Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Unaweza ukawa na ukweli.Kwa sababu zama za kale kulikuwa na msemo "EX EXLESIA NULA SALUS"! Kwamba nje ya kanisa(Katoliki) hakuna wokovu Lakini,baada ya kujidhihirisha kwamba kanisa lilipitia makosa na upotofu mwingi,likaamini kwamba kumbe "KANISA LINAWEZA/LITAENDELEA KUSAHIHISHWA NA WAKOSOAJI (REFOMANDAS)WAKE WA NJE NA HATA NDANI.Wakatolik wahuni tuu
Kweli?au hujui hawajamaa usizani wanahuruma hats kidogo wanchota pesa ndefu sana wanapewa naserekali nabado kilaufisadi jamaa wamo kwenyemgao mfano esNdugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana, wamemaliza ujinga wa DPW.
Muda si mrefu Mama atatema bungo. Tender hiyo, wenye mbavu waipambanie. Ile sheria ya maliasili waliyotaka kubadilisha ili mikataba isipelekwe bungeni juzi nimeona kamati ya bunge ikipinga mapendekezo yote ya serikali. So far ile sheria haijaguswa.
Kama sio msuli wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC tungepigwa na kitu kizito vibaya sana.
Ahsanteni Maaskofu wa Katoliki.
Siyo Askofu tu; kupitia ubatizo, Wakristu wote tumeshirikishwa unabii, ukuhani na ufalme.Vyeo vya askofu. 1. Mchungaji, 2. Nabii, 3. Mfalme. wana uwezo wa kutumia marungu yote kwa pamoja
Wamekubaka?. Wabakaji
Mikataba hiyo imejadiliwa na jamii kwa sababu imeonekana kwa umma na unaposikia mkataba mbovu ni siasa zenye malengo maalum nyuma ya maoni hayo.Hatukatai KERO zipo lukuki, kinachopingwa na wataaalam wetu kina shivji jaji walioba na wataaalam wengi wa sheria za mikataba ni baadhi ya masharti ni mabaya Kwa mno Kwa nchi, hatupingi uwekezaji tunahitaji mno ila usiwe kitanzi Kwa nchi kama kesi ambazo Tanzania inashindwa na kulipa Kila Leo
Walikupiga mtungo?. Wabakaji
Walikupiga mtungo?. Wabakaji
Walikupiga mtungo?. Wabakaji