Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Dini pekee iliyokataza wizi tena kwa maandiko ni uislam,tena ukaweka bayana kwamba mwizi akatwe mkono.Vipi wenzetu kuiba ni sunna?
 
Makafiri nyie ni jeuri sana.
Ukiona unaumia sana moyo hama nchi ukaishi kule ambako kwa imani yako unaamini hakuna makafri utuache sisi unaotuita makafri tuishi kwa amani kwenye nchi yetu bila kubaguana kwa misingi ya udini. Our government is secular, all people are treated equally regardless of their religions. I perceive that you know nothing about religious tolerance! Thus why yo you come here without logical reasons. I perceive that your mind has been severely affected by religious attitudes
 
Pumba tupu!
 
Mafisadi wenu ndio umetufikisha hapa
NDIYO MAANA HATUANGALII DINI YA MTU TUNATAKA UADILIFU KAMA WA MAJOR GENERAL KIJUU ALIYEKUWA LAND FORCE COMMANDER HAJATEULIWA KWA DINI YAKE YA UISLAMU BALI KWA UADILIFU WAKE ULIOTUKUKA
 
Tatizo waislamu mnaweka elimu ya Quran mbele mnasahau elimu dunia halafu mnakuja kulalamika. Tukisema tuchukue wasomi hapa Tanzania waisalamu ni wachache sana. Pia hata hivyo Mkwere aliwapendelea sana.
Mwaka 1964 tulikuwa twajenga chuo kikuu pale changombe. Ka.fi.ri Nyerere akaifuta EAWS na kuleta Bakwata ili ifilisi Mali zetu.

Piga picha miakahiyo chuo kikuu je tungekuwa na Elimu kiasi gani?

Wagala aka nyerere wote ni watu wa kula vya kinyonga sio vya kuchinja.

One day yes. Endeleeni Kijilimbikizia
 
T
NDIYO MAANA HATUANGALII DINI YA MTU TUNATAKA UADILIFU KAMA WA MAJOR GENERAL KIJUU ALIYEKUWA LAND FORCE COMMANDER HAJATEULIWA KWA DINI YAKE YA UISLAMU BALI KWA UADILIFU WAKE ULIOTUKUKA
Tunacho angalia ni uwiano 20:6 sio sawa no uonevu. Wasomi wapo lakini udini umewajaa tu.

Hapa vita tu. Vya kidini vinaandaliwa.
 
KWA WAJINGA KAMA WEWE NI LAZIMA UAMINI BAKWATA NI YA WAKRISTO KWAHIYO UNAMTUSI ALMARHUM HEMED BIN JUMAA BIN HEMED NA WENZAKE WOTE HUNA AKILI BAKWATA NI YAWAISLAM NA SIYO YA WAKRISTO NA ITAENDELEA KUWA HIVYO.
 
KW
T

Tunacho angalia ni uwiano 20:6 sio sawa no uonevu. Wasomi wapo lakini udini umewajaa tu.

Hapa vita tu. Vya kidini vinaandaliwa.
KWA WAPUMBAVU KAMA WEWE UNAYESHABIKIA VITA NENDA SYRIA UKAONE HIZO DINI ZENU ZINVYOANGAMIZA WATU NA PAKUKIMBILIA HAKUNA
 
Ndiyo maana kwenye nafasi za uteuzi wanajaa watu wa dini moja tu mfano uteuzi wa MADAS uliofanywa jana MADAS wenye majina ya kiislam ni majina 18 kati ya majina 137 yaliyotajwa halafu mnasema serikali haina dini tuache siasa
 
Alipokuwa seminari hujui alifundishwa nini kuhusu dini nyingine
 
Alipokuwa seminari hujui alifundishwa nini kuhusu dini nyingine
Ndiyo teuzi zake zote zimekuwa hivyo Baraza la mawaziri, wakuu wamikoa, wakuu wa Wilaya, Makati business wakuu wa wizara, sasa tusubiri wakurugenzi
 
Ndiyo maana kwenye nafasi za uteuzi wanajaa watu wa dini moja tu mfano uteuzi wa MADAS uliofanywa jana MADAS wenye majina ya kiislam ni majina 18 kati ya majina 137 yaliyotajwa halafu mnasema serikali haina dini tuache siasa

Kwa hiyo ulitaka iwe 137/2 ili iwe nusu kwa nusu?
Mbona Mzee Dau pale Nssf alikuwa haweki nusu kwa nusu,,?

Tanzania hakuna Udini acheni uvivu,, unapata wapi muda wa kuhesabu ma DAS wote 137 na kuwachambua dini zao?
Hujui akina Ramadhan wengine ni Wakristo na akina Richard wengine ni Waislamu?
 
Acha uvivu wa kufikiri hali ipo hivyo teuzi zote zilizofanywa zipo hivyo kwann tusiseme kama tupo kwenye mfumo kristo?
 
Tanzania Government is of Neutrality Is not "Anti-Religion" is this true?
Tunasema Serikali ya Tanzania haina dini lakini watu wake wana dini. Vipi hii.?
Ikiwa serikali ni ya watu na kwa ajili ya watu. Is this true and how far is true?

Serikali pia haina jinsi ila raia wake wana jinsi
 
Serikali kama haina dini, kwa nini wimbo wa taifa unamtaja mungu?

Wakati kuna Watanzania wengine hatuamini katika kuwapo kwa mungu?

Kwani Mungu ana dini au ndiye dini? tafakari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…