MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
PoleKwa kweli hapana. That's why I divorced her [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
HongeraNdoa ni raha
Kama ni mtihani ungepata 0%Ndoa haikuwa ndoano kama hv! ni hadi pale warumi walipoamua kutoa vyeti kwa kila tukio la dini na kijamii!!wakakazia na kiapo cha mke mmoja tu ambacho ni sheria ya mapinduzi ya viwanda ya mwaka 1800 ambapo mke mmoja na watoto wawili ilikua rahisi kuwasafirisha kutoka kiwanda kimoja hadi kingine!...
Ndoa ni raha
Sure !Kwa kweli hapana. That's why I divorced her [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Mkeo mwenye ngoma huyo π π π ambaye nae anaua watu mahaliMimi nitamuoa tena na tena tokea tumefunga ndoa mpaka sasahivi sijutii kufunga ndoa na mwenza wangu. Hakika Mwenyezi Mungu kaniletea furaha hii naomba iwe ya milele kwangu na mke wangu pamoja na kizazi changu.[emoji2973]
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Alafu weweMkeo mwenye ngoma huyo π π π ambaye nae anaua watu mahali
Raha mkiendanaNdoa ni raha
Why uli mu divorce do you regret?Kwa kweli hapana. That's why I divorced her [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Halafu failures zake za ndoa analaumu warumiKama ni mtihani ungepata 0%
Haujajibu ulichoulizwa.