Chama cha MapinduziWatanzania Tumerogwa na nani ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama cha MapinduziWatanzania Tumerogwa na nani ??
Si kuiga model ya Kenya, kwanza kwanini tuige kama kweli tuna wasomi na wataalamu?Sielewi kwa nini na sisi tunatafuta kuiga 'model' ileile ambayo inawapa matatizo makubwa wenzetu hawa!
Wasomi wana njaa; hapana. Wasomi ni walafi. Hawatumii vichwa, wanatumia tumbo.Si kuiga model ya Kenya, kwanza kwanini tuige kama kweli tuna wasomi na wataalamu?
Lengo ni kuonesha jinsi gani tumesheheni kwa kila kitu isipokuwa kwa akili tu.
We jamaa sijui January kakufanya nn???Inaingia akilini kweli wadau? Tunahitaji huu mradi ukamilike ndani ya wakati na taifa liweze kupata nafuu ya bei ya umeme na kisha gharama za maisha kushuka chini na wananchi kufurahia keki ya taifa.
Huku akijua kabisa mradi wa JNHP upo 40% lakini badala akomae mradi uishe kwa wakati na gharama za umeme zipungue. Yeye ananzisha mradi wa kutengeneza njia za kusambaza umeme wa tri 1.7.Hii ni janja ya upigaji wa January Makamba.
Hivi unaweza kuanza kuweka mabomba ya kusambaza maji kabla hujachimba kisima au kuwa na uhakika wa chanzo cha maji?
Mkuu wa nchi anashiriki kupiga raia wa kawaida na vyuma vizito akishiriki kulamba asali.
Mimi nazungumzia kweliWe jamaa sijui January kakufanya nn???
Wewe huzungumzi kweli Bali una NONGWA. au ukweli wako unalenga usiowapenda.Mimi nazungumzia kweli
Viwango ndio vinatofautiana. Zamani walikuwa wanasema kuna fisadipapa na fisadinyangumi. Kwa hiyo heri nusu shari kuliko Shari kamili.Nani siyo mwizi?
Urefu wa kamba unaamliwa na mbiuzi au mwenye mbuzi?Inaingia akilini kweli wadau? Tunahitaji huu mradi ukamilike ndani ya wakati na taifa liweze kupata nafuu ya bei ya umeme na kisha gharama za maisha kushuka chini na wananchi kufurahia keki ya taifa.
Huku akijua kabisa mradi wa JNHP upo 40% lakini badala akomae mradi uishe kwa wakati na gharama za umeme zipungue. Yeye ananzisha mradi wa kutengeneza njia za kusambaza umeme wa tri 1.7.Hii ni janja ya upigaji wa January Makamba.
Hivi unaweza kuanza kuweka mabomba ya kusambaza maji kabla hujachimba kisima au kuwa na uhakika wa chanzo cha maji?
Mkuu wa nchi anashiriki kupiga raia wa kawaida na vyuma vizito akishiriki kulamba asali.
Na Erythrocyte asali, omg!Nani aseme zitto kalamba asali, lissu asali, mbowe asali
Tukiwaambia CCM ni janga nchi hii mnakataaInaingia akilini kweli wadau? Tunahitaji huu mradi ukamilike ndani ya wakati na taifa liweze kupata nafuu ya bei ya umeme na kisha gharama za maisha kushuka chini na wananchi kufurahia keki ya taifa.
Huku akijua kabisa mradi wa JNHP upo 40% lakini badala akomae mradi uishe kwa wakati na gharama za umeme zipungue. Yeye ananzisha mradi wa kutengeneza njia za kusambaza umeme wa tri 1.7.Hii ni janja ya upigaji wa January Makamba.
Hivi unaweza kuanza kuweka mabomba ya kusambaza maji kabla hujachimba kisima au kuwa na uhakika wa chanzo cha maji?
Mkuu wa nchi anashiriki kupiga raia wa kawaida na vyuma vizito akishiriki kulamba asali.
Huyu jamaa ni Mwizi.
Mfumo wa kupora na kufungia akaunti za watu ndio mfumo mzuri? Samia hafanyi hivyo.Waliwekewa mfumomzuri wakukusanya kodi sasa wanaona hela zinajaatu hazinakazi ndio matokeoyake hayo.
Utanionesha mama'ko anavaa vipi, ntavaa kama mama'ko. Vaa basi kama mama'ko urushe picha nijionee.Natamani nikutoe out ila usivae baibui jeusi