Kama siku zingerudishwa nyuma ungefunga hiyo ndoa?

[emoji16][emoji16][emoji16]. I have my fingers crossed hapa mkuu. Nasubiria jibu. Ila ninavyomfahamu huyo malaika si ajabu nikaishia kupewa za uso kwa maneno makali na maonyo kadhaa.
[emoji23][emoji23][emoji23]eti kupewa za uso na maonyo, mimi ni mtu peace sana usione humu JF. Nje mkimya sipendagi hata kuongea
 
Mimi nahitaji mwanamke challenging kama wewe cariha. Wengine hawa wananiboa tu. Mwanamke ngangari kama wewe ndo kitaeleweka ng'wanawane. Kama uko tayari niPM tulianzishe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti ngangari mwenyewe huwa ni mpole sipendagi usumbufu kabisa waweza boreka oooh.
Ila wangosha huwa wapole na hupenda sana bana
 
Yeye kafeli kwenye ndoa why blame others hata watu wakiruhusiwa waoane hovyo hovyo tu usipobadilika Napo waona nogwa tu.
Shida ni kwamba wanataka watu perfect wakati yeye mwenyewe ana mapungufu.

Ukitaka mtu mwema inabidi wewe mwenyewe uwe mwema na wala sio suala la kuoa wake wengi.
 
Na dunia hii hamna aliye perfect never on earth kila mtu ana mapungufu yake kikubwa upendo basi na ukishajua kila mtu ana vimadhaifu flani na wewe pia unavyo vile vile unavumiliwa, kukwazana, kutofautiana kupo, pia kuvurugwa na kukoseana kupo kubwa ya yote msamaha na kupendana hushinda vyote.

N. B kuna wale watu kazi yao huwa ni kukwaza wengine makusudi kuumiza wengine bila kujali hisia wala utu hao ni wabinafsi bora waachwe dunia iwafunze na wao huwa rahisi kuona mapungufu ya wengine
 
Kweli kabisa.
 
Hata mimi 12 years siwezi kumwacha kamwe. Huwa nayatafakari mazuri yake tuu. Sikubali kabisa kupoteza muda eti kufikiria mapungufu yake.... Maana mazuri yake ni mengi mno kuliko mapungufu.

Pili kila nikimwazia pale anaponikosea basi wazo hunijia je mimi namkosea mangapi?? na ananivumiliaaa... Nikiwaza hayo nasamehe haraka tunasonga mbele.. Penye upungufu wake ni wajibu wangu kukamilisha.. Na Penye udhaifu wangu basi yeye ndiye wa kunishika mkono.
 
Kama ni mtihani ungepata 0%

Haujajibu ulichoulizwa.
Nimejibu sema we si kipanga!!!humu asilimia kubwa wanajuta kufunga ndoa hizi za kirumi ambazo ni ndoano kwao!!!!

Warumi wangeleta sheria ya mke zaidi ya mmoja ndoa zingedumu sana na wanawake wivu wa kijinga ungeisha na wanaume tungeishi maisha marefu!vifo vyetu vinachangiwa na kuoa mke mmoja!!!!
 
Back
Top Bottom