Kama sio tajiri na huna asset, kusomesha watoto shule za gharama ni ujinga unaongeza umaskini kwenye ukoo

Hiyo biblia uliyoiquote ni enzi za kina Nuhu wewe,sa hii dunia in nyingine kabisa mkuu.

Acha kabisa SAA hii watu wantafuta kwenda kutalii mwezini na kurudi we unaongelea kitu gani lakini.
By the way nyie ndo mtaji Wa CCM.
we jidanganye kwepa majukumu yako kwa kivuli cha cheti...we uwezo wako wa kufikiri upo chini ya soksi zangu ndio mana unakimbilia kwenye ujuzi wa kutukana weka hoja.....mwanao unamsomesha mpaka anamaliza chuo ...unatumia zaidi ya milion 25...akikuomba mtaji unampa laki tano..mimi wangu nampa milioni 30...na nimeshamfundisha how money works...and how to invest ...hata kuwa konda tu...mnaishia kuzalisha vizazi maskini vyenye kujua kuvaa tai...
Hiyo biblia uliyoiquote ni enzi za kina Nuhu wewe,sa hii dunia in nyingine kabisa mkuu.
jibu;leta version yako mpya tuisome...
Acha kabisa SAA hii watu wantafuta kwenda kutalii mwezini na kurudi we unaongelea kitu gani lakini.
By the way nyie ndo mtaji Wa CCM.
jibu;wanakwenda kutalii walio na fedha sio elimu...hii ya tanzania mtu akimaliza ni kuanza kununua bahasha na kutoa copy vyeti...

nikutukane kidogo;;;go and https://jamii.app/JFUserGuide yourself kenye wewe uwe unajibu hoja..
 
Hivi unaweza ukajisifia kuajiriwa?

Tanzania ina zuzu wengi sana
 
Point kaka,unaweza ukapata sifa kichaa kumbe unakufa njaa
 
Point
 
Hivi unaweza ukajisifia kuajiriwa?

Tanzania ina zuzu wengi sana
Yani we mwalimu kuwa na bodaboda ndo unajiona umejiajiri,ulikuwa machimboni mini?,huu Uzi Wa zamani sana watu tushaupotezea we ndo Leo unaingia online.
 
Ndo ukome.
 
Kuna uwezo binafsi wa mtoto pia. Hakuna jibu la moja kwa moja, ila ukiangalia kwa ujumla, chuo kikuu watoto wengi wanaishia kufanana, achilia mbali walisoma shule gani za msingi na Secondary. Watoto wale wanaonyesha performance nzuri vyuoni na kazini, wengi ni kwa uwezo wao binafsi na wacache huchangiwa na shule walizosoma hapo nyuma.... Ni mawazo yangu tu, sina ushahidi usiopingika.
 
Umeongea ukweli mtupu,sio shule zote za private wanafundisha kizungu kizuri.
Pia juhudi na uwezo na kipaji cha mtoto mwenyewe,ukiangalia watu kama kina Lisu,Zito,na wengine wengi ni matunda ya shule za kawaida tu kabla ya wingi Wa shule kata.

Elimu yetu ilikuja kushushwa thamani enzi za kina waziri Shukuru Kawambwa,walipoleta mambo ya Big result now.

Wakaacha mambo ya kufaulu wakaleta mambo ya kuchaguliwa.
 
Coño we.
 
umenifurahisha sana mkuuu, kwa hiyo unataka kusema ule muda wa kuimba nyimbo moja unakaribia
 

Point sana bro....Nina Mtoto wa aunt angu anasoma izo kayumba toka la kwanza mpk la tano uwa wa kwanza yeye sasa yupo Mtoto wa ndugu wa darasa la nne Santa merry aisee wakikaa pamoja unaona pumba na mchele kabisaa zimetengana...kingereza maarifa dini aisee Kila kitu kaZidiwa uyo ni moja kayumba na mwenzie wa nje ya kumi bora

Jamani tutafute pesa tuache ujinga wa kuponda...

Yan std7 wa kayumba uumringanishe na wa santa marry?
 
Bosi huyo anakipaji hata angekuwa st kayumba angekuwa juu tu mimi nina mdogo wangu yupo form Three Now Ilboru anawakimbiza mbaya hao wa sijui international school na dogo kasoma st kayumba

Hawa ni wachache sana mkuu
 
Hivi unaweza ukajisifia kuajiriwa?

Tanzania ina zuzu wengi sana

Shule shule shule shule elimu elimu elimu elimu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuna safari ndefu kama Taifa
 
Haki tena, JK hakukosea, za kuambiwa changanya na za kwako!
Rahisi sana kupotea usipotumia akili zako!

Everyday is Saturday............................... 😎

Jk mjanja mjanja.. mswahili aliyefika chuo kikuu sio mtu wa mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…