Knowledge za kugoogle na skills za yutube mbongo anaona anajua kila kituMtanzania anayefanya kazi kwenye kibanda cha Tigo pesa ana comment taifa lina vifaa vya kijeshi. Mtu hana hata uelewa wa uwanja wa vita..
hakuna silaha ambayo imeondoka na roho za watu wengi kuizidi AK 47, kwenye uwanja wa mapambano AK Ni untouchable. Ambaye hataki ataje silaha yake apa tufanye comparisonhivi ubora unaangaliwa kutokana na muda au uwezo?
AK47 ni silaha ya siku nyingi hauwezi kutumia kigezo hicho kuidowngrade
Issue ni budget maana kila silaha ina mahitaji ya training na kila kitu. Je budget kwenye weapons iko up to today standards.
Tuache kujenga fly over na stendi za mikoa tukanunue fighterjets wakati hatutegemei kuzitumia sana kwa muda mrefu.
Nchi kama Egypt ina spend lots of money on defence forces. Sio mishahara tuu ni silaha mzee. Research and development pia on weapons.
Wasiwe wanazionyesha ni za zamani sana na hakuna anaye tishika nazoMkuu tunajenga madarasa
Hebu utuache kwanza
Mtaka mawili kwa pupa.......
Unaonyeshwa kile "UNACHOTAKIWA" kuona.
Mengine ni siri ya Jeshi na hupaswi kujua.
Hata wewe mwenyewe binafsi kuna mambo huwezi mwambia kila mmoja. Suala la uimara na udhaifu wa Jeshi hauwezi kuwekwa hadharani kila mtu ashuhudie.
Kutunza SIRI ni sehemu muhimu katika kufanikisha jambo lolote.
Ununuzi wa Silaha sio siri, hahaa siri huwa ni mbinu za kivita ila sio silaha uneless unazitengenez mwenyewe, lakini kama unanunua nje huwa lazima ijulikane, yaani ununue Ndege za kivita letsbsay kutoka Ufaransa hafu iwe siri? JidanganyeUnaonyeshwa kile "UNACHOTAKIWA" kuona.
Mengine ni siri ya Jeshi na hupaswi kujua.
Hata wewe mwenyewe binafsi kuna mambo huwezi mwambia kila mmoja. Suala la uimara na udhaifu wa Jeshi hauwezi kuwekwa hadharani kila mtu ashuhudie.
Kutunza SIRI ni sehemu muhimu katika kufanikisha jambo lolote.
Kuna baadhi ya maadui ambao nao hawatengenezi ila wanachukua kutoka kwa mabeberu, kuna haja gani ya sisi kuwaonyesha kila kitu tulichotoa kwa mabeberu? Huoni tutakuwa tunajianika na kuwaonyesha udhaifu na uimara wetu ulipo.Tanzania hatutengenezi silaha, sila tulizo nazo zimetoka kwa mabeberu wa kichina na kizungu.
Si wangekuwa wako hapo Mbagala maji matitu unawapikia wakati huuu wameishia wapi muwe na shukran nyie mtz ya ovyoNdo maana walichakazwa vibaya sana walipoenda kukabiliana na magaidi wa Mocambic pale Kitaya, wakatelekeza vifaru
Jeshi hili bado lipo nyuma mno, hivyo visilaha vidogo vidogo vya kijinga bado vipo! Sehemu nyingine zimeshaacha kutumika, wao wanahangaika nayo. Shame! Nchi ya ovyo sana, wanaonyesha nini kama silaha zenyewe ni za mchina na mrusi, halafu ni za zamani?Nimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu.
Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR.
Kuna BM 21. Kwa kweli tunatakiwa Ku modernize jeshi letu. Bado lipo nyuma sana.