Kama sio tajiri na huna asset, kusomesha watoto shule za gharama ni ujinga unaongeza umaskini kwenye ukoo

Uhakika wa kufaulu upo kwenye private schools. Pitia matokeo shule za serikali. Hali ni mbaya.
hayo maneno ya "ufaulu umeongezeka" yasikie hivyo hivyo
Haki tena, JK hakukosea, za kuambiwa changanya na za kwako!
Rahisi sana kupotea usipotumia akili zako!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kama hoja ni kuelewa tu basi hata kwa Kichaga,Kihaya,Kimasai,Kimatumbi n.k wanaweza kuelewa na tuwafunishe hivyohivyo.
Hoja yako ni chakavu na imekosa dira na muelekeo.
Hujifunzi ndio tatizo lako.. India karibu kila State inlugha ya kufundishia.. wao waliofanya hivyo ni sisi tuliadopt kizungu nani anafanya vizuri kwenye eneo la ubunifu!?

Acha kupelekeshwa na dunia.. take a pause and think independently. Wanao unawafundisha majukumu yao ya nyumbani kwa kizungu!? Mbona wanayaelewa na wako very confident kuyaexpress kokote!?

Nakama hoja sio kuelewa.. shule wanaenda kufanya nini.. kuimba!?
 
Mleta mada upo sahihi tatizo la wazazi Ni kuigana, Wanasahu kuwa Elimu hufuata mkondo.

Kama mzazi ni std 7 hata ukifosi mwanao asome IST ni kazi bure, kingine nikwamba tunasomesha watoto wajue thamani na siyo kuwa matajiri.
 
Waliosomea hizo english medium na kayumba waje watupe mrejesho huko mtaani life linasemaje

Waliojiajiri/walioajiriwa wengi wanatokea wapi?
Wabunifu wengi wanatokea upande upi?
Viongozi wengi wanatokea upande upi? n.k
 
true that
 
Waliosomea hizo english medium na kayumba waje watupe mrejesho huko mtaani life linasemaje

Waliojiajiri/walioajiriwa wengi wanatokea wapi?
Wabunifu wengi wanatokea upande upi?
Viongozi wengi wanatokea upande upi? n.k
Umri wa viongozi wetu ni mkubwa. Wamesoma za serikali zamani wakati private zilikuwa chache.
 
Zisizozidi laki 1 kwa mwaka nje ya mahitaji muhimu ya mtoto
Mi tatizo langu na kayumba school ni utoaji wa adhabu Kali zilizopitiliza Hali inayopelekea watoto kuwa na matatizo ya kisaikolojia

Km ukifanya utafiti watanzania tulio wengi tuna matatizo ya kutojiamini na chanzo kikuu cha Hali hii ni shule zetu hizi za kayumba.

Km ulisoma kayumba nadhani utakuwa unanielewa, shule za kayumba ukiwa unajiamini unaonekana ni tatizo mbele ya walimu watakuandama mpaka uone shule chungu

Yaani mwalimu kila anapoingia darasani we ndyo unajifanya kiereere cha kumuuliza maswali, soon wataku lebel km mjuaji na utakula stiki mpaka unakuwa ngo'mbe km wenzako yaan hakuna kuhoji.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mgoyojr
Hivi ada za Shaaban Robert zipoje?

Mimi nimesoma form 1 pale 2004 , kiukweli Ada ilikuwa nahisi ni milion moja na laki fulani ya kipindi kile kwa mwaka nahisi , but Shabaan Robert walikuwa wako very selective na ufaulu wa mchujo na pia walikuwa nahisi wanaangalia background sijui za wazazi manake kwa bei ile ilikuwa watu wengi wangeweza ingia but nafasi zilikuwa chache sana na watu wengi walifaulu wakitoka hapo manake Elimu ilikuwa babu kubwa kutoka kwa walimu best ... Sams goes to Shule nyingi za kihindi na asili za wa asia . But they deliver the best to their generation ndio maana unaona wanatoa elimu nzuri manake Target yao ilikuwa jamii yao wapate elimu nzuri
 

Elimu ya Tanzania ndio ilivyo , kote tu si kayumba hata tu english medium , elimu ni ya kuogopana , ukimuona Mwalimu , professor unamuogopa kama mtoa roho wakati huyo ni mfundishaji wako unatakiwa uwe close na akujue vzuri kiundani ili mbond na muweke perfect environment ya kusoma na uelewa , nje watu wanaongea na maprofessor wao wakubwa darasani kwa heshima but bila kuogopana na mnachat hata kwa simu na kupigiana pale unapohitaji msaada wa jambo fulani , mko friendly bila ya kuogopana . Rudi bongo PROFESSOR NI MUNGU MTU , WE NEED CHANGES GUYS
 
Uongo

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Umeona mbali

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Ongeeni yote ila mwisho wa siku kwenye interview za kutafuta kazi hpo ndipo mbivu na mbichi ndipo zinapojulikanaga

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Aliyeimba bongo bahati mbaya hakukosea

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Uko juu ndo kuna nini? tusikariri kwamba ukisoma lazima uwe CEO au uajiriwe mtoto asome apate uwezo wa kupambana, hiyo lugha ni mhimu tofauti na unavoichukulia. Kuna kampuni moja ya gas niliahi kufanya asilimia 90 ya wabongo waliokuwa wameajiriwa pale, wamesoma nje siyo kuwa walikuwa na knowledge kubwa kuliko waliosoma ndani. Tatizo ni lugh kwenye interview, soma kilimo fanya miradi kilimo na ufugaji
 
Mawazo mazuri sana, je kizazi hiki kitataka kuingia huko mashambani??

Nikiangalia vitu walivyoamini na kuvipenda wazazi wangu sivyo navyo viamini na kuvipenda mimi, na hata watoto wangu nikiangalia wana maono tofauti kabisa na mimi.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mwambie kabisa wewe ni mwanaume, shida yako unadanganya watu kuwa ni demu halafu baadae kwenye simu wanakuja kugundua kuwa ni mwanaume ndipo unapoleta shida wewe kijana
Sasa mommy kwan huyo muhusika, yupo serious? Au mie nipo serious? Mbna vitu vidogo mnapenda kuvichukulia serious. Yaan mie niwadanganye watu ili iweje? Sijawahi kutangaza jinsia yangu humu, na wala hakna anaejua hilo.
Poleeeeeh huko kwa cm wapi wanapojua jinsia yangu? Hebu relaaaaax mie swezi kukuibia mabwana zako.
 
kweli kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…