rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
technology iliyoshindwa kufanya kazi wakati wa Vita ya SomaliInfantry ni kwaajili ya kisafisha baada ya technology kufanya Kazi yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
technology iliyoshindwa kufanya kazi wakati wa Vita ya SomaliInfantry ni kwaajili ya kisafisha baada ya technology kufanya Kazi yake.
EeeenHeee!Vijana wengi wanaangalia movies zinawachanganya sana, hawajui mambo kwa ground ni tofauti kabisa.
Tanzania ni nchi ya Kijamaa, mambo yake mengi ni siri, hicho wanachoonyesha sicho kilichopo...
Kila Mwaka bajeti ya wizara ya Ulinzi na usalama inatengwa tena ya kutosha, umewahi kusikia wametangaza kununua hiki ama kile...
Ukiona umekaa sehemu unashushia bia na nyama choma tena kwa amani kabisa jua kuna wanaume hawalali huko.
jibu hoja yake, Wale wanajeshi wa US kule Kabul walikuwa wanafanyA Nini?Kwahiyo unategemea wanajeshi wetu 27,000 ndio wapiganishwe kupambana na Su-30 inakuingia akilini kweli!?
We need to modernize our army.
kuachwa kutengenezwa sio kuisha sokoni, AK itaendelea kusumbua na kubaki kuwa most effective kwa majeshi mengi sana sio Africa tu hata Asia. Kwanza Ak unailinganisha na silaha ambayo imewahi kutumika kweny Vita vingi na ikaonesha mafanikio kuliko Ak. Ak imemkimbiza US AfghanistanIna maana hujui kama AK47 zilishastop kutengenezwa muda tu? Kweli tunajadili haya mambo na watu ambao hawana uelewa wa kutosha.
unafahamu kwamba USA ilikimbia Vita Somalia? Unafahamu kwamba helikopta zao za kisasa kabisa za Blackhawk ziliangushwa kwa rocket launcher tu ya mchina!? Leta hoja nyingine hufatilii mambo wewNdo maana walichakazwa vibaya sana walipoenda kukabiliana na magaidi wa Mocambic pale Kitaya, wakatelekeza vifaru
maji yanaweza yasiwe mahitaji pekee nchi hii, Ila Ni moja ya mahitaji muhimu zaidi kuliko silahaVita na Uganda mlitumia maji kushinda?
Mababu zako kina Kinjeketile Ngwale walituma maji dhidi ya Wajerumani, leo hii na elimu yako bado unarudia mawazo ya mizimu yako. Kwani maji ndio mahitaji pekee katika nchi hii
Na Vita ya Somali je?Marekani kasafiri kupeleka kiherehere Vietnam na akakutana na silaha za Mrusi. Hakuwa anajitetea hivo hakulazimika kutumia hata 10% ya uwezo wake kijeshi
JW wamebambika kesi kwa Nani tokea uwafahamu? ama siasa zimekuzidi tu mzeeKati ya vitu vya kipuuzi vinavyo fanyika kwenye hizi sherehe ni haya maonyesho ya maaskari. Its wastage of time na kuonyesha madhaifu ya nchi. Kuna jipya gani watu kushuka kwenye helkopta na kamba? Au kuonyesha masilaha outdated?
Kama rais anataka kuona silaha si aende kwenye makambi? Hii tabia aliikuza mwenda kuzimu sijui kwa faida ya nani?
Ina julikana askari wa Tanzania wanacho jua ni kubambikia watu kesi na kutoa ushahidi wa uongo mahakamani.
Hao Wana mgambo wasio na silaha za maana ndio waliofanya mmarekani akashindwa Vita ya Somalia. Unalielezeaje hilo bro!Nchi tatu zilikuwa kule mzee kupambana na wanamgambo wasiokuwa na silaha za maana. Usilee uozo kwa kutupatia stories za Kongo.
Hao wengine wamenyimwa neema sio? Mungu sio mbaguzi kias hiko.Watanzania aman tuliyonayo ni mambo makuu mawili
1. Mungu ametupa neema
2. Sisi ni waoga
Hakuna kingine zaidi ya hiko.
Umeona mbali kaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amini kwamba hakuna aliye kwenye mfumo hapa. Mtu aliye kwenye mfumo anatakiwa kuwa anajua kwanini jeshi Lina silaha fulani na kwanini halina silaha fulani na kwanini silaha fulani haihitajiki kwa Sasa.Yaani dada unavyozungumzaaaa, labda nikuulize swali. What if unaozungumza nao ni moja ya watu ambao wapo ndani ya huo mfumo ambao mnautetea hapa?
Sent using Jamii Forums mobile app
unahisi Kuna vitu unafichwa, tukuulize wewe Basi unafahamu Nini kuhusu yanayoendelea Msumbiji? Na ungefichwa vipi wakati magaidi wenyewe Ni watu wa kujisifia lazima wangesema tu kwamba wameangusha wanajeshi wa TzKuna mambo kuzungumza mno ni aibu kaka.
Bora tukae kimya hivi hivi, tungekuwa wawazi kama Kenya, tungejua mengi mno yaendeleayo Msumbiji na Kibiti.
Sent using Jamii Forums mobile app
AK 47 haijawahi kupitwa na wakati Kama zilivyo all-star converseMzee nani amesema kushinda battle hapa. Kwani kuwa na computer ya kisasa ndio kujua programming!? Fungua ubongo wako acha kutetea outdated tools.
yes mabadiliko ya technology yanayotegemea hiyo technology unaitumia kwa Nan sabab huwez kuua mende kwa nyundo. Lazima ucheze kulingana na steps. Mshindani wako anatumia Alteza wewe unaenda kununua Pagani Zonda ili ushindane nae, huku Ni kukosa akili.kutumika siyo hoja, hoja ni mabadiliko ya technolojia.
hata simu au gari ya miaka 40 iliyopita hadi leo yapo
mbona hamuelezi kuhusu Vita ya SomaliHawajui kuwa hata zile AK47 vietnum alipewa na mrusi baada ya US kutumia bulletproof kwa Askar zake. Vietnum yeye kama yeye alikuwa mtoto mdogo tu kwa US.
Sent using Jamii Forums mobile app