Kama siku zingerudishwa nyuma ungefunga hiyo ndoa?

Kama siku zingerudishwa nyuma ungefunga hiyo ndoa?

Alinipenda pale nilipokuwa sina kitu, nilipokuwa na kipato cha chini
na mpaka sasa nina kipato cha kawaida mapenzi yake yanazidi kuongeza
tu! Anampenda Mungu kuliko anavyonipenda mimi na hilo linanifanya
nizidi kumpenda, mara kadhaa huwa ninajiambia kuwa kama kule mbinguni watu wakifa wanaoana tena basi nikifa nikamuoe huyu huyu kule
 
Back
Top Bottom