Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Sisi tanzania hatuna rais anaeye itwa magifuli labda huko kwenu zanzibari!
 
MITHALI KUTOKA KATIKA AGANO LA UKOMBOZI
(1) Mfalme mwenye hekima huunganisha watuwe,bali imeharibika kaziye yule awagawaye watu!

(2) Upendeleo kwa mfalme ni aibu, na wala haimpasi sifa hiyo.

(3) Haki huliinua Taifa, bali dhulma huliangusha.
 
Kimsingi mkuu karume hii nchi ilikuwa imeoza sana,karibia kila sehemu ilipaswa iwe 'overhauled' ili kuifufua upya ifanye kazi vyema,ndicho kitu nafikiri anachofanya mh.rais wetu mtukufu,anajaribu kuchagua timu ya wasaidizi wake ambao anaona wataendana na kasi na matarajio yake,kwa hyo mkuu ni vizuri tumpatie muda Mh.Rais achague wasaidizi wake watakaomfaa bila kujali dini,kabila au itikadi ya mtu,tumpime baada ya miaka yake 5 tukiona hajapeform basi tumuondoe
 
Sawa mpo 65% lakini wasomi waislamu hata 5% hamfiki
Eti mpo 65% kwa hesabu ya sensa ya mwaka gani nyie mkawa wengi nchi hii,,

Au unachukua hesabu za mikoa ya pwani ,na Zanzibar ? Tafiti yako ya 65% vip umeifanyia pale kwenye chuo chenu alichowapa Mkapa kile cha Tanesco Morogoro au uliifanyia wapi,, kama ulisomea hapo inabidi tuanze kuangalia sasa ufaulu wa wanafunzi wa vyuo vyenu,, data zako hazieleweki pia zinatia shaka.
 
Pamoja na sheria, taratibu na kanuni za serika watu wengi duniani hufanya kazi kulingana na utamaduni na mazingira waliyolelewa na ndiyo maana ukienda Marekani kule maofisini unakuta watu wanafanya tafrija zinazoendana na utamaduni wao kama "halloween". Vivyo hivyo japokuwa watu wanapaswa kufanya kazi kulingana na sheria, taratibu na kanuni kwa Tanzania ila hawako hivyo kwa sababu ni binadamu na binadamu huishi kulingana na alivyolelewa na kukuzwa. Unapokuwa na jamii yenye makundi mbalimbali na ikatokea una kundi moja tu linaendesha serikali ni rahisi sana kwa mahitaji ya watu wa makundi mengine kusahaulika. Na ndiyo maana kuna kelele za kuongeza uwiano wa wanawake katika nafasi za uongozi kwa sababu hiyohiyo kuwa kunapokuwa na wanaume wengi kila mahali ni rahisi kwa mahitaji ya wanawake kusahaulika.
kamanda maelezo yako mazuri ila lakini bado najiuliza. tunahitaji kubalance udini kwa maana hii ? ili tuweke uwiano wa kutusaidiaje? katika harakati za kukuza uchumi ? bado inanitatiza.tunapoanza kuchanganya dini na siasa hapo ndipo sasa tunapoteza uelekeo. na wenzetu wanatumia weekness hizi hizi kutuchanganya ili tupoteze mwelekeo tusiweze fanya maendeleo ili tuendelee kutawaliwa kifikra. ni lazima tujitambue
 
Unamtaka rais aangalie kiasi cha juzuu alizomaliza mtu halafu amteue ?
 
kamanda maelezo yako mazuri ila lakini bado najiuliza. tunahitaji kubalance udini kwa maana hii ?
Athali ya hili jambo limeumiza sana toka wazee wetu kwa mwenye mtazamo wa karibu ataona mimi mdini saana huu ni mfumo ambao kuuondoa itachua miaka mingi sana hivi tujiulize mtu anapo teuliwa kuwa wazir au katibu mkuu au cheo chochote tu familia yake itasoma shule nzur na ndugu na jamaa watanufaika na hilo athar zake lazima uwe na mtazamo wa jicho la tatu hao hao ndio wanakwenda kwa kupeana vi memo angalia hata yale majipu ya benki kuu
 
Fuatilia chuo kikuu cha waislam pale morogoro utalia sana. Mhitimu anakuwa na ufahamu wa form six
 
Na siku zote ukiwa na ufaham na dini yako ukisema tu ukwelii utaitwa mdini udini ni huu unaojidhihirisha kwa yanayo tokea hawa magalatia wanataka waislam poa wa kukaa bar staree nyingi ndio anaonekana yuko vizur mtu kama asad anaejua dini yake anaonekana mdini aisee
 
Mlitaka kujenga chuo kikuu Nyerere akawazuia,, Alafu Mkapa akawapa Kilichojengwa tayari Cha Tanesco Morogoro,,

Kichekesho hamna vijana wenye Credit za kueleweka kujaza chuo chenu,, Form Iv na Vi Seminary zenu zinaongoza kwa Div.O sasa hata kama mtu atakuwa na Degree ya hivyo vyuo vyenu vya kufaa vishungi na vikofia kwa kweli bado atakuwa hana Sifa za kueleweka kwenye Soko la Ajira popote duniani labda huko arabuni.

Ok Nyerere alikataza msijenge Chuo, Mwinyi mbona hakuruhusu mjenge kwenye kiwanja alichokataza Nyerere?

Mkapa kawapa chuo ,,Mkwere kawajengea wapi chuo? ,Nyerer aliwapa Eneo Kwa Ufisadi wenu mmeliuza eneo lote la Chang,ombe kwa Wahidi na BAKWATA lenu lipo kimya tu,, wao wapo bise na vibali vya kuingiza Sukari na kuingiza Maroli makubwa nchini ktk kufisadi hii Nchi yetu.
 
Punguza jazba kidogo comrade!! Kwahiyo kwako wewe ukiona jina Abdallah, Athumani au Habiba unafarijika sana ee?!😱😱😱😱 Dini sio jina shekhe, wapo kina Abdallah wanaishi kama kina John, na wapo kina Andrew wanaishi kama kina Hussein🙄🙄🙄 au hili haulijui?

Kwahiyo kwako jina ndo linathibitisha dini basi icheki hoja yako tena, kuna faida gani ya kuwa Abdallah ambaye haendi msikitini wala juzuu hajui?!😳😳
 
Hatuendeshi nchi kwa dini, kinachoangaliwa kwenye teuzi ni Utaifa. Sasa wewe kama unataka kigezo cha udini teuzi za serikali hakuna nafasi.
 
Back
Top Bottom