Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

Ukiongea utaonekana wewe sio mzalendo, ila kama jeshi lahitaji teknolojia basi huenda tukawa tupo nyuma mno.

Kama mapambano ni rasilimali watu pekee na mafunzo, huenda tukawa namba za juu Afrika.

Leo tusiombe kupambana na Kenya au Ethiopia, tutalamba mchanga.
 
Hako kadude kadogo vile kenye bendera nyekundu mbili ni ka nini, ka APC au IFV? Sasa kana Impact gani mbona hata hakaonekani kuwa na armour.

Hiyo Grad moja tulitumia kipindi cha vita ya Amin tena tulipewa kama msaada na USSR. Wanajeshi wa Amin walikuwa wanaiogopa na waliwahi tuma ndege ije kuushambulia ila ilikuwa inahamishwa kila ikifanya attack. Warusi wenyewe walizigundua WW 2 dhidi ya Wajerumani na ziliitwa Katyusha, Wajerumani wakaziita "Stalin's Organs"
Kwa sasa kuna modern version kama TOS.

Vifaru vyetu ni Chinese model flani nimeisahau niliona na Chad wanavyo. Vya sasa vitakuwa modernized ila ni type ya 1960s
 
Ulinzi ni pamoja na kuonesha uwezo ulionao. Kwa silaha zilizooneshwa kusema kweli ni hafifu. Zimepitwa ma wakati. Uganda na Kenya wana silaha bora kutuzidi.
We are weak compared to them.
Uganda wana SU-30, achana na huo moto wa Sukhoi, tena wanazo 6.

Wanapita pale ngerengere sijui mzinga kama sisi tunavyopita Zanzibar.
 
Ukiongea utaonekana wewe sio mzalendo, ila kama jeshi lahitaji teknolojia basi huenda tukawa tupo nyuma mno.

Kama mapambano ni rasilimali watu pekee na mafunzo, huenda tukawa namba za juu Afrika.

Leo tusiombe kupambana na Kenya au Ethiopia, tutalamba mchanga.
Umeshawahi kuingia kwenye tovuti ya jeshi lenu na umeona aina ya zana walizoweka na idadi zake??
 
Uganda wana SU-30, achana na huo moto wa Sukhoi, tena wanazo 6.

Wanapita pale ngerengere sijui mzinga kama sisi tunavyopita Zanzibar.
Yani ni muhimu sana ku modernize jeshi. Hatuko vizuri.
 
Mimi ni mfuatiliaji wa silaha za nchi mbalimbali. Hakuna silaha za kutisha hapo. Uganda na Kenya display yao inatisha Mzee.
Hawawezi kukuelewa mkuu.

Ndege JK alipewa msaada mwaka 2014 kama sio 2015 na jeshi la China.

Hata Navyship sidhani kama tunazo ambazo ni deadly machines kama Kenya, Ethiopia, Egypt na SA.
 
tuonyeshe midude mizito mizito yanini,majirani zetu saizi yao ndo Kama hizo tulizoonyesha.tukionyesha mikombola mizito mizito wasije wakasema tunawatishia bule,watuwekee vikwazo kisa tunatishia usalama wa east Africa kwa kutoa midude mizito mizito hadharani!!
 
1.Nacho amini, uwezi unyesha kila kitu ulichonacho utawapa advantage maadui wako
2.Nchi zilizokua za kikomunist ziliwekeza sana kwny jeshi bila kujitangaza, ila ikitaka kazi ziguse ndo utajua uwezo wao.
3.Kwa jwtz hii ndo outing yao kubwa kitaifa kwahiyo wansheherekea wakiwa pamoja nasi lkn bila kuuza siri za kazi.
4.Nachowapendea zaidi jwtz ukiwa nao wanajitambulisha kama JESHI LENU sio JESHI LETU.
Mfano: jeshi lenu litaenda Kongo kulinda amani, na sio hutaenda au jeshi letu litaenda ........
ALL IN ALL JWTZ NI MOJA YA MAJESHI YENYE NIDHAMU SANA DUNIANI.
Watu wameshatoka huko kwenye uzalendo sijui heshima.

Sasa hivi Jeshi ni SILAHA, SILAHA ni TECKNOLOJIA.
 
1.Nacho amini, uwezi unyesha kila kitu ulichonacho utawapa advantage maadui wako
2.Nchi zilizokua za kikomunist ziliwekeza sana kwny jeshi bila kujitangaza, ila ikitaka kazi ziguse ndo utajua uwezo wao.
3.Kwa jwtz hii ndo outing yao kubwa kitaifa kwahiyo wansheherekea wakiwa pamoja nasi lkn bila kuuza siri za kazi.
4.Nachowapendea zaidi jwtz ukiwa nao wanajitambulisha kama JESHI LENU sio JESHI LETU.
Mfano: jeshi lenu litaenda Kongo kulinda amani, na sio hutaenda au jeshi letu litaenda ........
ALL IN ALL JWTZ NI MOJA YA MAJESHI YENYE NIDHAMU SANA DUNIANI.
Huwezi kuonesha vyote ulivyo navyo, lakini anaehitaji kujua kwa technolojia ya mawasiliano leo atajua ulivyo navyo, hata ulivyo agiza na havijawasili.
 
Watu humu wanabisha tu. But we are weak and outdated.
Tunatakiwa kuweka budget nzuri na kununua silaha za kisasa.
Hayo ma BM 21 na SA-6 yameshapitwa na wakati. Na kila mwaka wa maonesho ya silaha yanaoneshwa.
Kama Russia bado anazitumia hizo bm-21 na SA-6 wewe mtanganyika unatia kujua wakati hata goboli hujawahi kushika!

Taabu sana
 
Ukiongea utaonekana wewe sio mzalendo, ila kama jeshi lahitaji teknolojia basi huenda tukawa tupo nyuma mno.

Kama mapambano ni rasilimali watu pekee na mafunzo, huenda tukawa namba za juu Afrika.

Leo tusiombe kupambana na Kenya au Ethiopia, tutalamba mchanga.
Falsafa ya jeshi lenu ni ipi?
 
Huo ni ukweli ambao wengi watakuja kukupinga hapa yaani likitokea taifa lenye silaha advanced ni lazima tulie, watakuja hapa kukwambia jeshi letu tunalipima na waasi wa kongo, waasi wasio na silaha za kisasa wanaojificha misituni

Wenzetu kenya wanawekeza kwenye jeshi lao kila kukicha wananunua silaha za kisasa,hata rwanda pia wapo hivyo hivyo , kuna mandege yanapitaga hapa ya kivita hata milio tu unagundua ni za zamani
Magufur tokea aingie madarakan hakununua vifaa vya ulinz hata bastora moja
 
BUK haiwezi kutungua drones. Zimeshindwa kina Pantsir na Tungushka ambazo ni modern sembuse hizo BUK. Labda ukisema vidrone uchwara
Watakuita sio mzalendo, kwa mtu anayefatilia teknolojia na masuala ya ujasusi ataamini kuwa tupo nyuma saana.

Ni vile tu tumezungukwa na watu ambao hawapendi vita ama tumezungukwa na watu ambao ni wastaarabu, tungepaka na nchi za kiarabu kwa zama hizi huenda tungejikita ktk silaha na sisi.
 
Back
Top Bottom