urmi
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 222
- 263
Una umri gani?!..elimu!?..huwezi shinda Vita bila Askari wa miguuHakuna mapambano ya ana kwa ana katika ulimwengu wa sasa. Sasa hivi ni Tehnologies tu zinapambana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una umri gani?!..elimu!?..huwezi shinda Vita bila Askari wa miguuHakuna mapambano ya ana kwa ana katika ulimwengu wa sasa. Sasa hivi ni Tehnologies tu zinapambana.
Kuna mahali nilipo sema nataka vita we popoma?Kweli ww Mr Devil, unataka vita na majirani?
Askari wa miguu watapambana na Rocket?Una umri gani?!..elimu!?..huwezi shinda Vita bila Askari wa miguu
Dah,humu siku hizi Kuna vichwa maji wengiAskari wa miguu watapambana na Rocket?
Wewe kichwa udongo mbona hujibu swali ninalokuuliza? Askari wa miguu wanaweza kupambana na Su-30Dah,humu siku hizi Kuna vichwa maji wengi
Huwa sijadiliani na watu wenye kumbukumbu duni na uwezo mdogo wa kufikiri na kujengwa hojaWewe kichwa udongo mbona hujibu swali ninalokuuliza? Askari wa miguu wanaweza kupambana na Su-30
Jibu swali mzee acha kuwaka kwa hasira. Askari waendao kwa miguu wanaweza kupambana Su-30 ya uganda?Huwa sijadiliani na watu wenye kumbukumbu duni na uwezo mdogo wa kufikiri na kujengwa hoja
Jeshi ni silaha, silaha ni technology.Watu wameshatoka huko kwenye uzalendo sijui heshima.
Sasa hivi Jeshi ni SILAHA, SILAHA ni TECKNOLOJIA.
Nataman kuendelea kuzungumza na wewe kuhusu hii mada lakini naomba ufute neno la kuniita Boya.Wewe nawe ni boya.
Kwenye list ile haikuwa na order, ikiwa na maana yaani wamepenga tu moja mpaka mwisho randomly.
Na pia, ilihusisha special forces only na sio jeshi kigezo kikubwa ni hiw well trained and equipped. Special Forces za Tanzania Congo walikua wakitumia Galil MAR na ndio maana kwenye list ile hata vikosi maalumu vya Romania vipo nao wanatumia Galil MAR kwakua sio silaha za mchezo mchezo.
Acheni ushamba na ujuaji wa kijinga!
"These are the world’s most elite military teams. They’re highly trained, best equipped and well-prepared fighting units specializing in surgical military operations, from ending a hostage situation swiftly to stealthily eliminating top terrorists.
Yeah, pity the fools who get on the wrong side of any of these elite fighting forces. Please keep in mind that this list is in no particular order. We just hope you enjoy this one."
35 Most Elite Special Forces Around The World
Yaani mpaka wameweka, "please!". Kama huelewi kingereza omba msaada.
Wewe ni expert tangu lini na una uzoefu wa miaka mingapi kwenye sekta ya technology na silaha za jeshi?Nimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu.
Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR.
Kuna BM 21. Kwa kweli tunatakiwa Ku modernize jeshi letu. Bado lipo nyuma sana.
Mimi nimemsoma nikaona ngoja nimkalie kimya. Naona anaropokaropoka tu kama mtoto mwenye njaa aliyekosa vitumbua na sambusa.Mzee nimefuatilia comments zako katika thread hii, umekuja kuchamba watu kama Mange. Sijaona hoja comment yoyote uliyoweka tukuone wewe ni GT.
Hawawezi kukuelewa vijana wa miaka ya 90 na 2000, wasamehe tu.Siri kwani hizo silaha unatengeneza wewe? kila mtu alipewa old stock eti siri wewe unanunua mpaka msumari halafu unasema siri. Siri kama ina silaha unatengeneza na haziuzwi kama unaona USA kuna silaha hawauzi ila wakitengeneza mbadala wa hiyo wanauza wakijuwa wana mbabe wa hiyo waliyouza. wewe mpaka battery ya kuwasha kifaru unaagiza. Msicheze na vita mambo ya kizamamani watu wanakurushia kombora sehemu hata kufika huwezi wana station baharini wanapiga target tu. Ila hizi kutishana wenyewe kweli zinatutosha baada ya miaka 60 tunafurahia silaha za miaka ya 60
Sidhani kwa intelligence ya kawaida kabisa unaweza kutoa silaha zako muhimu ukaanika mbele ya wageniNimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu.
Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR.
Kuna BM 21. Kwa kweli tunatakiwa Ku modernize jeshi letu. Bado lipo nyuma sana.
Tuna rasilimali kila eneo, badala ya kuonesha nini tumefanya na wapi tunaenda, tunaonesha mtu kushuka ktk helkopta, tunaonesha bunduk za kuangulia ndege, zama hizi jeshi linahitaji vitu hivi?Kilichofanyika ni upuuzi mtupu pesa nyingi zimeligharimu taifa kwa maonesho ya siraha zilizopitwa na wakati! Ukiambiwa pesa zilizotumika jana unaweza ukalia! Jana PK kwa macho yake yale alidharau sana ameona bado tupo nyuma sana hususani kwenye nguvu ya kijeshi
Achana nae mkuuUlishawahi kuona display ya silaha za Kenya!?
Hao vijana kukuelewa ni ngumu.Their aim was to capture key allies of the powerful Somali warlord, Gen Mohamed Farah Aideed. Japokuwa walimkamata aideed wakiamini ndio chanzo cha vita somalia. Baadae alifia mikononi mwao 1996.
In my own view marekan waliondoka baada ya kugundua vita ya somalia ni ethnic war. Na huwez maliza ethinic war hiyo iko level ya makabila. Kimsing walipoteza muda tu pale ns resources zao
Kwa technical records tu ni kuwa ni helicopter mbili tu ziliangushwa.
wasomali hawakutumia rocket launcher, zile ni RPG rocket propelled grenade ambazo mi rahis sana kuzipata. Origin yake imetoka kwa mrusi si mchina.
Sehemu kubwa wenzetu ktk show off hizi zile silaha wanakuwa wametengeneza wao. So wanaonesha moja ya maendeleo ya mafanikio yao.Propaganda tu hizo. Design za socialist countries..... Maonyesho kama haya utayaona tu kwenye nchi kama North Korea, China, Russia.
Sijui wa namaanisha kuwa hiyo miaka 60 wanafanikiwa kujenga jeshi imara.....!!!
Uliwahi isikia ile trilion 3 ya mnadhimu mkuu wa jeshi?Tanzania akuna stable jeshi,.. siasa nyingi sana mwanajeshi anasikia kuandamana anaenda kufanya usafi badala wawe upande na wananchi kudai haki yao...
Muda gani wanapata ku- assambble na ku- configure mitambo ..hakuna kazi pale