Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,245
N kwel unaweza usinielewe ila fikiria kwa makin zaid utanielewa inshaallahLabda n'takuwa sijakuelewa. Hayo maandalizi yalitakiwa kufanywa na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
N kwel unaweza usinielewe ila fikiria kwa makin zaid utanielewa inshaallahLabda n'takuwa sijakuelewa. Hayo maandalizi yalitakiwa kufanywa na nani?
N kwel unaweza usinielewe ila fikiria kwa makin zaid utanielewa inshaallah
Ukiona unaumia sana moyo hama nchi ukaishi kule ambako kwa imani yako unaamini hakuna makafri utuache sisi unaotuita makafri tuishi kwa amani kwenye nchi yetu bila kubaguana kwa misingi ya udini. Our government is secular, all people are treated equally regardless of their religions. I perceive that you know nothing about religious tolerance! Thus why yo you come here without logical reasons. I perceive that your mind has been severely affected by religious attitudesMakafiri nyie ni jeuri sana.
Ukiona unaumia sana moyo hama nchi ukaishi kule ambako kwa imani yako unaamini hakuna makafri utuache sisi unaotuita makafri tuishi kwa amani kwenye nchi yetu bila kubaguana kwa misingi ya udini. Our government is secular, all people are treated equally regardless of their religions. I perceive that you know nothing about religious tolerance! Thus why yo you come here without logical reasons. I perceive that your mind has been severely affected by religious attitudes
NDIYO MAANA HATUANGALII DINI YA MTU TUNATAKA UADILIFU KAMA WA MAJOR GENERAL KIJUU ALIYEKUWA LAND FORCE COMMANDER HAJATEULIWA KWA DINI YAKE YA UISLAMU BALI KWA UADILIFU WAKE ULIOTUKUKAMafisadi wenu ndio umetufikisha hapa
Mwaka 1964 tulikuwa twajenga chuo kikuu pale changombe. Ka.fi.ri Nyerere akaifuta EAWS na kuleta Bakwata ili ifilisi Mali zetu.Tatizo waislamu mnaweka elimu ya Quran mbele mnasahau elimu dunia halafu mnakuja kulalamika. Tukisema tuchukue wasomi hapa Tanzania waisalamu ni wachache sana. Pia hata hivyo Mkwere aliwapendelea sana.
Tunacho angalia ni uwiano 20:6 sio sawa no uonevu. Wasomi wapo lakini udini umewajaa tu.NDIYO MAANA HATUANGALII DINI YA MTU TUNATAKA UADILIFU KAMA WA MAJOR GENERAL KIJUU ALIYEKUWA LAND FORCE COMMANDER HAJATEULIWA KWA DINI YAKE YA UISLAMU BALI KWA UADILIFU WAKE ULIOTUKUKA
Mwaka 1964 tulikuwa twajenga chuo kikuu pale changombe. Ka.fi.ri Nyerere akaifuta EAWS na kuleta Bakwata ili ifilisi Mali zetu.
Piga picha miakahiyo chuo kikuu je tungekuwa na Elimu kiasi gani?
Wagala aka nyerere wote ni watu wa kula vya kinyonga sio vya kuchinja.
One day yes. Endeleeni Kijilimbikizia
KWA WAPUMBAVU KAMA WEWE UNAYESHABIKIA VITA NENDA SYRIA UKAONE HIZO DINI ZENU ZINVYOANGAMIZA WATU NA PAKUKIMBILIA HAKUNAT
Tunacho angalia ni uwiano 20:6 sio sawa no uonevu. Wasomi wapo lakini udini umewajaa tu.
Hapa vita tu. Vya kidini vinaandaliwa.
Ndiyo maana kwenye nafasi za uteuzi wanajaa watu wa dini moja tu mfano uteuzi wa MADAS uliofanywa jana MADAS wenye majina ya kiislam ni majina 18 kati ya majina 137 yaliyotajwa halafu mnasema serikali haina dini tuache siasaSerikali haina dini wala kabila wala jinsia.Mtu yeyote anayetaka uongozi utolewe kidini,kikabila au kijinsia anachemka.Serikali ya Tanzania sio serikali ya shirikisho ya vyama vya kidini ,kikabila au kijinsia kuwa kila chama kipate mwakilishi wao humo!!!!
Tanzania waislamu wengi wako kimkoa wako mikoa mitano tu dar es salaam ,Pwani,tanga,lindi na Mtwara.Huko kwingine mikoa mingine kimkoa wengi wanakuwa ni wakristo na wapagani.
Lakini kuwaita wengi ni waislamu kwenye mikoa niliyoitaja ni kuwaonea pia sababu waislamu wa mikoa hiyo hula nguruwe pori na kunywa pombe kuanzia mnazi,gongo pombe za kisasa nk wengi ni mashahidi kwenye hili watu tunaishi nao mitaani tunawajua.
Ukisema mtu achague mwislamu mtu utakuwa unamaanishi nini? Yeye ni Mungu aangalie mwislamu kweli ni yupi na feki ni yupi?
serikali ya Tanzania si msikiti au kanisa unaotafuta maimamu au mapadri wa kusalisha serikalini maofisini.Hivyo anayetafutwa na kuteuliwa haangaliwi ni swala tano au huwa hasali anatafutwa mchapa kazi.
Wale mliozoea kupewa vyeo kwa sababu ya sigida iliyoko usoni ya kuswali Sana swala tano au kuvaa Rozali au tasbihi ndefu shingoni au mkononi ,au misalaba mingi uliyovaa shingoni hakukufanyi iwe sifa ya kuteuliwa na serikali kwenye awamu ya HAPA KAZI TU.Nenda kawaombe wakupe vyeo misikitini au makanisani.
HAPA KAZI TU sio nani dini gani.Unapotafuta mtu wa kuzoa takataka au kutapisha choo hutafuti dini gani
Alipokuwa seminari hujui alifundishwa nini kuhusu dini nyingineNdiyo maana kwenye nafasi za uteuzi wanajaa watu wa dini moja tu mfano uteuzi wa MADAS uliofanywa jana MADAS wenye majina ya kiislam ni majina 18 kati ya majina 137 yaliyotajwa halafu mnasema serikali haina dini tuache siasa
Ndiyo teuzi zake zote zimekuwa hivyo Baraza la mawaziri, wakuu wamikoa, wakuu wa Wilaya, Makati business wakuu wa wizara, sasa tusubiri wakurugenziAlipokuwa seminari hujui alifundishwa nini kuhusu dini nyingine
Ndiyo maana kwenye nafasi za uteuzi wanajaa watu wa dini moja tu mfano uteuzi wa MADAS uliofanywa jana MADAS wenye majina ya kiislam ni majina 18 kati ya majina 137 yaliyotajwa halafu mnasema serikali haina dini tuache siasa
Acha uvivu wa kufikiri hali ipo hivyo teuzi zote zilizofanywa zipo hivyo kwann tusiseme kama tupo kwenye mfumo kristo?Kwa hiyo ulitaka iwe 137/2 ili iwe nusu kwa nusu?
Mbona Mzee Dau pale Nssf alikuwa haweki nusu kwa nusu,,?
Tanzania hakuna Udini acheni uvivu,, unapata wapi muda wa kuhesabu ma DAS wote 137 na kuwachambua dini zao?
Hujui akina Ramadhan wengine ni Wakristo na akina Richard wengine ni Waislamu?
Tanzania Government is of Neutrality Is not "Anti-Religion" is this true?
Tunasema Serikali ya Tanzania haina dini lakini watu wake wana dini. Vipi hii.?
Ikiwa serikali ni ya watu na kwa ajili ya watu. Is this true and how far is true?
Serikali kama haina dini, kwa nini wimbo wa taifa unamtaja mungu?
Wakati kuna Watanzania wengine hatuamini katika kuwapo kwa mungu?
Una hakika mungu yupo at all?Kwani Mungu ana dini au ndiye dini? tafakari.
mungu ama Mungu?Serikali kama haina dini, kwa nini wimbo wa taifa unamtaja mungu?
Wakati kuna Watanzania wengine hatuamini katika kuwapo kwa mungu?