Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kwahio sahizi Bunge primary sio shule nzuri?Watoto wa Jakaya wamepeleka watoto wao bunge miaka 25 iliopita.
Wakati huo elimu wa Tz haikuwa ya hovyo kama ya sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahio sahizi Bunge primary sio shule nzuri?Watoto wa Jakaya wamepeleka watoto wao bunge miaka 25 iliopita.
Wakati huo elimu wa Tz haikuwa ya hovyo kama ya sasa.
we jidanganye kwepa majukumu yako kwa kivuli cha cheti...we uwezo wako wa kufikiri upo chini ya soksi zangu ndio mana unakimbilia kwenye ujuzi wa kutukana weka hoja.....mwanao unamsomesha mpaka anamaliza chuo ...unatumia zaidi ya milion 25...akikuomba mtaji unampa laki tano..mimi wangu nampa milioni 30...na nimeshamfundisha how money works...and how to invest ...hata kuwa konda tu...mnaishia kuzalisha vizazi maskini vyenye kujua kuvaa tai...Hiyo biblia uliyoiquote ni enzi za kina Nuhu wewe,sa hii dunia in nyingine kabisa mkuu.
Acha kabisa SAA hii watu wantafuta kwenda kutalii mwezini na kurudi we unaongelea kitu gani lakini.
By the way nyie ndo mtaji Wa CCM.
Hivi unaweza ukajisifia kuajiriwa?We hujui kitu,watoto wetu tunawapeleka private kuanzia la kwanza had I kidato cha NNE,wakifaulu kwenda form five kwenda shule za sirikali za kata tunawapeleka ili waingie kwenye mfumo na wanakimbiza mbaya huko.
Ndo hao unaoowaona wamejazana hhuko kwenye mabenki,TRA,hata serikalini wapo tu.
Point kaka,unaweza ukapata sifa kichaa kumbe unakufa njaaHabari wadau..
January imeisha .. wazazi wengi walikuwa wanalalamika school fees tatizo.
Kwa maoni yangu kama mtu huna mali za kutosha, huna kampuni ya kueleweka wala huna mtaji wa kutosha... baba mzazi wewe mwenyewe unategemea ajira za laki nane ama milioni moja, kusomesha watoto wako shule za gharama sio jambo zuri.
Hakuna CEO Mtanzania ambaye ameajiriwa ambaye hayupo kwenye kampuni ya baba yake kama Mo, ambaye amesoma international schools, ama shule za bei nafuu za kiingereza ambazo tunaita english medium... tukumbuke english medium zipo Tanzania miaka kibao kama IST, Arusha school ama Olimpio.
Kuna CEO wengi wazawa kama Dada CEO wa NMB Ruth Zaipuna ama wa CRDB Majid Nsekela na wengine wengi hawajapita Olimpio wala Arusha schools enzi ambazo wanasoma msingi zilikuwepo tayari ila wamepata nafasi kubwa kwa uwezo wao binafsi wa kazi..
Mzazi ambaye huna hela za kutosha peleka mwanao shule za bei nafuu kisha msimamie mwanao vizuri, kila siku mfatilie. Hela ya ada ya kulipa Tusiime nunua asset unazozimudu mwanao zitamsaidia kuliko kumlipia ada mamilioni.
PointMimi namtazamo mwingine japo sitofauti sana na wewe, mimi naona ni vyema kipindi hichi wazazi wenye kipato cha kawaida wakawa na malengo ya kuja kuwekeza zaidi kwa watoto wao kwenye elimu ya juu huku chini hakuna haja sana sababu watoto wanaishia kujua lugha tu.
Yani we mwalimu kuwa na bodaboda ndo unajiona umejiajiri,ulikuwa machimboni mini?,huu Uzi Wa zamani sana watu tushaupotezea we ndo Leo unaingia online.Hivi unaweza ukajisifia kuajiriwa?
Tanzania ina zuzu wengi sana
Ndo ukome.we jidanganye kwepa majukumu yako kwa kivuli cha cheti...we uwezo wako wa kufikiri upo chini ya soksi zangu ndio mana unakimbilia kwenye ujuzi wa kutukana weka hoja.....mwanao unamsomesha mpaka anamaliza chuo ...unatumia zaidi ya milion 25...akikuomba mtaji unampa laki tano..mimi wangu nampa milioni 30...na nimeshamfundisha how money works...and how to invest ...hata kuwa konda tu...mnaishia kuzalisha vizazi maskini vyenye kujua kuvaa tai...
Hiyo biblia uliyoiquote ni enzi za kina Nuhu wewe,sa hii dunia in nyingine kabisa mkuu.
jibu;leta version yako mpya tuisome...
Acha kabisa SAA hii watu wantafuta kwenda kutalii mwezini na kurudi we unaongelea kitu gani lakini.
By the way nyie ndo mtaji Wa CCM.
jibu;wanakwenda kutalii walio na fedha sio elimu...hii ya tanzania mtu akimaliza ni kuanza kununua bahasha na kutoa copy vyeti...
nikutukane kidogo;;;go and **** yourself kenye wewe uwe unajibu hoja..
Kuna uwezo binafsi wa mtoto pia. Hakuna jibu la moja kwa moja, ila ukiangalia kwa ujumla, chuo kikuu watoto wengi wanaishia kufanana, achilia mbali walisoma shule gani za msingi na Secondary. Watoto wale wanaonyesha performance nzuri vyuoni na kazini, wengi ni kwa uwezo wao binafsi na wacache huchangiwa na shule walizosoma hapo nyuma.... Ni mawazo yangu tu, sina ushahidi usiopingika.Hivi huu msemo Wa eti watoto wanaosoma shule za academies sijui private school eti wanaishia kujua lugha tu, mi natofautiana na wewe mkuu, Kijana wangu yuko std seven hizo shule, sikifichi anawa challenge hata majamaa waliosoma hizo ma A level za kata na wanamkubali mbaya.
Utopolo Pro Max🤣Huo ndio utopolo Pro Max! Yani ukishindwa ma Ada huko sindio fedhea kubwa zaidi.
Umeongea ukweli mtupu,sio shule zote za private wanafundisha kizungu kizuri.Kuna uwezo binafsi wa mtoto pia. Hakuna jibu la moja kwa moja, ila ukiangalia kwa ujumla, chuo kikuu watoto wengi wanaishia kufanana, achilia mbali walisoma shule gani za msingi na Secondary. Watoto wale wanaonyesha performance nzuri vyuoni na kazini, wengi ni kwa uwezo wao binafsi na wacache huchangiwa na shule walizosoma hapo nyuma.... Ni mawazo yangu tu, sina ushahidi usiopingika.
Coño we.we jidanganye kwepa majukumu yako kwa kivuli cha cheti...we uwezo wako wa kufikiri upo chini ya soksi zangu ndio mana unakimbilia kwenye ujuzi wa kutukana weka hoja.....mwanao unamsomesha mpaka anamaliza chuo ...unatumia zaidi ya milion 25...akikuomba mtaji unampa laki tano..mimi wangu nampa milioni 30...na nimeshamfundisha how money works...and how to invest ...hata kuwa konda tu...mnaishia kuzalisha vizazi maskini vyenye kujua kuvaa tai...
Hiyo biblia uliyoiquote ni enzi za kina Nuhu wewe,sa hii dunia in nyingine kabisa mkuu.
jibu;leta version yako mpya tuisome...
Acha kabisa SAA hii watu wantafuta kwenda kutalii mwezini na kurudi we unaongelea kitu gani lakini.
By the way nyie ndo mtaji Wa CCM.
jibu;wanakwenda kutalii walio na fedha sio elimu...hii ya tanzania mtu akimaliza ni kuanza kununua bahasha na kutoa copy vyeti...
nikutukane kidogo;;;go and **** yourself kenye wewe uwe unajibu hoja..
umenifurahisha sana mkuuu, kwa hiyo unataka kusema ule muda wa kuimba nyimbo moja unakaribiaTaratibu tunaanza kuelewana sasa, nilianza mimi akafata bwana Billy na hatimae Freshman! Kadri mda unavyoenda naona matumizi mazuri ya akili yanazidi kuongezeka miongoni mwa wana JeiEFu [emoji16][emoji16][emoji16] hili linafurahisha.
Kama aina ya viongozi ndio hawa wanaosema vijana wengi hawafanyi kazi sijui kwanini [emoji23][emoji23][emoji23] ni aheri wananchi tukachanga karata zetu vizuri zaidi.
Kuimba kupokezana yaniumenifurahisha sana mkuuu, kwa hiyo unataka kusema ule muda wa kuimba nyimbo moja unakaribia
si siku nyingiumenifurahisha sana mkuuu, kwa hiyo unataka kusema ule muda wa kuimba nyimbo moja unakaribia
Asante sana mleta mda.
Kusoma huu uzi nimegundua machache.
-Wengi tunafarijiana na kudanganyana (ni wachache kama wapo) wenye uwezo lakini wakaamua kuwapeleka watoto wao shule zetu za Kayumba. wengi wetu (30s na kuendelea naamini tulipita hizi shule. We know what we are talking about).
-Si kweli kwamba mtoto ukimpeleka Kayumba, utafanya savings za kumnunulia assets. Na waliosoma academies hawatakuwa na assets.....at the end of the day wengi waliosoma Kayumba..ndo hao utakuta ni semi illiterate..kiingereza hawajui..kiswahili hawajui..ilmradi maisha yanakwenda. Hata maofisini wanaweza kuja na vyeti vya first class lakini kujieleza ni shida!
-infact wanaosoma shule za academies ndo unakuta wengi wazazi wamewaandalia mazingira mazuri...
-Elimu ya Tanzania inatutayarisha kuajiriwa (blue collar jobs. Haimuandai mwanafunzi kuwa innovative na kutengeneza utajiri. Ndo maana unakuta humu wengi tunapambana kuwanunulia viwanja, kuwajengea nyumba nk watoto wetu all in the name of "assets".
-Ndo maana ukiangalia wengi waliobahatika kufanya kazi serikalini most ni wezi wezi na wajanja wajanja. unakuta mtu ana viwanja 5, nyumba za kupangisha laki mbili au tatu na frame kadhaa....na ndo atakwambia ana assets.
-Humu I can bet my last coin wengi wanaoandika wakiponda hizi academies..watoto wao wanasoma hizo shule.....ukweli ni kwamba kwa Tanzania ya leo Kayumba au shule za kata ni za watoto wa wasiokuwa nacho. ( ndo maana utakuta Mwigulu anakwambia Kiswahili lugha ya taifa ndo itumike kila sehemu…..yet mwanae anasoma Feza! Zako changanya na za kuambiwa!
-Ni kama gari huwezi kuwa na uwezo wa kununua V8 au Prado ukaenda kuchukua Vitz au IST..kisa kwamba yote ni usafiri….….very few will do that.
-Mwisho wa siku mafanikio ni juhudi binafsi na baraka za mwenyezi Mungu. Kuna waliosoma Kayumba na wametusua kweli kweli..ingawa wengi wanapigika. na kuna waliopita kwenye hizi academies ambao wametusua na wengine wako mjini na kiingereza kingi. Ingawa hili group la academies..hata kama maisha yamewapiga..wana survival skills (wanajua kujieleza na wana exposure). Unaweza hata kumkuta customer care Tigo au DSTV! Huko kiingereza kimetamalaki!
-Mimi nasomesha mwanangu shule ambayo nina uwezo nayo. Siwezi kumpeleka Kayumba nilikosoma mimi eti naogoa maneno ya waja! Ngoja akapambane...Mimi natimiza wajibu wangu. Aijuaye kesho ni Mungu pekee.
-Dunia ya leo ni Kijiji. lazima ujue lugha za watu. Uwe confident. Ujue dunia na walimwengu wanataka nini….you have to position yourself! Ujue kupambana kweli kweli..na katika hilo utahitaji silaha zote. Ukisikiliza maneno ya wanasiasa...utaishia kugombania ajira za Magufuli ambazo hazipo…..hata ukizipata mshahara ndo laki tano (dola 200!)..hapo kwa nini usichanganyikiwe?
-Ushauri wangu: Usisikilize mtu humu. mpeleke mwanao shule ambayo una uwezo nayo. Mengine ni porojo tuu za waja.
Bosi huyo anakipaji hata angekuwa st kayumba angekuwa juu tu mimi nina mdogo wangu yupo form Three Now Ilboru anawakimbiza mbaya hao wa sijui international school na dogo kasoma st kayumba
Hivi unaweza ukajisifia kuajiriwa?
Tanzania ina zuzu wengi sana
Kabisa watu wanaangalia wataonajwe na walimwengu akipeleka watoto KAYUMBA.
Haki tena, JK hakukosea, za kuambiwa changanya na za kwako!
Rahisi sana kupotea usipotumia akili zako!
Everyday is Saturday............................... 😎
Watoto watasoma shule zitakazoendana na kipato changu