Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

Vijana wengi wanaangalia movies zinawachanganya sana, hawajui mambo kwa ground ni tofauti kabisa.

Tanzania ni nchi ya Kijamaa, mambo yake mengi ni siri, hicho wanachoonyesha sicho kilichopo...

Kila Mwaka bajeti ya wizara ya Ulinzi na usalama inatengwa tena ya kutosha, umewahi kusikia wametangaza kununua hiki ama kile...

Ukiona umekaa sehemu unashushia bia na nyama choma tena kwa amani kabisa jua kuna wanaume hawalali huko.
EeeenHeee!

Mkuu, kweli wewe unadhani taarifa hizi zinaweza kuwa za siri? Manunuzi mnanua wapi?

Ile taasisi ya Sweden inayoshughulika na taarifa hizi unadhani wao huzipata wapi?

Hizi siraha za kawaida hizi hazina usiri wowote.
 
Ina maana hujui kama AK47 zilishastop kutengenezwa muda tu? Kweli tunajadili haya mambo na watu ambao hawana uelewa wa kutosha.
kuachwa kutengenezwa sio kuisha sokoni, AK itaendelea kusumbua na kubaki kuwa most effective kwa majeshi mengi sana sio Africa tu hata Asia. Kwanza Ak unailinganisha na silaha ambayo imewahi kutumika kweny Vita vingi na ikaonesha mafanikio kuliko Ak. Ak imemkimbiza US Afghanistan
 
Ndo maana walichakazwa vibaya sana walipoenda kukabiliana na magaidi wa Mocambic pale Kitaya, wakatelekeza vifaru
unafahamu kwamba USA ilikimbia Vita Somalia? Unafahamu kwamba helikopta zao za kisasa kabisa za Blackhawk ziliangushwa kwa rocket launcher tu ya mchina!? Leta hoja nyingine hufatilii mambo wew
 
Vita na Uganda mlitumia maji kushinda?

Mababu zako kina Kinjeketile Ngwale walituma maji dhidi ya Wajerumani, leo hii na elimu yako bado unarudia mawazo ya mizimu yako. Kwani maji ndio mahitaji pekee katika nchi hii
maji yanaweza yasiwe mahitaji pekee nchi hii, Ila Ni moja ya mahitaji muhimu zaidi kuliko silaha
 
Kati ya vitu vya kipuuzi vinavyo fanyika kwenye hizi sherehe ni haya maonyesho ya maaskari. Its wastage of time na kuonyesha madhaifu ya nchi. Kuna jipya gani watu kushuka kwenye helkopta na kamba? Au kuonyesha masilaha outdated?
Kama rais anataka kuona silaha si aende kwenye makambi? Hii tabia aliikuza mwenda kuzimu sijui kwa faida ya nani?
Ina julikana askari wa Tanzania wanacho jua ni kubambikia watu kesi na kutoa ushahidi wa uongo mahakamani.
JW wamebambika kesi kwa Nani tokea uwafahamu? ama siasa zimekuzidi tu mzee
 
Nchi tatu zilikuwa kule mzee kupambana na wanamgambo wasiokuwa na silaha za maana. Usilee uozo kwa kutupatia stories za Kongo.
Hao Wana mgambo wasio na silaha za maana ndio waliofanya mmarekani akashindwa Vita ya Somalia. Unalielezeaje hilo bro!
 
Yaani dada unavyozungumzaaaa, labda nikuulize swali. What if unaozungumza nao ni moja ya watu ambao wapo ndani ya huo mfumo ambao mnautetea hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Amini kwamba hakuna aliye kwenye mfumo hapa. Mtu aliye kwenye mfumo anatakiwa kuwa anajua kwanini jeshi Lina silaha fulani na kwanini halina silaha fulani na kwanini silaha fulani haihitajiki kwa Sasa.
 
Kuna mambo kuzungumza mno ni aibu kaka.

Bora tukae kimya hivi hivi, tungekuwa wawazi kama Kenya, tungejua mengi mno yaendeleayo Msumbiji na Kibiti.


Sent using Jamii Forums mobile app
unahisi Kuna vitu unafichwa, tukuulize wewe Basi unafahamu Nini kuhusu yanayoendelea Msumbiji? Na ungefichwa vipi wakati magaidi wenyewe Ni watu wa kujisifia lazima wangesema tu kwamba wameangusha wanajeshi wa Tz
 
Inawezekana na wakina Chief Mabeyo wanaendaga kwny hayo maonyesho ya silaha ya kimataifa huko Turkey, Russia kimya kimya,hawapendagi mapicha picha labda
 
Exhibit
Screenshot_20211210-055415.jpg
 
kutumika siyo hoja, hoja ni mabadiliko ya technolojia.

hata simu au gari ya miaka 40 iliyopita hadi leo yapo
yes mabadiliko ya technology yanayotegemea hiyo technology unaitumia kwa Nan sabab huwez kuua mende kwa nyundo. Lazima ucheze kulingana na steps. Mshindani wako anatumia Alteza wewe unaenda kununua Pagani Zonda ili ushindane nae, huku Ni kukosa akili.
 
Back
Top Bottom