Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Yaaani, Unajua Kuna kipindi Huwa Namsikiliza Magori, then Huwa naanza kujiuliza, aliwezaje kuteuliwa kuwa Mkurugenzi CRDB.Ajabu zaidi kiongozi wao analalamikia FVS badala ya kuongea na wachezaji wao, Magori aache uzamani na sukari yake kupanda, mambo yamebadilika
Ni CRDB au NSSFYaaani, Unajua Kuna kipindi Huwa Namsikiliza Magoli, then Huwa naanza kujiuliza, aliwezaje kuteuliwa kuwa Mkurugenzi CRDB.
TImu iliyopanda daraja kagera sugar unasema ni ngumu kuliko namungo au coastal nadhani hauko seriousYanga saivi wanajitia watakatifu kama FVS imeletwa kwaajili ya kuikomoa simba kwa kuwa wamecheza mechi nyepesi wanajitia kama haiwahusu siku mambo yakiwa magumu mtaumbuka penati za kupewa mwaka huu hamna
kila timu inambabe wake unaweza kuta timu inayomsumbua yanga lakini kwa simba ni mechi nyepesi hebu niambie nilini mechi ya costalo na yanga ikawa ngumuTImu iliyopanda daraja kagera sugar unasema ni ngumu kuliko namungo au coastal nadhani hauko serious
Yanga ameshakufunga kule zanzibar tarehe 12 mwezi huu na simba nayo sio timu ngumu
Tena waweke akiba ya maneno Yanga nawaita mara tatu upepo hauna uwelekeo maalumu kitawaramba siyo muda mrefu Jana Baka chupuchupu,Yanga saivi wanajitia watakatifu kama FVS imeletwa kwaajili ya kuikomoa simba kwa kuwa wamecheza mechi nyepesi wanajitia kama haiwahusu siku mambo yakiwa magumu mtaumbuka penati za kupewa mwaka huu hamna
Tena waweke akiba ya maneno Yanga nawaita mara tatu upepo hauna uwelekeo maalumu kitawaramba siyo muda mrefu Jana Baka chupuchupu,Yanga saivi wanajitia watakatifu kama FVS imeletwa kwaajili ya kuikomoa simba kwa kuwa wamecheza mechi nyepesi wanajitia kama haiwahusu siku mambo yakiwa magumu mtaumbuka penati za kupewa mwaka huu hamna
mechi zao ngumu zakubebwa hazijafika saivi wanashinda vidoli vitatu wanaona kama wangeileta kitambo wamesahau kwama wanaangukaga nje ya boksi wanapewa tuta ligi inamechi 30 ndo kwanza mechi ya pili wanajiona mafundi kwa kuperform vzuri kwa costal ambayo tangu izaliwe haijawahi hata kutoa sale nao leo hii wanajiona wanakikosi boraTena waweke akiba ya maneno Yanga nawaita mara tatu upepo hauna uwelekeo maalumu kitawaramba siyo muda mrefu Jana Baka chupuchupu,
Kagera sugar ni wagumu kuliko namungomechi zao ngumu zakubebwa hazijafika saivi wanashinda vidoli vitatu wanaona kama wangeileta kitambo wamesahau kwama wanaangukaga nje ya boksi wanapewa tuta ligi inamechi 30 ndo kwanza mechi ya pili wanajiona mafundi kwa kuperform vzuri kwa costal ambayo tangu izaliwe haijawahi hata kutoa sale nao leo hii wanajiona wanakikosi bora
Mkiperfome hivyo mech 10 ndo tutaamini mpo vzuri
hapo mech ngumu ni ya simba tu angalia recod ya yanga na namungo majibu utakuwa nazo mwenyewe na rekodi zaKagera sugar ni wagumu kuliko namungo
Yanga amemfunga simba tarehe 12 hizo mechi ngumu ni zipi
Mechi ngumu ni Simba Vs Kagera?Yanga saivi wanajitia watakatifu kama FVS imeletwa kwaajili ya kuikomoa simba kwa kuwa wamecheza mechi nyepesi wanajitia kama haiwahusu siku mambo yakiwa magumu mtaumbuka penati za kupewa mwaka huu hamna
mkuu ushafatilia recod za kagera ikikutana na simba anapataga matokeo kiulahisMechi ngumu ni Simba Vs Kagera?