Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Unaweza ukawa na ukweli.Kwa sababu zama za kale kulikuwa na msemo "EX EXLESIA NULA SALUS"! Kwamba nje ya kanisa(Katoliki) hakuna wokovu Lakini,baada ya kujidhihirisha kwamba kanisa lilipitia makosa na upotofu mwingi,likaamini kwamba kumbe "KANISA LINAWEZA/LITAENDELEA KUSAHIHISHWA NA WAKOSOAJI (REFOMANDAS)WAKE WA NJE NA HATA NDANI.Wakatolik wahuni tuu
Hata wewe usiishie kuandika tu kwamba ni "wahuni"!Toa maelezo yenye ukweli,uhakika na pasina shaka,utasikilizwa na kupokewa.