Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

Maonesho ya silaha ya leo lengo lake ni nini sasa!?
Propaganda tu hizo. Design za socialist countries..... Maonyesho kama haya utayaona tu kwenye nchi kama North Korea, China, Russia.

Sijui wa namaanisha kuwa hiyo miaka 60 wanafanikiwa kujenga jeshi imara.....!!!
 
Tanzania akuna stable jeshi,.. siasa nyingi sana mwanajeshi anasikia kuandamana anaenda kufanya usafi badala wawe upande wa wananchi haki zao...
Muda gani wanapata ku- assambble na ku- configure mitambo ..hakuna kazi pale
 
Na Vita ya Somali je?
Marekani hajawahi enda vitani Somalia bali alienda mission. Yani kupeleka helicopters sijui mbili za Black Hawk na IFVs kama tatu ndio mnasema ameenda vitani. Mnajua military might ya Marekani?

Yani Mo Dewji akupe milioni moja alafu useme amewekeza
 
Hata mkuki unaua mzee.
Rafiki sikupingi. Yale madude yetu adui akiamua kutumia modernized drones anayalevel hata kabla Misa ya kwanza haijaisha.

We need to modernize real. Display zile zile kila mwaka! Bora hata wasiyaoneshe.

Bunduki zenyewe asilimia kubwa ni mabunduki ya vita ya kwanza ya dunia
 
Dhana nzima ya kuchukulia sikukuu ya Uhuru na kuifanya ionekane kama military exhibition ni utoto. Hatuna adui aliyetuzunguka, why waste our meagre resources on nonsense. Sherehe tulitegemea tuone ngoma na nyimbo na miundombinu ambayo inamgusa raia. not anything to do with war. Hii ni ufinyu wa akili.
 
Ndugu yangu hii nchi siyo ya kijamaa,Ujamaa ulikufa na Azimio la Arusha
Vijana wengi wanaangalia movies zinawachanganya sana, hawajui mambo kwa ground ni tofauti kabisa.

Tanzania ni nchi ya Kijamaa, mambo yake mengi ni siri, hicho wanachoonyesha sicho kilichopo...

Kila Mwaka bajeti ya wizara ya Ulinzi na usalama inatengwa tena ya kutosha, umewahi kusikia wametangaza kununua hiki ama kile...

Ukiona umekaa sehemu unashushia bia na nyama choma tena kwa amani kabisa jua kuna wanaume hawalali huko.
 
Hili dude la Uganda
1639116744154.png
 
Nimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu.

Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR.
Kuna BM 21. Kwa kweli tunatakiwa Ku modernize jeshi letu. Bado lipo nyuma sana.
Jomba lile lilikuwa gwaride tu kupendezesha sherehe,JW iko vizuri usipime kwa ukanda huu hakuna wa kukaribia mziki wa JW.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Marekani hajawahi enda vitani Somalia bali alienda mission. Yani kupeleka helicopters sijui mbili za Black Hawk na IFVs kama tatu ndio mnasema ameenda vitani. Mnajua military might ya Marekani?

Yani Mo Dewji akupe milioni moja alafu useme amewekeza
Palikua na helikopta zaidi ya mbili bna,Vita ya Ana kwa Ana marekani na hawara yake Israel hawaviwezi,ukiwazidi kidogo wanaleta ndege
 
Palikua na helikopta zaidi ya mbili bna,Vita ya Ana kwa Ana marekani na hawara yake Israel hawaviwezi,ukiwazidi kidogo wanaleta ndege
Ndege hazipo kukuletea maembe. Kazi yake ndio hiyo
 
Namaanisha mapambano ya Ana kwa Ana ya bunduki,Vietnam,Afghanistan,Iraq,Somalia kote walipta tabu,waoga kinoma
Hakuna mapambano ya ana kwa ana katika ulimwengu wa sasa. Sasa hivi ni Tehnologies tu zinapambana.
 
Back
Top Bottom