Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Mimi sina dini mkuu, lakini nikiangalia huwa kuna dini moja hawapendi elimu alafu wanalialia kwanini hawapewi nafasi za serikali.
Watu kama hao wakiitawala nchi tutegemee nini?

Elimu
Elimu
Elimu
wagalatia wamejaa kwenye uongozi na bado tanzania ni nchi masikini..hizo elimu zao zimelisaidia nini taifa zaidi ya wizi na ufisadi tu
 
Si mliwagawanya wenyewe ili muwatawale vizuri kazi kwenu sasa. Mlivyokuwa mnakoroga kisukuma majukwaani kutafuta kura mlidhani tumesahau!?
 
wagalatia wamejaa kwenye uongozi na bado tanzania ni nchi masikini..hizo elimu zao zimelisaidia nini taifa zaidi ya wizi na ufisadi tu
Hivi Tanzania kuna wagalatia au ndio hizi dini zimewaharibu?
 
kama hauna wataalamu huko ulitakaje?
Ni mawazo ya kijinga kuendelea kufikiria eti ni wakristo pekee waliosoma nchi hii wakati shule na vyuo vyote vinapokea wanafunzi wa imani zote.Ni Ujua plus
 
wagalatia hawana uadilifu wowote zaidi ya wizi ns ufisadi usitudanganye hapa
Hata kama hawana uadilifu ,wanafukuzwa na kushtakiwa na wenye uadilifu watapatikana tu. Nchi yetu ilioza kutokana na siasa za upendeleo,mara sijui wanamtandao,mara sijui waislam ,mara sijui wakristo. Hii nchio sio ya majaribio,tunahitaji watu wanaoelewa wanachokifanya. Sasa kama hautaki ndio hivyo tena nci yetu inabadilika, vijana wanataka siasa mpya,maana maamuzi yanayofanywa na viongozi wao yana athiri maisha yao.
 
Ni mawazo ya kijinga kuendelea kufikiria eti ni wakristo pekee waliosoma nchi hii wakati shule na vyuo vyote vinapokea wanafunzi wa imani zote.Ni Ujua plus

sasa si wangeteuliwa...mkipewa nafasi kama dau mnageuza ofisi misikiti....hovyo kabisa

Na kuna yule CAG ajiandae kufunga virago
 
Hivi dini ndo inayofanya kazi au utendaji wa mtu. Hoja ya udini sijui nini haina mashiko kabisa
Ilikuwa ni mojawapo ya Ilani ya Chama ili kuwahadaa waislamu wasiokuwa na uelewa wakipigie chapuo chama sasa kuna waliondeleza na wakatumia dini kama kigezo huko makazini na kwingineko.

Ikani ikageuka ikawa ndiyo mtaji, sasa mtaji umeota mizizi watu wameona dini ndiyo mtaji wa kazi.
Serikali inaanza kujichomoa ktk hilo lkn haya yote yametengenezwa na serikali hiyo hiyo ya chama cha mapinduzi
 
Maana tumeigishwa ety muislam kwan we mwarabu.....ha ha ha ha ha
mtu anakazana na ukristo hivi kweli tunafikiri kwa kina kweli ?tujaze watu kisa dini fulani huku utendaji mbovu ... kweli nazidi kuamini mpokeaji huwa anajifanya mjuzi kuliko mwanzilishi
 
sasa kama haina dini kwa nini wabunge wanaapa kwa dini zao na spika wa bunge anaomba na kusali kabla ya kuanza bunge

Huyo mungu wanayeapa kwao si mungu wa serikali ni mungu binafsi ni kama yule wa wimbo wa taifa.

Ukiimba ule wimbo wa MUNGU IBARIKI AFRIKA.Mungu unayemtaja hapo si mungu wa Afrika NI MUNGU BINAFSI.Mfano mtu anayeabudu nyoka kama mungu wake akiimba huo wimbo Wa mungu ibariki afrika hapo penye mungu anamaanisha nyoka.Anayeabudu nguruwe kama mungu akiimba Mungu anayemwimba anamaanisha nguruwe.Kwa mwislaamu anamaanisha Allah ,Kwa mkristo anamaanisha Yehova,Kwa mpagani anamaanisha babu yake aliyekufa nk

Hiyo miungu wanayoomba haina uhusiano na serikali au bunge ni miungu binafsi ndio maana Hata kingunge akiapishwa alikuwa akiapa kivyake vyake
 
Magufuli tenda haki, usiwe kama firauni aliyewainua watu wake na kuwadhalilisha waisrael, Muogope Mungu ukijua kuna siku ya haki, siku ya hukumu! Waislam sio wajinga kulalamika! Muogope Mungu, wewe ni mwanadamu tu usijione una akili sana kwa kuwa tumekupa urais
Usingozwe na dini.
Kama wewe umepiga shule haswa na ukaelimika hutahitaji kusema haya unayoyaongea otherwise elimu iwe ya kuunga unga, hakika utahitaji daraja la kukuvusha.
 
Usingozwe na dini.
Kama wewe umepiga shule haswa na ukaelimika hutahitaji kusema haya unayoyaongea otherwise elimu iwe ya kuunga unga, hakika utahitaji daraja la kukuvusha.
shuleni kuna watu wa dini zote kwanini makazini wanajazana wagalatia tu?
 
Majini/mapepo yalipotolewa na Yesu unajua yaliishia wapi?
Leo ni chakula chako
Akili ya nguruwe pori

kwahiyo na nyinyi mnavyofuga majini tuwaite na nyinyi jamii ya nguruwe hao wa enzi za Yesu?
 
Sawa lakini needs training kutika shule nzuri. Shule za kiislamu zinashika mkia , mlipigania majuba mashuleni mkapata. Priority zenu sio elimu dunia bali elimu ahera
 
Back
Top Bottom