ANKO JEI
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,302
- 2,462
Very inspiring hongera sana dada angu.Nitaendelea kumchagua yeye, amenivumilia, anaendelea kunipenda, kuniheshimu, kunitunza for more than 17yrs plus tuko kama tumekutana jana. Mungu atubariki kizazi na kizazi.Sio kwamba hatugombani, hatununiani.
Tunaongea, tunakubaliana tumeamua kufurahia maisha kwani hakuna mengine kama tusipoyatengeneza hayo maisha au ndoa ya furaha sisi wenyewe. Naomba Mungu iwe kwetu na kizazi na kizazi. Tuliamua maisha ni sisi, furaha yetu iko ndani yetu.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app