T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
T-72 si ni ya Russia. Tanzania tuna type gani ya kifaru kutoka Russia, I hope una kitu unajua sio mara ya kwanza kujadili na wewe mada kama hiziT 59, 57, 72 n.k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
T-72 si ni ya Russia. Tanzania tuna type gani ya kifaru kutoka Russia, I hope una kitu unajua sio mara ya kwanza kujadili na wewe mada kama hiziT 59, 57, 72 n.k
Watakuita sio mzalendo, kwa mtu anayefatilia teknolojia na masuala ya ujasusi ataamini kuwa tupo nyuma saana.
Ni vile tu tumezungukwa na watu ambao hawapendi vita ama tumezungukwa na watu ambao ni wastaarabu, tungepaka na nchi za kiarabu kwa zama hizi huenda tungejikita ktk silaha na sisi.
Hatuna silaha Mzee. Magufuli alinunua helicopters toka France kila mmoja aliziona.Hivi unafikiri Kenya,Uganda na Rwanda hawajui silaha tulizonazo hadi wasubiri 9/12 ndio wazione?
Acha kuizalilisha Buk.Urusi kila siku wanatungua Drone za waasi wa Syria kwa kutumia Buk-missile.Syria wenyewe walitungua drone nyingi za mturuki kwa kutumia Buk na PantsirBUK haiwezi kutungua drones. Zimeshindwa kina Pantsir na Tungushka ambazo ni modern sembuse hizo BUK. Labda ukisema vidrone uchwara
Ndo yenyewe kaka, ni aibu kubwa mno.Hiyo picha ya pili kutoka chini ni anti aircraft gun? Dunia ya sasa AA batteries zipo tu ila unaweza usizitumie popote
Nitashangaa kama kilichooneshwa ndo kilichopo...Nimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu.
Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR.
Kuna BM 21. Kwa kweli tunatakiwa Ku modernize jeshi letu. Bado lipo nyuma sana.
Tunatakiwa kuamshwa. Tumelala sana.Nitashangaa kama kilichooneshwa ndo kilichopo...
Anyway kwa uchache pale stadium alikuwepo Kagame!!
Nilitaka nione hapa kama kuna silaha mpya. Sasa natumaini awamu ya tano haikununua sana silahasilaha hasa labda hizo Cougar na Super Cougar mbili, moja ilikuwa kwenye maonesho na nyingine iliyowabeba walipoondoka wameninginia sijui ni type gani. Na zenyewe waweza kuta order ilitolewa kabla ya JPMMagufur tokea aingie madarakan hakununua vifaa vya ulinz hata bastora moja
Kama amekuelewa atakuwa ana akili sana. Endapo hajakuelewa basi atakuwa mzito kichwani.Huwezi kuonesha vyote ulivyo navyo, lakini anaehitaji kujua kwa technolojia ya mawasiliano leo atajua ulivyo navyo hata ulivyo agiza a havijawasili.
Halafu, siyo silaha zinazopigana bali ni watu wenye uchungu wa nchi yao. Sijui wakati wa vita vya Kagera dhidi ya Nduli Idd Amin Dada ULIKUWA WAPI, ila ukweli ni kwamba arsenal ya silaha za kivita aliyokuwa nayo Idd Amin kama angekuwa na wanajeshi wafia nchi, ingekuwa balaa, lakini tukampiga na kumfurusha na hayo masilaha yake yote na mengine tukayateka.Nimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu.
Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR.
Kuna BM 21. Kwa kweli tunatakiwa Ku modernize jeshi letu. Bado lipo nyuma sana.
Nimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu.
Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR.
Kuna BM 21. Kwa kweli tunatakiwa Ku modernize jeshi letu. Bado lipo nyuma sana.
Tungekuwa Western Africa uko tungenyanyasika. Ona kama Liberia ilivyoivamia Sierra Leone ikaweka waasi ili iibe almasi kama ambavyo Rwanda na Uganda zinafanya pale DRCWatakuita sio mzalendo, kwa mtu anayefatilia teknolojia na masuala ya ujasusi ataamini kuwa tupo nyuma saana.
Ni vile tu tumezungukwa na watu ambao hawapendi vita ama tumezungukwa na watu ambao ni wastaarabu, tungepaka na nchi za kiarabu kwa zama hizi huenda tungejikita ktk silaha na sisi.
Mzee mambo ya watu kupiganisha yalishapitwa na wakati. Sasa hivi ni technology ndio inapigana. Achana na mawazo ya kijima ya Nduli Idd Amin Dadaa.H
Halafu, siyo silaha zinazopigana bali ni watu wenye uchungu wa nchi yao. Sijui wakati wa vita vya Kagera dhidi ya Nduli Idd Amin Dada ULIKUWA WAPI, ila ukweli ni kwamba arsenal ya silaha za kivita aliyokuwa nayo Idd Amin kama angekuwa na wanajeshi wafia nchi, ingekuwa balaa, lakini tukampiga na kumfurusha na hayo masilaha yake yote na mengine tukayateka.
Cougar? Embu nenda google usome vizuri.Hizo helicopter zenye landing gear alinunua nani?
Uongo mbaya jamani
Ni risk sana kuleta silaha mpya kwenye maonesho ya wazi kama ya leo pale uhuru stadium...Nilitaka nione hapa kama kuna silaha mpya. Sasa natumaini awamu ya tano haikununua sana silahasilaha hasa labda hizo Cougar na Super Cougar mbili, moja ilikuwa kwenye maonesho na nyingine iliyowabeba walipoondoka wameninginia sijui ni type gani. Na zenyewe waweza kuta order ilitolewa kabla ya JPM
Ni kweli nalijua hilo lakini hapa africa mataifa yenye silaha za kisasa yzfiki hata matano pia kumbuka silaha huwa zinaboreshwa utendaji kazi wakeMzee hiyo ni silaha ya 1967 USSR technology
View attachment 2038210
Hivi ulishasikia wapi vita vikaishia angani ubora wa jeshi letu uko ardini mkuuHeshima yako mkuu!
Kabla sijasoma post yako hata mimi nlichangia hoja hapa kuwa kuna nchi kama Kenya na Ethiopia. Hizi nchi ktk ukanda wetu zimepiga hatua kubwa mno ktk uwekezaji jeshini.
Hatuwez leo kusema tuna kikosi bora kwa kuwa tuliwapiga M23 au waasi wengine, ilishawahi kutokea miaka ya nyuma Tz tukashika namba ishirin na kitu kwenye vikosi bora ulimwenguni, watu tukasifia mno.
Lakini huwez amini mkuu, China, Korea zote mbil n.k hawamo mle ndan, je kusema sisi ni bora kulia wao? Tumekuwa watu wa kusifia hiki chombo lakini kiuhalisia hakina sifa ambazo zinazo.
Kwa zama hizi tuna jeshi la kawaida mno, tena tusije thubutu jifananisha na majeshi mengine hapa Afrika.
Hapo mwisho ungemalizia na tusi ili iletee maana zaidiVijana wengi wanaangalia movies zinawachanga sana, hawajui mambo kwa ground ni tofauti kabisa.
Tanzania ni nchi ya Kijamaa, mambo yake mengi ni siri, hicho wanachoonyesha sicho kilichopo...
Kila Mwaka bajeti ya wizara ya Ulinzi na usalama inatengwa tena ya kutosha, umewahi kusikia wametangaza kununua hiki ama kile...
Ukiona umekaa sehemu unashushia bia na nyama choma tena kwa amani kabisa jua kuna wanaume hawalali huko.
Kuna uzi mwaka jana nilisema Kenya wana silaha kutuzidi watu wakanijia juu. Mada kama hizi huwa naongea kidogo mengine unapunguza makali, wewe uliona wapi duniani komandoo anabeba magogo mgongoni. Ukiwauliza hawa watakwambia ni kuonyesha ujasiri. Aisee, Israel ina wanajeshi wengine hata ngumi hawajui sasa fyatuka uingie nao vitani.Sisi tuna mavifaru ya kawaida, watu wana Armata huko, watu wana Apache, watu wana Sukhoi, tena wanazifanyia Parade, sasa jiulize hazina yao wana nini?
Kenya imetupiga hatua kubwa ktk hizi mambo, huu ni ukweli mchungu. Tunajaribu kufatilia hata Jeshi la Majini la Kenya tunaweza kuelewa.