miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
dini mnzoongelea mmezikopi za kwenu mmeziacha....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa na kujikomba vitawauwa nyie msiyo fanya kazi na kutegemea kupewa vya bureMagufuri si mdini kabisa. uteuzi wa wakuu wa mikoa 19 wakristu na 7 waislamu. wakati serikali iliyopita wakristu walikuwa 5 tu wakati wa uteuzi wa awali wa jk
Ninakumbuka mpaka mzee Mtei alishawahi kumsema JK ni mdini.
"Kwa mwali ikiliwa na kwa kungwi pia"
Fadhali njaa ni wa kumuogopa kama ukimwi huyu mleta uzi na yote ni njaa tuMleta mada ni mtu mufilisi kabisa asie na mbele wala nyuma, ukimuona mtu anaaza kuangalia mambo ya UDINI huyo ni Cancer na anatakiwa apuuzwe, adhauliwe, aogopwe kama njaa!
Mkuu hiyo yote ni njaa inampeleka putaKuna baadhi ya mambo c yakuhoj wala kudadis sana ukiona kaa kimya
Maana tumeigishwa ety muislam kwan we mwarabu.....ha ha ha ha hadini mnzoongelea mmezikopi za kwenu mmeziacha....
katika mikoa 26.
wakristo 20
waislam 6
Ni kwa sababu ya post ya kijinga uliyo ipost utadhani unatumia masaburiduu mbona watu wanacoment kwa jazba