaipopo ni wa dini gani aliye juu ya sheria.Hao ni viongozi wa dini gani? Je,hao kama ni viongozi wa dini wao wapo juu ya sheria kama watafanya kinyume na sheria za nchi? Naomba kuelimishwa
Kwani Shehe Mwaipopo ni wa dini gani aliye juu ya sheria.Hao ni viongozi wa dini gani? Je,hao kama ni viongozi wa dini wao wapo juu ya sheria kama watafanya kinyume na sheria za nchi? Naomba kuelimishwa
Kuna msenge zaidi ya Muhammad aliyeramba ndimi ya mwanaume mwenzake?Kila mcsenge aliyehusika kuratibu,kuchochea 29 oktoba sharti afikiwe na mkono wa bwana
Umewai kutable case yeyote dhidi yake na polisi au mahakama wakashindwa kumwajibisha kisheria?Kwani Shehe Mwaipopo ni wa dini gani aliye juu ya sheria.
Aisee umenikumbusha duuuuu!
NdioAisee umenikumbusha duuuuu!
That was then this is today after 30 year's ago ambapo uelewa wa wananchi ulikuwa chini, Gwajima alinyamaza angesema su kwa waumini wake sijui kama leo tungekuwa tunazungumza hivi.Wewe utakuwa huwajui waTanzania. Hao viongozi wanaweza kukamatwa na maisha yakaendelea tu bila Shida yoyote. Ngoja nikupe mifano 2:
1. Kuna wakati TANESCO Walikuwa wanajenga lakini kubwa ya Umeme kutoka Ubungo kuelekea Mwenge kupitia jirani na Kanisa la Kakobe. Kakobe akahamasisha waumini wake wakae pale nje na wawazuie TANESCO kupitisha Umeme mbele ya Kanisa. Waumini wakatii na kufanya hivyo. Serikali ikaleta FFU kuwashughulikia , Umeme ukapitishwa na hao waumini na mchungaji wao hawakifanya lolote.
2. Kanisa la Gwajima lilifungiwa, waumini wakaleta fujo za siku mbili tatu wakazimwa na Polisi, maisha yakaendelea
Kwa hiyo usitishe mamlaka Kwa vitu visivyokuwapo.
Awamu hii, ccm inawaona viongozi wa dini ya kikristo kama chadema tuu.Hao ni viongozi wa dini gani? Je,hao kama ni viongozi wa dini wao wapo juu ya sheria kama watafanya kinyume na sheria za nchi? Naomba kuelimishwa
Viongozi wa dini ya kiislam wamekuwa wakikamatwa na kuwekwa ndani kwa miaka mingi na wengine mpaka sasa wako jera na hakujawahi kutokea chochote.Hatukatai viongozi wa dini wanakosea lkn serikali inapokuwa na double standard kwenye ukamataji ni hatari kwa nchi.
Shehe Mwaipopo katangaza hadharani ana kikundi cha uasi, kuna shehe mwingine alisema atachinja watu hata hawakukemewa, hiyo ndiyo tahadhari ninayotoa kwa serikali .
Mkuu kumbe siku hizi ukisha kuwa kiongozi wa dini tiyari unakuwa umejiwekea kinga ya kutokugusika na kuwa juu ya Sheria?Nakuelewa mkuu kama kweli kuna huo mpango bora wakaachana nao tu.
Mambo ya imani ni magumu sana wafuasi wa imani huwa wanaweka akili nyuma hisia mbele ni rahisi sana kuiingiza nchi katika vita na visasi visivyo kwisha.
uwakamate walevi na porno superstars wanini sasa kwamfano gentleman?
yaani kiongozi wa dini hasikilizwi na anapigwa hata na muumini wake tu umkamate umpeleke wap gentleman, mathalani, mtu useless kama huyo askofu wa chadema church?
Serikali sikivu ya CCM ina jukumu la kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM, kuwatumikia wananchi na kuwaletea maendeleo waTanzania wote na sio hiyo nonsense unayowaza 🐒
Kuwa Kiongozi wa dini hakukupi Haki ya kukiuka sheria au kuwa Juu ya sheria.
Kuna wanaojiita viongozi wa dini Wana kesi za wizi na ubakaji na wengine mauaji ya kimbali
Kama Kuna watu Wana hatua utaona kama hawana utaona pia so relax Mzee.
Inategemea kosa walilokamatiwa lkn kama la kuonea na kisiasa ni hatari sana.Viongozi wa dini ya kiislam wamekuwa wakikamatwa na kuwekwa ndani kwa miaka mingi na wengine mpaka sasa wako jera na hakujawahi kutokea chochote.
Alafu ikitokea wamekamatwa watakuwa wamekamatwa kwa sababu za kisiasa na si za kidini.
Jamii idiyotii sheria itashurutishwa ,hii sio Nchi ya kambale kwamba Kila mtu ana ndevu,lazima utaratibu na utii wa sheria bila shuruti uheshimiwe.Chawa mjaniona mko sahihi lakini jamii ina waona ni vituko. Angalia mtu kama Lucas, tlatlaaaaaa na wengine kama wewe jinsi jamii inavyo wadharau
Wanaweza kuwakamata na kuwafunga na hamna mtanzania atatoka kufanya lolote! Sio kwa hizi IQ zetu mkuu wacha kujipa matumaini, wakamataji wanajua hamna kitu kitatokea na maisha yataendelea shitholeni
Ninakubaliana na wewe logically ila naongelea hulka! Watanzania ni watu wasiokuwa serious kwenye vitu vya kimsingi na wanakua serious sana kwa vitu visivyo na maana ndio maana watawala wanaweza kufanya lolote kwa kuwa wanawajua! I am just saying though