Kama siku zingerudishwa nyuma ungefunga hiyo ndoa?

Kama siku zingerudishwa nyuma ungefunga hiyo ndoa?

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Kichwa cha habari chahusika.

Kila mtu ajimwage hapa. Endapo tarehe zingerudi nyuma hadi ile siku uliyofanya maamuzi ya kufunga nae ndoa, Je ungebaki ndoani au ungetengua maamuzi?

1627977906943.png

 
Ndoa haikuwa ndoano kama hivi! ni hadi pale warumi walipoamua kutoa vyeti kwa kila tukio la dini na kijamii!!wakakazia na kiapo cha mke mmoja tu ambacho ni sheria ya mapinduzi ya viwanda ya mwaka 1800 ambapo mke mmoja na watoto wawili ilikua rahisi kuwasafirisha kutoka kiwanda kimoja hadi kingine!

WAKAIFANYA SHERIA YA MUNGU NA KWAKUWA KINA DADA WANA WIVU WAKAFURAHIA!!Pia ikatungwa na sheria ya kuwalinda watoto na mama zao!!wanaume tukabaki wakiwa hadi leo wakati mwanzo haikuwa hivyo!

Ibrahimu, yakobo, suleiman walioa wengi na Mungu akabariki!! YESU HAKUOA NDIO MAANA HAKUJA NA UTARATIBU MPYA WA NDOA ZAIDI WA ULE WA MABABU ZAKE NA ALIISHI KWA MUDA MFUPI SANA!!!
 
Ndoa haikuwa ndoano kama hv! ni hadi pale warumi walipoamua kutoa vyeti kwa kila tukio la dini na kijamii!!wakakazia na kiapo cha mke mmoja tu ambacho ni sheria ya mapinduzi ya viwanda ya mwaka 1800 ambapo mke mmoja na watoto wawili ilikua rahisi kuwasafirisha kutoka kiwanda kimoja hadi kingine!...
Kama ni mtihani ungepata 0%

Haujajibu ulichoulizwa.
 
Mimi nitamuoa tena na tena tokea tumefunga ndoa mpaka sasahivi sijutii kufunga ndoa na mwenza wangu. Hakika Mwenyezi Mungu kaniletea furaha hii naomba iwe ya milele kwangu na mke wangu pamoja na kizazi changu.[emoji2973]

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Mkeo mwenye ngoma huyo 😅😅😅 ambaye nae anaua watu mahali
 
Nitaendelea kumchagua yeye, amenivumilia, anaendelea kunipenda, kuniheshimu, kunitunza for more than 17yrs plus tuko kama tumekutana jana. Mungu atubariki kizazi na kizazi.Sio kwamba hatugombani, hatununiani.

Tunaongea, tunakubaliana tumeamua kufurahia maisha kwani hakuna mengine kama tusipoyatengeneza hayo maisha au ndoa ya furaha sisi wenyewe. Naomba Mungu iwe kwetu na kizazi na kizazi. Tuliamua maisha ni sisi, furaha yetu iko ndani yetu.
 
Back
Top Bottom