Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Yupo! look up for evidences.....
Utasemaje mimi ni look up for "evidences" wakati wewe ndiye unasema yupo?

Wewe ndiye unatakiwa kunipa proof kwamba yupo.

Acha uvivu wa kunipa mimi kazi yako. Anayesema kitu kipo ndiye ana mzigo wa kuthibitisha. Anayebisha anaweza kubisha kwa kuomba uthibitisho tu kwamba kitu kipo.

Unaweza kuthibitisha mungu yupo?
 
Mimi sina cha kuthibitisha. Asiyejua ndiye hutafuta kujifunza.... Wewe kijana vipi?
 
Mimi sina cha kuthibitisha. Asiyejua ndiye hutafuta kujifunza.... Wewe kijana vipi?
Unajuaje kwamba mimi ndiye nisiyejua na wewe ndiye unayejua?

Unajuaje kwamba mimi ni kijana?

Au unaamini bila kujua kwamba mimi ni kijana kama unavyoamini bila kujua kwamba mungu yupo na kufikiri kwamba kuamini hivyo ni kujua?

Unaweza kuthibitisha kwamba mungu yupo?
 
Kwa hiyo haina dini halafu wakuu wa mikoa wanakuwa waislamu sita na wakristo zaidi ya ishirini. Sasa hao wakristo wamepataje uteuzi kama serikali haina dini na nafasi hazikutangazwa popote!!!

Huu udini wa Magufuli utaligawa taifa na kuvuruga umoja wa kitaifa. Toka ameanza kufanya teuzi jicho lake limeona asilimia 85 wakristo na asilimia 15 waislam. Sasa hawa wakristo wakianza kutumia vibaya madaraka na kuweka wakristo wenzao kama ilivyo Tanesco tutafika? Mimi ni mkristo ila sipendi hiyo hali
Hakuna waislam tanzania,Bali kuna wanaojifanya waislamu.kama huamini nenda baa uone
 
Kwa
Kwa hiyo haina dini halafu wakuu wa mikoa wanakuwa waislamu sita na wakristo zaidi ya ishirini. Sasa hao wakristo wamepataje uteuzi kama serikali haina dini na nafasi hazikutangazwa popote!!!

Huu udini wa Magufuli utaligawa taifa na kuvuruga umoja wa kitaifa. Toka ameanza kufanya teuzi jicho lake limeona asilimia 85 wakristo na asilimia 15 waislam. Sasa hawa wakristo wakianza kutumia vibaya madaraka na kuweka wakristo wenzao kama ilivyo Tanesco tutafika? Mimi ni mkristo ila sipendi hiyo hali
Kwani wakristo na waislam wapo nusu kwa nusu kitaaluma?
 
umelielewa swali langu?
Unamaanisha kuuliza mungu (anayeanza na herufi ndogo, hivyo ana walakini kwa kuwa kaanza na herufi ndogo na si mkamilifu) au Mungu anayeanza na herufi kubwa na hivyo mkuu na mkamilifu, sivyo?
 
Unamaanisha kuuliza mungu (anayeanza na herufi ndogo, hivyo ana walakini kwa kuwa kaanza na herufi ndogo na si mkamilifu) au Mungu anayeanza na herufi kubwa na hivyo mkuu na mkamilifu, sivyo?
nilitaka kujua anayemtaja,kwa sababu katika maelezo yake aantoa maan tofauti na alivyoandika
 
nilitaka kujua anayemtaja,kwa sababu katika maelezo yake aantoa maan tofauti na alivyoandika
Unapoandika "anayemtaja" "aantoa" "alivyoandika" unamkusudia nani hapo?
 
Mwaka 1964 tulikuwa twajenga chuo kikuu pale changombe. Ka.fi.ri Nyerere akaifuta EAWS na kuleta Bakwata ili ifilisi Mali zetu.

Piga picha miakahiyo chuo kikuu je tungekuwa na Elimu kiasi gani?

Wagala aka nyerere wote ni watu wa kula vya kinyonga sio vya kuchinja.

One day yes. Endeleeni Kijilimbikizia
mbona bado mnaichagua ccm ,huwa nashangaa kuona muislam anaishabikia ccm ,so adui wa waislamu ni waislam wenyewe,hata mikoa yenye wakristo wengi kama mwanza,mbeya ,arusha ,kilimanjaro ccm haikubaliki lakini nenda pwani,tanga,lindi ndio ngome ya ccm maajabu ya dunia
 
Unajuaje kwamba mimi ndiye nisiyejua na wewe ndiye unayejua?

Unajuaje kwamba mimi ni kijana?

Au unaamini bila kujua kwamba mimi ni kijana kama unavyoamini bila kujua kwamba mungu yupo na kufikiri kwamba kuamini hivyo ni kujua?

Unaweza kuthibitisha kwamba mungu yupo?
Disco kaingia mmasai...huku mwislamu, huku mkristo...huyu aliyeingia sasa kaja kuwapinga wote! Asiyeamini uwepo wa M/mungu (Mpagani)
 
Disco kaingia mmasai...huku mwislamu, huku mkristo...huyu aliyeingia sasa kaja kuwapinga wote! Asiyeamini uwepo wa M/mungu (Mpagani)
Mimi hata mpagani nampinga.

Kwa sababu mpagani kuna vitu vyake anaamini. Kuna mizimu etc.

Mimi hata hiyo mizimu naipinga.

Kwa hiyo hata kwenye upagani sipo.
 
Mataifa ambayo watu wake wana amini sana katika dini na Mungu.
 
Attachments

  • 1469193132183.jpg
    1469193132183.jpg
    30.2 KB · Views: 38
Mataifa ambayo watu wake wana amini sana katika dini na Mungu.
Ukiangalia hiyo list utaona kuna uhusiano kati ya taifa kuamini sana mungu na kukosa maendeleo.

Mataifa mengi yaliyo juu kabisa kule kwenye asilimia nyingi za kuamini mungu hayana maendeleo, mataifa mengi yenye maendeleo hayana asilimia kubwa ya watu wanaoamini mungu.

Hii ina mantiki. Watu wanaoamini sana mungu hawatafanya kazi sana wala kusoma sana ili kupata maendeleo. Watasali sana na kuomba sana dua badala yake. Badala ya kusoma wajue mazingira yao na kuyakabili, watasoma vitabu vya dini kumjua mungu.

Kukitokea ukame kwa sababu mvua hainyeshi, wataona jambo muhimu kabisa ni kwenda msikitini au kanisani kuomba mungu, badala ya kuchunguza kwa nini mvua hainyeshi na kugundua kwamba wamekata miti kwa mfano, na kuacha tabia hiyo.

Imani ya mungu pia inadumaza akili. Ukitaka kusema watawala utaambiwa mamlaka ya watawala wamepewa na mungu. Watawala nao kwa kujua hilo wamekuwa wakitumia imani ya mungu kutawala watu na kugandamiza wananchi kuanzia falme za zama za kale za Wamisri na Wasumeria mpaka leo kina Donald Trump wanavyojinafiki wazi kwa walokole.

It makes perfect sense kwa nini nchi za Afrika zinakuwa masikini, moja ya sababu kubwa inayofanya hili ni imani kubwa ya kuwepo mungu.
 
Km akili za wabongo ndoziko hivi czani km kunauhalali mtu kujiita msomi, waafrika lazima mtawaliwe
 
Back
Top Bottom