Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

Sehemu kubwa wenzetu ktk show off hizi zile silaha wanakuwa wametengeneza wao. So wanaonesha moja ya maendeleo ya mafanikio yao.

Sijajua sisi hapa tunaonesha for what.
Ulimbukeni....!!
 
Unauhakika Tanzania haina meli vita?
 
Mkuu yaani unagundua ubora wa ndege kwa mlio wa engine? tena engine ya fighter jet? sio bodaboda wala bajaji?

Kitu ambacho hukioni mara kwa mara wala technology iliyotumika au unategemea engine ya fighter jet inayotembea atleast at 1000km/h iwe na sound kama ndege ya abiria au pikipiki ya boxer?

Seriously?



Mkuu lini umekuwa expert wa maswala ya engine za fighter jets na ubora wake au wewe ni army pilot?
 
Sisi tunasema tunalinda mipaka yetu. Kama mipaka yetu ikosalama basi tuko salama.

Lakin imani yangu jeshi linajitahidi kufanya juu chini kuhakikisha linakuwa imara, na linajiweka mahali pazur kwa kulinganisha na nchi za wenzetu.


watu mnashindwa kuelewa kuwa M23, wale wanapigama gorilla war na unapozungumzia vita vya nchi na nchi unazungumzia convectional war. Hivyo ni vita tofauti. Gorilla war ni ngumu ajabu, inahitaji taarifa na uwezo wa kukusanya taarifa za kutosha.

Nimeangalia ileshow ya makomando, wao vizur, ilikuwa Emotional sana yaani nilifurahia.
 
sisi tunapambana na CDM.
 
Basi hujui chochote wakati wa kikwete alinunua meli 2 kubwa za kivita kutoka japan hiyo Nina uhakika nalo so no research no right to talk.
Mwongo wewe hujui meli ni nini,toa specificstion zake,au unazungumzia mitumbwi?
Anzia Msimbati mpakani mwa Tanzania na Mozambique hadi Mpaka wa Tanzania na Kenya ,jifanye japo usogelee visiwa vya Comoro kama utaona meli yoyote ya kivita ya Tanzania.
Lakini enzi za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zilikuwepo manowari zetu zikipiga kazi kwenye bahari yetu.
Na sio hiyo tu tulikuwa na Police Marine ikiwa na manowari, zake nyingi tu zikifanya kazi kisawasawa.
 
Kwa reply hii uzi ufungwe. Majibu yamekamilika kabisa. Asante mkuu.
 
Sehemu kubwa wenzetu ktk show off hizi zile silaha wanakuwa wametengeneza wao. So wanaonesha moja ya maendeleo ya mafanikio yao.

Sijajua sisi hapa tunaonesha for what.
Hakuna nchi Africa inatengeneza silaha so far labda kama ni siri. Sana zaidi wanaunganisha. Wanafanya ASSEMBLING MASHINE PARTS na sio MANUFACTURING from scratch. Pale NYUMBU kuna silaha na vifaa vingi vinaunganishwa na baadhi hutengenezwa. Acha kuwaamini wanasiasa wa KENYA na RWANDA uka underate jeshi letu. Tupo vizuri wape heshima yao JWTZ huwezi jua wamezima matukio gani ndani na nje ya nchi kuna operations zinafanyika kwa siri kubwa sana.
So far nikuhakikishie kuna askari na maofisa kibao wa Jw wapo mafunzoni sehemu mbalimbali dunian wanajifunza mengi kuhusu uwanja wa medani na kuviongoza vyombo vya kimedani na matengezo yake.
 
Ila mbali ya silaha zote limezidiwa na mbinu za CCM ,tunaona makomandoo wake wanahenyeshwa na kupewa vibano na vitengo vya CCM vilivyojipenyeza kwenye usalama wa Taifa,mjeshi hushughulikiwa na Military police,sasa hawa wanaoteswa kuandikishwa maelezo ya ajabu ajabu ,Jeshi letu limekaa kimya kama sio wenzao,wanaaibishwa na kusababishiwa kutiliwa mashaka.
 
Mzee hiyo ni silaha ya 1967 USSR technology
View attachment 2038210
huoni aibu ushahidi wako mwenyewe unasema ni silaha imegunduliwa mwaka 1967 na iko active to date ikifuatiwa na maboresho ya hapa na pale mpaka leo..
kwahyo ulitaka uoneshwe kila kitu tulichonacho wewe umekuwa nani mkaguzi na mhakiki wa silaha nchi za maziwa makuu ama!?..
 
We jamaa,nani kakuaminisha kwenye Sherehe kama hizi,nchi huonyesha siraha zake zote!?hakuna intelinjesia ya nchi inaweza kuruhusu kitu kama hicho.
 
Magufur haku nunua magari ya jesh kabisa je ange weza kununua silaa nzito kweli kama magar ya kawaida tu hakununua jesh lina tumia magari ya miaka kumi kurudi nyuma
 
Sisi bado primary weapon ya infantry ni SMG bunduki ya 47. Sema uzuri hata tukipata vita tutapigana na maboya wenzetu kama Congo sijui Rwanda n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…