Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi mambo za petrol inakuwaje tena!Usitusingizie bwana.
Nanunua ya emergence, incase gari ikiishiwa mafuta babe.Hizi mambo za petrol inakuwaje tena!
[emoji23][emoji23][emoji23]Nanunua ya emergence, incase gari ikiishiwa mafuta babe.
Hivyo usiwe na hofu kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata wewe???Kanunue tu petrol[emoji38][emoji38][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Angeambiwa hivyo na tichaKama ni mtihani ungepata 0%
Haujajibu ulichoulizwa.
3D ANSWERS HAZITAKIWI HAPANimejibu sema we si kipanga!!!humu asilimia kubwa wanajuta kufunga ndoa hizi za kirumi ambazo ni ndoano kwao!!!!
Warumi wangeleta sheria ya mke zaidi ya mmoja ndoa zingedumu sana na wanawake wivu wa kijinga ungeisha na wanaume tungeishi maisha marefu!vifo vyetu vinachangiwa na kuoa mke mmoja!!!!
Ni kweli. Ila mimi naamini kuwa uanaume ni pamoja na kuyashinda matamanio yote yanayopelekea kukosa uaminifu kwenye mahusiano. Nitajiitaje mwanaume wakati hata kucontro mihemuko yangu ya kimwili inanishinda?? I believe any strong man hawezi kuangushwa kirahisi rahisi eti na mwana mke.. No unless ameamua mwenyewe. Naamini uzinifu ni maamuzi na si udhaifu. Kila mtu Mungu ameemuumba na uwezo wa kuchagua jema au baya akiwa na akili timamu. Hakuna kisingizio chochote. Mungu alishaumba akakamilisha kazi yake hakuna mwana damu anayeweza kumkosoa eti alikosea... Sheria zake zote ni kwa faida ya mwana damu mwenyewe. Na tunapozivunja lazima kuwe na consequences kwetu wenyewe. Hivyo mwanaume kuishi kiaminifu anaweza ni maamuzi tuu. Anybody can. Akitaka. Vingine vyootee ni visingizio tu.Uko sahihi na uko matured enough, no one is perfect loh, but case za uzinifu uliokubuhu ni vizuri kila mmoja achukue hamsini zake.
AmeenNitamchagua tena na tena mme wangu kipenzi, sijui nisingekua nae ingekuwaje... Mungu amuweke sana baba watoto wangu.
angepata zero na maandishi ya "Good attempt but not correct"Kama ni mtihani ungepata 0%
Haujajibu ulichoulizwa.
Sijui nisemeje zaidi ya kukuombea kila lenye kheri kwako weww na familia yako maana dunia ya sasa ukisema mbele za watu kua unajivunia mumeo sio mzinifu watu watakuzodoa kwa maneno wakisema hakuna kitu kama hicho, oh sijui mwanaume huyo hajazaliwa. Hili hua nalipinga kweli nikiamini vile alivyotuumba mwenyez Mungu ametupa akili na uwezo wa kujua zuri na kuacha baya sasa kazi ni kwetu kuamua tunataka nini. Sasa wengi hujifariji sababu may be in 10 men/ women 2 waaminifu basi watu huona haiwezekeni.Ni kweli. Ila mimi naamini kuwa uanaume ni pamoja na kuyashinda matamanio yote yanayopelekea kukosa uaminifu kwenye mahusiano. Nitajiitaje mwanaume wakati hata kucontro mihemuko yangu ya kimwili inanishinda?? I believe any strong man hawezi kuangushwa kirahisi rahisi eti na mwana mke.. No unless ameamua mwenyewe. Naamini uzinifu ni maamuzi na si udhaifu. Kila mtu Mungu ameemuumba na uwezo wa kuchagua jema au baya akiwa na akili timamu. Hakuna kisingizio chochote. Mungu alishaumba akakamilisha kazi yake hakuna mwana damu anayeweza kumkosoa eti alikosea... Sheria zake zote ni kwa faida ya mwana damu mwenyewe. Na tunapozivunja lazima kuwe na consequences kwetu wenyewe. Hivyo mwanaume kuishi kiaminifu anaweza ni maamuzi tuu. Anybody can. Akitaka. Vingine vyootee ni visingizio tu.
Amina. Asante Dada. Mungu akujalie yote mema unayoyahitaji katika maisha yako. Ni kweli ipo hiyo kasumba eti hakuna mwaminifu eee ina Maana Mungu amekufa?? Kama Mungu yu hai basi waaminifu watakuwepo mpaka kiama.Sijui nisemeje zaidi ya kukuombea kila lenye kheri kwako weww na familia yako maana dunia ya sasa ukisema mbele za watu kua unajivunia mumeo sio mzinifu watu watakuzodoa kwa maneno wakisema hakuna kitu kama hicho, oh sijui mwanaume huyo hajazaliwa. Hili hua nalipinga kweli nikiamini vile alivyotuumba mwenyez Mungu ametupa akili na uwezo wa kujua zuri na kuacha baya sasa kazi ni kwetu kuamua tunataka nini. Sasa wengi hujifariji sababu may be in 10 men/ women 2 waaminifu basi watu huona haiwezekeni.
Tujue tu halali ni halali hata dunia nzima ikiacha kufanya haitokua kamwe haramu.
I agree with youNi kweli. Ila mimi naamini kuwa uanaume ni pamoja na kuyashinda matamanio yote yanayopelekea kukosa uaminifu kwenye mahusiano. Nitajiitaje mwanaume wakati hata kucontro mihemuko yangu ya kimwili inanishinda?? I believe any strong man hawezi kuangushwa kirahisi rahisi eti na mwana mke.. No unless ameamua mwenyewe. Naamini uzinifu ni maamuzi na si udhaifu. Kila mtu Mungu ameemuumba na uwezo wa kuchagua jema au baya akiwa na akili timamu. Hakuna kisingizio chochote. Mungu alishaumba akakamilisha kazi yake hakuna mwana damu anayeweza kumkosoa eti alikosea... Sheria zake zote ni kwa faida ya mwana damu mwenyewe. Na tunapozivunja lazima kuwe na consequences kwetu wenyewe. Hivyo mwanaume kuishi kiaminifu anaweza ni maamuzi tuu. Anybody can. Akitaka. Vingine vyootee ni visingizio tu.
Kichwa cha habari chahusika.
Kila mtu ajimwage hapa. Endapo tarehe zingerudi nyuma hadi ile siku uliyofanya maamuzi ya kufunga nae ndoa, Je ungebaki ndoani au ungetengua maamuzi?