Mi tatizo langu na kayumba school ni utoaji wa adhabu Kali zilizopitiliza Hali inayopelekea watoto kuwa na matatizo ya kisaikolojia
Km ukifanya utafiti watanzania tulio wengi tuna matatizo ya kutojiamini na chanzo kikuu cha Hali hii ni shule zetu hizi za kayumba.
Km ulisoma kayumba nadhani utakuwa unanielewa, shule za kayumba ukiwa unajiamini unaonekana ni tatizo mbele ya walimu watakuandama mpaka uone shule chungu
Yaani mwalimu kila anapoingia darasani we ndyo unajifanya kiereere cha kumuuliza maswali, soon wataku lebel km mjuaji na utakula stiki mpaka unakuwa ngo'mbe km wenzako yaan hakuna kuhoji.
Sent from my SM-A013G using
JamiiForums mobile app