Wape shule vijana wanaokurupukia mambo military exhibition ni limited sana huwezi kuonesha kila kitu na wala humu hutapata update yoyote ya siraha nchini.Ubora wa jeshi unapimwa kwa mission na vita inavyoshinda. Rejea anjourn invasion, operation chakaza, operation kumekucha. Watu wanaropoka tu ila hawajui kitu kwenye ukanda maziwa makuu tunaongoza kwa kupiga mizinga hata jeshi letu linaongoza kwa kuhimili mikiki kwenye front line. Wakongo wanatujua tulivyowachakaza m 23, Burundi wanatujua tulivyowashumbulia miaka ya nyuma. Yakale ni dhahabdhahabu