Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

1.Nacho amini, uwezi unyesha kila kitu ulichonacho utawapa advantage maadui wako
2.Nchi zilizokua za kikomunist ziliwekeza sana kwny jeshi bila kujitangaza, ila ikitaka kazi ziguse ndo utajua uwezo wao.
3.Kwa jwtz hii ndo outing yao kubwa kitaifa kwahiyo wansheherekea wakiwa pamoja nasi lkn bila kuuza siri za kazi.
4.Nachowapendea zaidi jwtz ukiwa nao wanajitambulisha kama JESHI LENU sio JESHI LETU.
Mfano: jeshi lenu litaenda Kongo kulinda amani, na sio hutaenda au jeshi letu litaenda ........
ALL IN ALL JWTZ NI MOJA YA MAJESHI YENYE NIDHAMU SANA DUNIANI.
 
Mzee unatuonesha BM 21 ya 1963.
Screenshot_20211209-143710.png
 
Eti nini? Hapo ku buk 23 air defense system si mchezo inauwezo wa kutungua low flying object kama drone na makombora ya cruiser hiyo bm 21 mpaka leo bado inatumika kwenye mataifa mengi tu kuifupi jeshi lipo fresh
BUK haiwezi kutungua drones. Zimeshindwa kina Pantsir na Tungushka ambazo ni modern sembuse hizo BUK. Labda ukisema vidrone uchwara
 
Huo ni ukweli ambao wengi watakuja kukupinga hapa yaani likitokea taifa lenye silaha advanced ni lazima tulie, watakuja hapa kukwambia jeshi letu tunalipima na waasi wa kongo, waasi wasio na silaha za kisasa wanaojificha misituni

Wenzetu kenya wanawekeza kwenye jeshi lao kila kukicha wananunua silaha za kisasa,hata rwanda pia wapo hivyo hivyo , kuna mandege yanapitaga hapa ya kivita hata milio tu unagundua ni za zamani
 
Mleta mada hawa kina kimasihara watakupinga ila fatilia ID ambazo hujadili silaha humu JF. Pale hakuna silaha za maajabu, muwe basi angalau mnaangalia na maonesho ya majirani kama Kenya ili mlinganishe maana si mnasema majirani ni size yetu
 
BUK haiwezi kutungua drones. Zimeshindwa kina Pantsir na Tungushka ambazo ni modern sembuse hizo BUK. Labda ukisema vidrone uchwara
Inategemea opareta mwenye kaiset viti hiyo pantsir mbona imetungua drone nyingi tu huko syria hata muda huu urusi inazi inazi fatilia drone za ukraine kwa kutumia buk m2 tor
 
Nimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu.

Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR.
Kuna BM 21. Kwa kweli tunatakiwa Ku modernize jeshi letu. Bado lipo nyuma sana.
Na kama makomandoo ndio sina ya wale walio pelekwa kumlinda Mbowe, wanaokamatwa na mgambo wa polisi, tujitafakari.
 
Kwaiyo mkuu ulitaka tuonyeshe silaa nzito kama za kiduku wa Korea ??
 
Na kama makomandoo ndio sina ya wale walio pelekwa kumlinda Mbowe, wanaokamatwa na mgambo wa polisi, tujitafakari.
Watu humu wanabisha tu. But we are weak and outdated.
Tunatakiwa kuweka budget nzuri na kununua silaha za kisasa.
Hayo ma BM 21 na SA-6 yameshapitwa na wakati. Na kila mwaka wa maonesho ya silaha yanaoneshwa.
 
Back
Top Bottom