Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

Mtanzania anayefanya kazi kwenye kibanda cha Tigo pesa ana comment taifa lina vifaa vya kijeshi. Mtu hana hata uelewa wa uwanja wa vita..
Knowledge za kugoogle na skills za yutube mbongo anaona anajua kila kitu

But anyway, critics zinatumika kama challange ya jeshi letu na wanalifanyia kaz
 
hivi ubora unaangaliwa kutokana na muda au uwezo?
AK47 ni silaha ya siku nyingi hauwezi kutumia kigezo hicho kuidowngrade
hakuna silaha ambayo imeondoka na roho za watu wengi kuizidi AK 47, kwenye uwanja wa mapambano AK Ni untouchable. Ambaye hataki ataje silaha yake apa tufanye comparison
 
Siko hapa kupondea ila ukweli usemwe.

Aina ya hizi ndege zetu za Kivita nazani ni Made in China J-7 za miaka ya 60 ni za kizamani sana kiasi kwamba hazizaliswi tena labda spare parts pekee.

Uganda wenzetu wana Su-30 hizi ni ndege za kisasa kabisa na utazikuta kwenye majeshi makubwa Duniani.

Kenya angalau wana Mi-17V-5
hizi utazikuta kwenye majeshi mengi.

Hiimzi aina ya ndege zetu ni aibu kuzirusha kwenye maonyesho.

Njoo pia kwenye Vifaru huwa nakutana navyo mara moja moja kule Monduli ni model za zamani sana.

Sio bure baadhi ya Maraisi hija kutucheka wanapo ona aina ya Silaha tulizo nazo.

Pia vita imebadilika sana sio kutumia nguvu kama zamani, sio mambo ya kuonyesha nguvu za kuvunja tofali wala Magogo, Vita inaendana na Techinolojia.
images%20-%202021-12-11T092922.566.jpg
Screenshot_20211211_093130_com.android.chrome.jpg
images%20-%202021-12-11T092948.995.jpg
CrKT3ebXEAAZJZw.jpg
dyxdmp.jpg
images%20-%202021-12-10T153259.503.jpg
 
Issue ni budget maana kila silaha ina mahitaji ya training na kila kitu. Je budget kwenye weapons iko up to today standards.

Tuache kujenga fly over na stendi za mikoa tukanunue fighterjets wakati hatutegemei kuzitumia sana kwa muda mrefu.

Nchi kama Egypt ina spend lots of money on defence forces. Sio mishahara tuu ni silaha mzee. Research and development pia on weapons.
 
Mkuu tunajenga madarasa
Hebu utuache kwanza
Mtaka mawili kwa pupa.......
 
Hakukuwa na haja ya kuzionyesha
Issue ni budget maana kila silaha ina mahitaji ya training na kila kitu. Je budget kwenye weapons iko up to today standards.

Tuache kujenga fly over na stendi za mikoa tukanunue fighterjets wakati hatutegemei kuzitumia sana kwa muda mrefu.

Nchi kama Egypt ina spend lots of money on defence forces. Sio mishahara tuu ni silaha mzee. Research and development pia on weapons.
 
Unaonyeshwa kile "UNACHOTAKIWA" kuona.

Mengine ni siri ya Jeshi na hupaswi kujua.

Hata wewe mwenyewe binafsi kuna mambo huwezi mwambia kila mmoja. Suala la uimara na udhaifu wa Jeshi hauwezi kuwekwa hadharani kila mtu ashuhudie.

Kutunza SIRI ni sehemu muhimu katika kufanikisha jambo lolote.
 
UNATAKA SIRAHA ZA KISASA KWANI UNA MALENGO YA KUPIGANA VITA KARIBUNI??
WATU SIKU HIZI WAMEELIMIKA VITA YA NCHI NA NCHI NI YA KISHAMBA
 
Tanzania hatutengenezi silaha, sila tulizo nazo zimetoka kwa mabeberu wa kichina na kizungu.
Unaonyeshwa kile "UNACHOTAKIWA" kuona.

Mengine ni siri ya Jeshi na hupaswi kujua.

Hata wewe mwenyewe binafsi kuna mambo huwezi mwambia kila mmoja. Suala la uimara na udhaifu wa Jeshi hauwezi kuwekwa hadharani kila mtu ashuhudie.

Kutunza SIRI ni sehemu muhimu katika kufanikisha jambo lolote.
 
Unaonyeshwa kile "UNACHOTAKIWA" kuona.

Mengine ni siri ya Jeshi na hupaswi kujua.

Hata wewe mwenyewe binafsi kuna mambo huwezi mwambia kila mmoja. Suala la uimara na udhaifu wa Jeshi hauwezi kuwekwa hadharani kila mtu ashuhudie.

Kutunza SIRI ni sehemu muhimu katika kufanikisha jambo lolote.
Ununuzi wa Silaha sio siri, hahaa siri huwa ni mbinu za kivita ila sio silaha uneless unazitengenez mwenyewe, lakini kama unanunua nje huwa lazima ijulikane, yaani ununue Ndege za kivita letsbsay kutoka Ufaransa hafu iwe siri? Jidanganye
 
Hata marekani hawezi kukuonesha technojia yake mpya atakuonyesha ya nyuma kdg sasa wewe jichanganye ndo utajua hujui
 
Tanzania hatutengenezi silaha, sila tulizo nazo zimetoka kwa mabeberu wa kichina na kizungu.
Kuna baadhi ya maadui ambao nao hawatengenezi ila wanachukua kutoka kwa mabeberu, kuna haja gani ya sisi kuwaonyesha kila kitu tulichotoa kwa mabeberu? Huoni tutakuwa tunajianika na kuwaonyesha udhaifu na uimara wetu ulipo.

Adui anaweza kuwa yeyote, siyo mabeberu tu
 
Jeshi sio Konde Gand wala WCB

Jeshi ni lidude lisilo eleweka wale wajinga wa Kibiti wangekuwa wanalala na wake zenu na dada zenu leo mko nyuma ya keyboard mnatukana

Jeshi hilohilo lililopitwa na wakati ndio liko mpakani likizuia wapumbavu wasiingie kutoka msumbiji kuja kuwabaka dada zenu muwe na adabu

Mengine yamewazidi kimo jeshi sio WCB sio yanga wala simba
 
Ndo maana walichakazwa vibaya sana walipoenda kukabiliana na magaidi wa Mocambic pale Kitaya, wakatelekeza vifaru
Si wangekuwa wako hapo Mbagala maji matitu unawapikia wakati huuu wameishia wapi muwe na shukran nyie mtz ya ovyo
 
Nimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu.

Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR.
Kuna BM 21. Kwa kweli tunatakiwa Ku modernize jeshi letu. Bado lipo nyuma sana.
Jeshi hili bado lipo nyuma mno, hivyo visilaha vidogo vidogo vya kijinga bado vipo! Sehemu nyingine zimeshaacha kutumika, wao wanahangaika nayo. Shame! Nchi ya ovyo sana, wanaonyesha nini kama silaha zenyewe ni za mchina na mrusi, halafu ni za zamani?
 
Wangeonesha silaha za gharama kubwa za kisasa mngelalamika kuwa serikali inapoteza pesa kununua silaha ilihali tuna amani.

Wengi wenu hamjui mambo ya vita lakini mmekuwa wachambuzi kuliko hata mabrigedia [emoji38][emoji38][emoji38]

Tishio kubwa la Tanzania na dunia kwa sasa ni ugaidi, ugaidi unamalizwa na kuwa na vikosi maalumu ( makomandoo) bora na siyo makombora ya masafa marefu.

Nchi za africa zinajitahidi kujenga diplomasia na kuondoa migogoro kwa kujenga uhusiano mwema.

Mwisho:
Jeshini kuna watu wasomi na wataamu wa intelligence kuliko ninyi wacheza karata, hawawezi kuanika kila jambo! Ukiona vile ujue kuna makubwa yamefichwa.
 
Back
Top Bottom