Kama sio roho mbaya na chuki za watawala, Jamii forum ingekuwa platform kubwa sana kusini mwa afrika

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,894
Reaction score
22,679
Yeah, ni chuki tu za watawala wetu na Roho mbaya ,ila Jamii forum ingekuwa ipo mbali zaidi ya hapa . Ila ndio hivyo tuna watu kwenye viti vya mamlaka wana fantasize na ku wish jamiiforum isingekuwepo...
Hii platform ingekuwa bidhaa ya watu karibia million 300 kwa nchi zote zinazoonhea kiswahili.

Hata hapa Jf ilipofika since 2006 Ni Mungu tu.
 
Kufungua kitu kikubwa kama hiki Tanzania ni kaburi la KIFO, ndio mana lazima utafute mbinu mbadala...
Uber wamekimbia tayari. Biashara za Tanzania , 80% ni za magendo za hao unaowaita wenye mamlaka...hizo 20% ndio za walalahoi...
 
Exactly, huu mtandao ungekiwa kama Tweeter (X) ya Africa! Maxence Melo
 
Serikali ingekuwa inakusanya Kodi zaidi kama JF ingekuwa supported...
Vijana wengi wangepata ajira kupitia JF lkn ndiyo hivyo nchi imekuwa ya kifala
Kabisa mdau... Huku watu wangekuwa wanatengeneza pesa kwa kuuza bidhaa zao na hata kuitangaza Tanzania kwenye sekta za utalii au hata uwekezaji kwenye Maeneo mengine ya kiuchumi ila kwakuwa ccm ni Wabinafsi , hauoni hili likafanyika
 
Kabisa mdau... Huku watu wangekuwa wanatengeneza pesa kwa kuuza bidhaa zao na hata kuitangaza Tanzania kwenye sekta za utalii au hata uwekezaji kwenye Maeneo mengine ya kiuchumi ila kwakuwa ccm ni Wabinafsi , hauoni hili likafanyika
Ccm sio wabinafsi...wamewekeza kwa akina PIPITIDA ..unamfahamu?
 
Pray for Jamiiforum
Kiukweli tunapitia mengi ndio maana mpaka sahii bado imefungiwa dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…