The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Propaganda tu hizo. Design za socialist countries..... Maonyesho kama haya utayaona tu kwenye nchi kama North Korea, China, Russia.Maonesho ya silaha ya leo lengo lake ni nini sasa!?
Marekani hajawahi enda vitani Somalia bali alienda mission. Yani kupeleka helicopters sijui mbili za Black Hawk na IFVs kama tatu ndio mnasema ameenda vitani. Mnajua military might ya Marekani?Na Vita ya Somali je?
Kwa hiyo ya 67 haiui?Mzee hiyo ni silaha ya 1967 USSR technology
View attachment 2038210
Hata mkuki unaua mzee.Kwa hiyo ya 67 haiui?
Rafiki sikupingi. Yale madude yetu adui akiamua kutumia modernized drones anayalevel hata kabla Misa ya kwanza haijaisha.Hata mkuki unaua mzee.
nilitegemea jibu kama hili baada tu ya kumaliza kusoma hoja, na hizi ni kauliz nzuri mno za kujipa moyo, ni vizuri kwa kweli.Tuko vizuri huwez kumuonesha kila kitu jirani
wataalam hebu tuambieni hizi zana zilitengenezwa lini na nchi gani?
Vijana wengi wanaangalia movies zinawachanganya sana, hawajui mambo kwa ground ni tofauti kabisa.
Tanzania ni nchi ya Kijamaa, mambo yake mengi ni siri, hicho wanachoonyesha sicho kilichopo...
Kila Mwaka bajeti ya wizara ya Ulinzi na usalama inatengwa tena ya kutosha, umewahi kusikia wametangaza kununua hiki ama kile...
Ukiona umekaa sehemu unashushia bia na nyama choma tena kwa amani kabisa jua kuna wanaume hawalali huko.
Kweli ww Mr Devil, unataka vita na majirani?Majirani zetu ni Size yetu acha waone hizi kwanza .tuwavute vute tuwachape
Jomba lile lilikuwa gwaride tu kupendezesha sherehe,JW iko vizuri usipime kwa ukanda huu hakuna wa kukaribia mziki wa JW.Nimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu.
Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR.
Kuna BM 21. Kwa kweli tunatakiwa Ku modernize jeshi letu. Bado lipo nyuma sana.
Wakizingua tunaruka naoKweli ww Mr Devil, unataka vita na majirani?
Palikua na helikopta zaidi ya mbili bna,Vita ya Ana kwa Ana marekani na hawara yake Israel hawaviwezi,ukiwazidi kidogo wanaleta ndegeMarekani hajawahi enda vitani Somalia bali alienda mission. Yani kupeleka helicopters sijui mbili za Black Hawk na IFVs kama tatu ndio mnasema ameenda vitani. Mnajua military might ya Marekani?
Yani Mo Dewji akupe milioni moja alafu useme amewekeza
Ndege si za kwao?Palikua na helikopta zaidi ya mbili bna,Vita ya Ana kwa Ana marekani na hawara yake Israel hawaviwezi,ukiwazidi kidogo wanaleta ndege
Namaanisha mapambano ya Ana kwa Ana ya bunduki,Vietnam,Afghanistan,Iraq,Somalia kote walipta tabu,waoga kinomaNdege si za kwao?
Ndege hazipo kukuletea maembe. Kazi yake ndio hiyoPalikua na helikopta zaidi ya mbili bna,Vita ya Ana kwa Ana marekani na hawara yake Israel hawaviwezi,ukiwazidi kidogo wanaleta ndege
Hakuna mapambano ya ana kwa ana katika ulimwengu wa sasa. Sasa hivi ni Tehnologies tu zinapambana.Namaanisha mapambano ya Ana kwa Ana ya bunduki,Vietnam,Afghanistan,Iraq,Somalia kote walipta tabu,waoga kinoma