Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Haya ukimaliza kuhusu Dini anza kuchambua na Makabila yao hao wateule wa huyo "Muishiwa sana"
 
Hizi threads si nzuri kabisa,kwani zina kila dalili ya uchochezi..
 
Mi mwana ukawa Ila naunga mkono hoja yako mtani nyumbu wa Lumumba. Hawa ndugu zetu kilakitu wanalalamika , wakati wenzao wala nguruwe wakihaha kupeleka watoto shule wao wafuga midevu wanahaha kuwapeleka madrasa halafu wanategemea waajiriwe sawa na wakristo huko Tanesco.

Ndugu zangu waislam hasa wa pwani somesheni watoto , mjitahidi kubalance madrsa na elimu dunia.Unakuta mtoto ni bingwa wa kuhifadhi Quran lakini shuleni dishi kabisa mwisho wa siku anafeli LA saba au form 4 na kuishia kuwa mjahidina au muuza kahawa
 
nssf.jpg
 
Magufuri si mdini kabisa. uteuzi wa wakuu wa mikoa 19 wakristu na 7 waislamu. wakati serikali iliyopita wakristu walikuwa 5 tu wakati wa uteuzi wa awali wa jk
Njaa na kujikomba vitawauwa nyie msiyo fanya kazi na kutegemea kupewa vya bure
 
Majukumu ya serikali hapewi mtu kwa sababu ya dini yake. Dini huzingatiwa kwenye uongozi kanisani/msikitini
 
Wale wale walikuwa wakimshutumu JK mdini leo Ndio wanabana pua kukemea udini!! ,
Teuzi za Jk hazikuwa na udini hata kidogo, Lakini huyu udini uko wazi kabisa Lakini wale wale nyumbu wa udini eti leo wanakemea watu kusema udini,
Baraza la mawaziri, naibu waziri, katibu wakuu, naibu katibu wakuu, wakurugenzi wa mashirika ya umma, viongozi wa majeshi ya ulinzi, nina hakika 90% ni kristo, halafu eti tunyamaze hapa hatutanyamaza ikifikia kupigania haki yetu wala hatuogopi, kama nchi yetu sote lazima ionyeshe sura ya umoja, Pale Tanesco Ndio Dayosisi nzima iko pale,
 
Ninakumbuka mpaka mzee Mtei alishawahi kumsema JK ni mdini.

"Kwa mwali ikiliwa na kwa kungwi pia"

Magu anatupa wakati mgumu sana kwa hali basi asipewe uenyekiti wa chama maana atakigeuza parokia
 
Mleta mada ni mtu mufilisi kabisa asie na mbele wala nyuma, ukimuona mtu anaaza kuangalia mambo ya UDINI huyo ni Cancer na anatakiwa apuuzwe, adhauliwe, aogopwe kama njaa!
Fadhali njaa ni wa kumuogopa kama ukimwi huyu mleta uzi na yote ni njaa tu
 
Ndugu zetu waislamu, mnapenda sana kituingiza kwenye mambo ya udini, wakristo huwa hawalalamiki, ina maana umeshakagua na kuona humo idadi kidini wewe ni mbaya sana una sumu, mtu snachaguliwa kwa uelewa elimu uwezo na si kwa kigezo cha udini, kazanieni watoto wenu wasome na si elimi ya kiislamu hapana.
 
katika mikoa 26.
wakristo 20
waislam 6

Yaani hadi mkoa wenye waislam wengi kama Tanga .. Mi nadhani angekuwa na nguvu hadi zanzibar basi angeteua walewale...

Kinachonishangaza JK aliitwa mdini !, hadi kunasiku mzee mtei alitupia thread ya humu kwamba sehemu flani waislam wengi ..
 
Hivi unamfahamuje mtu kuwa huyu ni mkristo au msilamu? Kwa kuangalia jina lake au kwa kuangalia jinsi anavyoishi? Ni vyema tukafahamu kuwa Imani ya mtu unaitambua kwa jinsi anavyoishi na si kuangalia jina lake.Kwa mfano mtu ana jina la kikristo na huku yeye ana listi ndefu ya nyumba ndogo, ni mwizi mzuri (Akipata opportunity ya kuiba) nk je na huyu ni mkristo? Je mtu ana jina la kiislamu na huyu yeye ni mteja mzuri wa Bia au kitimoto, ana nyumba ndogo kila kona, ni mwizi mzuri (Akipata opportunity ya kuiba) Je na huyu ni mwiislamu kweli? Hao watu inaosemekana wameteuliwa au hawajateuliwa na ni akina nani hao? Kumbuka inawezeka kuwa na mtu mwenye jina la kiislamu lakini maisha yake yakaoana kabisa na matakwa ya Ukristo wa kweli na PIA inawezeka kuwa na mtu mwenye jina la kikristo lakini maisha yake yakaoana kabisa na matakwa ya Uislamu wa kweli.Nawakilisha
 
Back
Top Bottom