Fuateni huko majuu watu wanayakimbia makanisa na mengi yameanza kupigwa mnada na mengine yamenunuliwa na kutakaswa na kukoshwa na baadae kufanywa misikiti,inafurika ,wale mnaowaita wazungu sasa wameanza kujua ipi dini ya kweli na ipi pumba ,kwa maana makundi kwa makundi wanaacha makanisa na kuufuata ISLAM.
Ila hapa Afrika bado mnachezezewa na shetani na ndio mkaona bilisi anazidi kuwapoteza kwa kuona kanisa lipo na ukweli ,na katika mia anayosema bilisi aka shetwani moja linakuwa na ukweli. Hapo ndipo anapowazoa wengi wanaoingia jehannam.
Islam inakuwa dini kuu UK 2025 ,kama hamjapata habari baada ya waumini wengi wa kikiristo kuanza kuyakimbia makanisa.