Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
mungu, Mungu.mungu ama Mungu?
Una hakika yupo? Unaweza kuthibitisha yupo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mungu, Mungu.mungu ama Mungu?
Una hakika mungu yupo at all?
Utasemaje mimi ni look up for "evidences" wakati wewe ndiye unasema yupo?Yupo! look up for evidences.....
Utasemaje mimi ni look up for "evidences" wakati wewe ndiye unasema yupo?
Wewe ndiye unatakiwa kunipa proof kwamba yupo.
Acha uvivu wa kunipa mimi kazi yako. Anayesema kitu kipo ndiye ana mzigo wa kuthibitisha. Anayebisha anaweza kubisha kwa kuomba uthibitisho tu kwamba kitu kipo.
Unaweza kuthibitisha mungu yupo?
Unajuaje kwamba mimi ndiye nisiyejua na wewe ndiye unayejua?Mimi sina cha kuthibitisha. Asiyejua ndiye hutafuta kujifunza.... Wewe kijana vipi?
Hakuna waislam tanzania,Bali kuna wanaojifanya waislamu.kama huamini nenda baa uoneKwa hiyo haina dini halafu wakuu wa mikoa wanakuwa waislamu sita na wakristo zaidi ya ishirini. Sasa hao wakristo wamepataje uteuzi kama serikali haina dini na nafasi hazikutangazwa popote!!!
Huu udini wa Magufuli utaligawa taifa na kuvuruga umoja wa kitaifa. Toka ameanza kufanya teuzi jicho lake limeona asilimia 85 wakristo na asilimia 15 waislam. Sasa hawa wakristo wakianza kutumia vibaya madaraka na kuweka wakristo wenzao kama ilivyo Tanesco tutafika? Mimi ni mkristo ila sipendi hiyo hali
Ukivuta shisha usisahau kunywa maziwa upumbavu wa kuzaliwa nao hauna tiba.Hakuna waislam tanzania,Bali kuna wanaojifanya waislamu.kama huamini nenda baa uone
Kwani wakristo na waislam wapo nusu kwa nusu kitaaluma?Kwa hiyo haina dini halafu wakuu wa mikoa wanakuwa waislamu sita na wakristo zaidi ya ishirini. Sasa hao wakristo wamepataje uteuzi kama serikali haina dini na nafasi hazikutangazwa popote!!!
Huu udini wa Magufuli utaligawa taifa na kuvuruga umoja wa kitaifa. Toka ameanza kufanya teuzi jicho lake limeona asilimia 85 wakristo na asilimia 15 waislam. Sasa hawa wakristo wakianza kutumia vibaya madaraka na kuweka wakristo wenzao kama ilivyo Tanesco tutafika? Mimi ni mkristo ila sipendi hiyo hali
umelielewa swali langu?mungu, Mungu.
Una hakika yupo? Unaweza kuthibitisha yupo?
Unamaanisha kuuliza mungu (anayeanza na herufi ndogo, hivyo ana walakini kwa kuwa kaanza na herufi ndogo na si mkamilifu) au Mungu anayeanza na herufi kubwa na hivyo mkuu na mkamilifu, sivyo?umelielewa swali langu?
nilitaka kujua anayemtaja,kwa sababu katika maelezo yake aantoa maan tofauti na alivyoandikaUnamaanisha kuuliza mungu (anayeanza na herufi ndogo, hivyo ana walakini kwa kuwa kaanza na herufi ndogo na si mkamilifu) au Mungu anayeanza na herufi kubwa na hivyo mkuu na mkamilifu, sivyo?
Unapoandika "anayemtaja" "aantoa" "alivyoandika" unamkusudia nani hapo?nilitaka kujua anayemtaja,kwa sababu katika maelezo yake aantoa maan tofauti na alivyoandika
mbona bado mnaichagua ccm ,huwa nashangaa kuona muislam anaishabikia ccm ,so adui wa waislamu ni waislam wenyewe,hata mikoa yenye wakristo wengi kama mwanza,mbeya ,arusha ,kilimanjaro ccm haikubaliki lakini nenda pwani,tanga,lindi ndio ngome ya ccm maajabu ya duniaMwaka 1964 tulikuwa twajenga chuo kikuu pale changombe. Ka.fi.ri Nyerere akaifuta EAWS na kuleta Bakwata ili ifilisi Mali zetu.
Piga picha miakahiyo chuo kikuu je tungekuwa na Elimu kiasi gani?
Wagala aka nyerere wote ni watu wa kula vya kinyonga sio vya kuchinja.
One day yes. Endeleeni Kijilimbikizia
Disco kaingia mmasai...huku mwislamu, huku mkristo...huyu aliyeingia sasa kaja kuwapinga wote! Asiyeamini uwepo wa M/mungu (Mpagani)Unajuaje kwamba mimi ndiye nisiyejua na wewe ndiye unayejua?
Unajuaje kwamba mimi ni kijana?
Au unaamini bila kujua kwamba mimi ni kijana kama unavyoamini bila kujua kwamba mungu yupo na kufikiri kwamba kuamini hivyo ni kujua?
Unaweza kuthibitisha kwamba mungu yupo?
Mimi hata mpagani nampinga.Disco kaingia mmasai...huku mwislamu, huku mkristo...huyu aliyeingia sasa kaja kuwapinga wote! Asiyeamini uwepo wa M/mungu (Mpagani)
Ukiangalia hiyo list utaona kuna uhusiano kati ya taifa kuamini sana mungu na kukosa maendeleo.Mataifa ambayo watu wake wana amini sana katika dini na Mungu.