Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
T 59, 57, 72 n.kHako kadude kadogo vile kenye bendera nyekundu mbili ni ka nini, ka APC au IFV? Sasa kana Impact gabi mbona hata hakaonekani kuwa na armour.
Hiyo Grad moja tulitumia kipindi cha vita ya Amin tena tulipewa kama msaada na USSR. Wanajeshi wa Amin walikuwa wanaiogopa na waliwahi tuma ndege ije kuushambulia ila ilikuwa inahamishwa kila ikifanya attack. Warusi wenyewe walizigundua WW 2 dhidi ya Wajerumani na ziliitwa Katyusha, Wajerumani wakaziita "Stalin's Organs"
Kwa sasa kuna modern version kama TOS.
Vifaru vyetu ni Chinese model flani nimeisahau niliona na Chad wanavyo. Vya sasa vitakuwa modernized ila ni type ya 1960s