CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
We hujui kitu,watoto wetu tunawapeleka private kuanzia la kwanza had I kidato cha NNE,wakifaulu kwenda form five kwenda shule za sirikali za kata tunawapeleka ili waingie kwenye mfumo na wanakimbiza mbaya huko.Kufaulu maisha?
Ushauri mzuri mkuu,Hakikisha awachallenge kimaisha pia, sio amalize degree na ma AAA yake uanze kumlisha ugali akiwa 30yrs hapo kwako.😁😁😁 sababu hana pa kupeleka cheti apate chochote kitu.
Kuna wazazi wanapata stress ikifika kipindi cha kulipa ada mpaka wanatia huruma.
Kuna mtoto amekaa wiki tatu hajaenda shule tatizo ada.
Mwingine alikuwa analalamika hela imekuwa ngumu plus anadaiwa term ya nyuma hivo mtoto hatapokelewa atleast angekuwa anadaiwa mwaka huu mpya wa masomo wangemvumilia kidogo.
Mimi kwakweli nikija jaaliwa kama nikiona maisha yangu tia maji tia maji wala sitaki stress aende tu kayumba nitajitahidi asikose tution na kumsimamia.
Muda mwingine unakuta mtu anateseka na kumhamisha hawezi anawaza walimwengu watamuonaje.
Pata picha una watoto watatu halafu hela yenyew yamawazo lazima akili ikukae sawa.
Elimu bure chumba kimoja cha darasa watoto 300 akitoka hapo anaenda secondary ya kata kisha kidato cha tano na sita Azania kisha chuoHabari wadau..
January imeisha .. wazazi wengi walikuwa wanalalamika school fees tatizo.
Kwa maoni yangu kama mtu huna mali za kutosha, huna kampuni ya kueleweka wala huna mtaji wa kutosha... baba mzazi wewe mwenyewe unategemea ajira za laki nane ama milioni moja, kusomesha watoto wako shule za gharama sio jambo zuri.
Hakuna CEO Mtanzania ambaye ameajiriwa ambaye hayupo kwenye kampuni ya baba yake kama Mo, ambaye amesoma international schools, ama shule za bei nafuu za kiingereza ambazo tunaita english medium... tukumbuke english medium zipo Tanzania miaka kibao kama IST, Arusha school ama Olimpio.
Kuna CEO wengi wazawa kama Dada CEO wa NMB Ruth Zaipuna ama wa CRDB Majid Nsekela na wengine wengi hawajapita Olimpio wala Arusha schools enzi ambazo wanasoma msingi zilikuwepo tayari ila wamepata nafasi kubwa kwa uwezo wao binafsi wa kazi..
Mzazi ambaye huna hela za kutosha peleka mwanao shule za bei nafuu kisha msimamie mwanao vizuri, kila siku mfatilie. Hela ya ada ya kulipa Tusiime nunua asset unazozimudu mwanao zitamsaidia kuliko kumlipia ada mamilioni.
Hahahaha! We unamatatizo.Dah, yaani umeongea kama wale jamaa wa kulima matikiti kwenye pdf.
[emoji3]Habari wadau..
January imeisha .. wazazi wengi walikuwa wanalalamika school fees tatizo.
Kwa maoni yangu kama mtu huna mali za kutosha, huna kampuni ya kueleweka wala huna mtaji wa kutosha... baba mzazi wewe mwenyewe unategemea ajira za laki nane ama milioni moja, kusomesha watoto wako shule za gharama sio jambo zuri.
Hakuna CEO Mtanzania ambaye ameajiriwa ambaye hayupo kwenye kampuni ya baba yake kama Mo, ambaye amesoma international schools, ama shule za bei nafuu za kiingereza ambazo tunaita english medium... tukumbuke english medium zipo Tanzania miaka kibao kama IST, Arusha school ama Olimpio.
Kuna CEO wengi wazawa kama Dada CEO wa NMB Ruth Zaipuna ama wa CRDB Majid Nsekela na wengine wengi hawajapita Olimpio wala Arusha schools enzi ambazo wanasoma msingi zilikuwepo tayari ila wamepata nafasi kubwa kwa uwezo wao binafsi wa kazi..
Mzazi ambaye huna hela za kutosha peleka mwanao shule za bei nafuu kisha msimamie mwanao vizuri, kila siku mfatilie. Hela ya ada ya kulipa Tusiime nunua asset unazozimudu mwanao zitamsaidia kuliko kumlipia ada mamilioni.
Habari wadau..

Umeongea maneno makubwa sana mkuu..Habari wadau..

Mzazi unaishi mjini hao ng'ombe utawatunzia wapi? Kama umeajiriwa hao ng'ombe nani ataangalia..? So unaandika andika tu mkuu, siyo rahisi kiivyoSehemu tulipowezwa ni hapa..
Mtoto wako, anakuja kuishi Tanzania hiii hiii unahangaika awe mzungu..hahaha.. na anafundishwa matatizo ya kizungu, kwa lugha ya kizungu..akitoka huko ameshakuwa mzungu anakuja kwa watanzania mtaani anaanza moja.. 🙂
Na cha kufurahisha ni sisi wazazi ndio tunakuwa tumewanunulia watoto wetu hiyo delay huku mtaani. Elimu tuliyomnunulia ndio imekuwa kikwazo..
Bora kila mwaka ungekuwa unamnunulia mtoto ng'ombe nne.. anasoma shule ya laki tano kwa Temu.. akija kumaliza shule anakuwa na ng'ombe 68, ukiweka kuzaa na kufa hakosi ng'ombe 100 kwenye kipindi cha miaka 16 ya kusomea elimu.
Na elimu yenyewe ndio imekuwa uchuro uchoro mtupu
Utamjenga vip kijana wako aje kuwa mwanaume bora? Hiyo ni changamoto yako ..kama umeanza kumnyoa maviduku, anapiga ma kata k mapema mzee hapo unampoteza ..nimesema tu ..Uzuri tumejifunza kitu the hard way, ukikosa pesa huthaminiki! Hili ndio kosa la kwanza kurekebisha kwa watoto wetu ambao ndio generation ijayo. [emoji23][emoji23][emoji23] Cheti bila pesa ni Utopolo tu! Kijana wangu asije kushindwa kuchakata mama kali bure kwa kigezo hana mawe akae kinyonge staki kabisa huo upumbavu! Elimu atapata ila lazma awe na mzigo pia. Nitahakikisha hilo!
Usichanganye kipaji na elimu, uko umeenda mbali kwani Diamond ana hata Diploma? Lakini ni Millionaire anawazidi maisha Maprofesa wote wa Tanzania.Uzuri tumejifunza kitu the hard way, ukikosa pesa huthaminiki! Hili ndio kosa la kwanza kurekebisha kwa watoto wetu ambao ndio generation ijayo. [emoji23][emoji23][emoji23] Cheti bila pesa ni Utopolo tu! Kijana wangu asije kushindwa kuchakata mama kali bure kwa kigezo hana mawe akae kinyonge staki kabisa huo upumbavu! Elimu atapata ila lazma awe na mzigo pia. Nitahakikisha hilo!
Mayweather anasemekana hana shule ila hakuna mpuuzi ambaye anaweza kuonesha aina yeyote ya dharau kwake!
Katika maisha kila mmoja anacho akipendacho kila mtu ampeleke mwanae shule anayopenda na hata Kama Ni ya zaid ya m 3,so wote tupelake kwa elimu bure,na pia hii husaidia walimu wetu waliokosa ajira serikali Ni kupata ajira katika hizi shule za private sector hivo mi sioni tatizo kuwapeleka ukoTrue.. mtu analipa milioni 3 ama nne kwa mwaka ili mwanae ajue kiingereza tu... huku sylabus anayofundishwa mwanae wa tusiime ni ile ile ambayo wa elimu bure anafundishwa. Tofauti ni lugha tu.
Tatizo la elimu yetu ni sylabus.. jaribu kuwaza hiyo milion 3 kila mwaka mnunulie kiwanja ndani ya miaka 7 atakuwa na asset kiasi gani huyo mtoto.
Mtoto atakuwa na uhakika wa kupata elimu ya juu ama basic need hata kama mzazi umefariki...
Mimi nilisoma shule ya Serikali miaka ile ya utawala kipindi cha kwanza cha Mwinyi. Kipindi kile, shule bora kabisa zilikuwa ni za Serikali na Seminari. Shule binafsi zilizoitwa za Wazazi hazikuwa zinafaulisha. Shule niliyosoma ilikuwa na mikondo minne ya watoto 45 kila darasa. Leo hali ikoje, kama mtoto wako hajitambui kusoma shule ya Serikali uwezekano wa kupata IV au 0 ni mkubwa sana ila shule za makanisa zinazosimamiwa vizuri uhakika wa mtoto kupa Div 1 - III ni mkubwa sana; ndio kusema wanaowapeleka watoto wao hizo shule ni maamuzi sahihi kama ada si tatizoHabari wadau..
January imeisha .. wazazi wengi walikuwa wanalalamika school fees tatizo.
Kwa maoni yangu kama mtu huna mali za kutosha, huna kampuni ya kueleweka wala huna mtaji wa kutosha... baba mzazi wewe mwenyewe unategemea ajira za laki nane ama milioni moja, kusomesha watoto wako shule za gharama sio jambo zuri.
Hakuna CEO Mtanzania ambaye ameajiriwa ambaye hayupo kwenye kampuni ya baba yake kama Mo, ambaye amesoma international schools, ama shule za bei nafuu za kiingereza ambazo tunaita english medium... tukumbuke english medium zipo Tanzania miaka kibao kama IST, Arusha school ama Olimpio.
Kuna CEO wengi wazawa kama Dada CEO wa NMB Ruth Zaipuna ama wa CRDB Majid Nsekela na wengine wengi hawajapita Olimpio wala Arusha schools enzi ambazo wanasoma msingi zilikuwepo tayari ila wamepata nafasi kubwa kwa uwezo wao binafsi wa kazi..
Mzazi ambaye huna hela za kutosha peleka mwanao shule za bei nafuu kisha msimamie mwanao vizuri, kila siku mfatilie. Hela ya ada ya kulipa Tusiime nunua asset unazozimudu mwanao zitamsaidia kuliko kumlipia ada mamilioni.
Sikuelewi unaposema mtoto wako wa Std 7 medium School Ana m Challenge Mtu wa A Level za Kata !!!
Mtu wa Combination gani ipi hasa.
Kweli?
Nyie mnaokaa mijini mimi niko mbwinde kilindi huku.. pigania wanao.. sio fedha yao yote unampelekea mtu awape cheti.. ukishindwa ng'ombe wapandie shamba la miti, watunzie bank hiyo milioni mbili kila mwaka, wanunulie hisa... Wanunulie ardhi.. wajengee .. sio pesa yote unapeleka apate elimu.. halafu akitoka mnakaa mnaangaliana.. ukipanda ujue kuna palizi na baadae kuna kuvuna.. sio unapanda halafu unaenda.. mazao yatadumaa, na mwisho yataoozea shambaniMzazi unaishi mjini hao ng'ombe utawatunzia wapi? Kama umeajiriwa hao ng'ombe nani ataangalia..? So unaandika andika tu mkuu, siyo rahisi kiivyo
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Unajichanganya au umechanganyikiwa na hoja yako!!Utakuta mtu ni kapuku kabisa, hana chochote nae anashindana na wenzie mtaani kupeleka mtoto shule za kurudishwa na gari.
Ukimuuliza kwa nini usisomeshe mtoto shule ya kawaida?
Anasema siwezi kumsomesha mwanangu shule kama nilizosoma Mimi..
Sasa kama shule hizo za kayumba hazina msaada mbona wewe sasa unaweza kumsomesha mwanao,,shule ya gharama kubwa?
Je kama shule uliyosoma haikukusaidia ungewezaje kupata kazi nzr ya kuweza kumsomesha mwanao shule ya gharama Leo?
Kiingereza mkuu😂😂Anawachallenge kwa lugha hiyo ya kigeni au na kwenye Hisabati, Fizikia, Chemia na mengineyo?