Kama siyo mlemavu sikushauri utumie choo cha kukaa nyumbani kwako

Hujajibu hoja hata moja ya mwandishi. Hata kama ameandika uongo ila wewe ndio umeonesha ujinga zaidi.

Unampinga kwa kumshambulia badala ya kupangua taarifa yake
 
Binafsi naona Afrika huwa tuna complication nyingi sana linapokuja suala la mfumo mpya, Wakati self zinaanza miaka ya 70, vyoo kujengwa ndani ya nyumba(self) ilikuwa hivi hivi. Mara kuna madhara, magonjwa, kuna jamii zilifika mbali ulionekana mchawi ukijisaidia ndani. Leo hadi vijijini babu chumba chake kawekewa choo ndani na anaona sawa tu.

Nature haidanganyi, kama kitu kina madhara kikitumika kwa wingi utajionea mwenyewe na utalazimika kuacha. Huko tuendako inawezekana vyoo vya shimo vitabaki historia na maisha yataendelea vizuri tu. Unless Nature ikatae katika uhalisia na kuibuke tatizo jamii ishuhudie.

Kuna jamii tangu kuzaliwa mpaka uzeeni hajawahi kuona choo cha kuchuchumaa na wanaishi miaka mingi tu.
 
Hupaswi kutumia simu au kusoma gazeti ukiwa unajisaidia kwasababu lile tukio la kujisaidi linahusisha ubongo kama swichi ya kufungua sehemu ya haja ifunguke!

Unapotumia simu hiyo switch kwenye ubongo unaipa tabu sana
Huuu uongo umepita kiasi. Msiwe mnafikia hatua hii ya kudanganya watu. Siyo wote vilaza humu.
 
Hupaswi kutumia simu au kusoma gazeti ukiwa unajisaidia kwasababu lile tukio la kujisaidi linahusisha ubongo kama swichi ya kufungua sehemu ya haja ifunguke!

Unapotumia simu hiyo switch kwenye ubongo unaipa tabu sana
we unakalama ya uongo
ko ukisoma gazet nyaa haitoki?

au upo wale waganga tiba asili wewe
 
Gari ya auto ilibuniwa kwa ajili ya walemavu lakini leo hii ndio gari bora zaidi.
Choo cha kukaa ni bora ndugu yangu.

Hiki choo kinakidhi mahitaji ya walemavu, wagonjwa, wajawazito na watu wazima.

Fanya utakavyoweza nyumbani usikose choo cha Kukaa.
Narudia tena

Choo cha kukaa ni bora kuliko choo cha kuchuchumaa. Kipo reliable kwa watu wengi zaidi ukilinganisha na choo cha kuchuchumaa
 
Ubora wa kitu unaupimaje wewe! Kwa muonekano au huduma?
Lengo la kujisaidia ni kutoa uchafu tumboni kwa usalama pasipo kuharibu via vingine
 
Hujajibu hoja hata moja ya mwandishi. Hata kama ameandika uongo ila wewe ndio umeonesha ujinga zaidi.

Unampinga kwa kumshambulia badala ya kupangua taarifa yake
Hakuna hoja ya kujibu hapo. Wewe mwenye akili ndogo ndio unaweza kuona kama kuna hoja ya kujibu, hakuna hoja yoyote hapo. Hizo ni hisia tu na maoni ya mtoa mada.
 
Wewe ni fundi umeme. lakini mbona umetoa ushauri wa kitabibu? Au ni daktari pia?
 
Point hapa ni namna unapojisaidia
Kukata gogo, kitaalam ukichuchumaaa mzigo ndy unatoka vzr

Ova
 
Ukiona unapata tabu kutumia choo cha kuchuchumaa ujue kabisa mwili wako hauko sawa,
 
Unajua binadamu tumeumbwa kwa kushikanishwa vipande viwili na si makalio tu, bonyeza sehemu ya juu katikati ya sura yako utakuta kuna kama ufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…