Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Bm 21 bado zinatumika na urusi to date. Better check thatNimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu.
Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR.
Kuna BM 21. Kwa kweli tunatakiwa Ku modernize jeshi letu. Bado lipo nyuma sana.
Ulinzi ni pamoja na kuonesha uwezo ulionao. Kwa silaha zilizooneshwa kusema kweli ni hafifu. Zimepitwa ma wakati. Uganda na Kenya wana silaha bora kutuzidi.Tuko vizuri huwez kumuonesha kila kitu jirani
Mleta Uzi akiri zako bhana,,Kwa akiri zako unadhani unaweza onyeshwa silaha zote ?Nimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu.
Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR.
Kuna BM 21. Kwa kweli tunatakiwa Ku modernize jeshi letu. Bado lipo nyuma sana.
Mwambie huyo aeleweMleta Uzi akiri zako bhana,,Kwa akiri zako unadhani unaweza onyeshwa silaha zote ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana wengi wanaangalia movies zinawachanganya sana, hawajui mambo kwa ground ni tofauti kabisa.Kwa hiyo mnataka tuonyeshe hadi rangi ya chupi ndio ujue tuna kitumbua size gani au?
Hapo hakuna silahaEti nini? Hapo ku buk 23 air defense system si mchezo inauwezo wa kutungua low flying object kama drone na makombora ya cruiser hiyo bm 21 mpaka leo bado inatumika kwenye mataifa mengi tu kuifupi jeshi lipo fresh
Unakumbuka kilicho ikuta saudia kwenye visima vyake vya mafuta?Hapo hakuna silaha
Hiyi Low flying drone inaweza kutunguliwa hata kwa manati
Hatuna bajeti ya kutosha kununua na kutengeneza silaha zetu.Nimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu.
Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR.
Kuna BM 21. Kwa kweli tunatakiwa Ku modernize jeshi letu. Bado lipo nyuma sana.
Kikubwa bado hazija expire kuuwa acha tutumie kwanza.Ulinzi ni pamoja na kuonesha uwezo ulionao. Kwa silaha zilizooneshwa kusema kweli ni hafifu. Zimepitwa ma wakati. Uganda na Kenya wana silaha bora kutuzidi.
We are weak compared to them.
Mzee hiyo ni silaha ya 1967 USSR technology