Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ya wazungu walishapanuliwaKwamba maumbile ya muafrika na watu wa asia ni tofauti kwenye kufunguka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya wazungu walishapanuliwaKwamba maumbile ya muafrika na watu wa asia ni tofauti kwenye kufunguka?
Hujajibu hoja hata moja ya mwandishi. Hata kama ameandika uongo ila wewe ndio umeonesha ujinga zaidi.Hapo aliposema mwafrika ndio nimemtoa akili kabisa na kuishia hapo kwenye kusoma.
Actually huu ni ushauri wa kitaahira tu alioutoa mtoa mada.
Mwisho atasema hata touch screen phone ziliundwa kwa ajili ya wakoma, kama sio mkoma tulia feature phones ama za battan.
Ni mawazo ya watu wajinga, wasio na exposure yoyote na walio na elimu ndogo.
Hahahaha.....hiyo ni hatari.....sikuzingatia hilo.....😃 😃 😃 vingi Porcelain ni ya kichina, vinabomoka na kukuchana chana matako
Binafsi naona Afrika huwa tuna complication nyingi sana linapokuja suala la mfumo mpya, Wakati self zinaanza miaka ya 70, vyoo kujengwa ndani ya nyumba(self) ilikuwa hivi hivi. Mara kuna madhara, magonjwa, kuna jamii zilifika mbali ulionekana mchawi ukijisaidia ndani. Leo hadi vijijini babu chumba chake kawekewa choo ndani na anaona sawa tu.Hapa hatukatai muonekani wa choo cha kukaa!
Tunachokikataa ni ile dhana ya kujisaidia ukiwa umekaa!
Ni kweli zamani vyoo vilikuwa vya mashimo, juu ya miti, hata vichakani! Ustaarabu ulipokuja ukaja na choo cha kuchuchumaa pasipo kuharibu ile dhana asilia ya maumbile!
Ndiyo maana kiufundi bado tunakushauri kwenye hicho choo cha kukaa unaweza kuweka side bench ili uweze kupanda na kuchuchumaa!
Teknolojia iliyobora ni ile inayoendana na maumbile
Huuu uongo umepita kiasi. Msiwe mnafikia hatua hii ya kudanganya watu. Siyo wote vilaza humu.Hupaswi kutumia simu au kusoma gazeti ukiwa unajisaidia kwasababu lile tukio la kujisaidi linahusisha ubongo kama swichi ya kufungua sehemu ya haja ifunguke!
Unapotumia simu hiyo switch kwenye ubongo unaipa tabu sana
we unakalama ya uongoHupaswi kutumia simu au kusoma gazeti ukiwa unajisaidia kwasababu lile tukio la kujisaidi linahusisha ubongo kama swichi ya kufungua sehemu ya haja ifunguke!
Unapotumia simu hiyo switch kwenye ubongo unaipa tabu sana
Gari ya auto ilibuniwa kwa ajili ya walemavu lakini leo hii ndio gari bora zaidi.Mimi kama Fundi ujenzi na umeme pokea ushauri wangu!
Watu wengi sana wanaamini choo cha kukaa ni bora zaidi! Ukweli ni kwamba choo cha kukaa kilibuniwa kwa mara ya kwanza ili kukidhi mahitaji ya walemavu na wazee wasioweza kuchuchumaa!
Maumbile ya mwanadamu hususani mwafrika yanafunguka vizuri zaidi anapochuchumaa ili kujisaidia kuliko akikaa!
Sehemu za haja zimeumbiwa seal (mfuniko) ambao ili ufunguke ni lazima binadamu achuchumae ndipo swichi iliyopo kwenye ubongo iruhusu kusukuma uchafu (haja).
Hilo kufanyika kinyume chake ni sawa na kuulazimisha kukata kifuniko hicho kwa nguvu (seal)
Ambapo ni hatari sana kiafya!
Miongoni mwa madhara yanayoweza kumpata binadamu kwa kutumia choo cha kukaa!
1. Kukata au kulegeza seal kifuniko cha haja kubwa
2. Inaweza sababisha BAWASIRI
3. Haimalizi haja hususani kwa watu wasiyokunywa maji mengi
Faida za kuchuchumaa wakati kujisaidia
1. Mwili ndivyo ulivyoumbwa ndiyo maana makalio yaligawanywa pande mbili ili uchuchumae
2. Ni sehemu pekee ya kuupa mwili mazoezi
3. Ni kipimo cha kujitathimini afya ya uzito na mifupa (ukiweza kuchuchumaa na kunyanyuka kirahisi)
4. Humaliza haja yote
Kipi kifanyike ili kulinda muonekano mzuri wa choo
1. Kwa watumiaji wa vyoo vya kuchuchumaa vipo vifuniko vizuri vinavyeleta muonekano mzuri chumbani
2. Kwa watumiaji wa choo cha kukaa, zipo bench au Vikanyagio vya pembeni ambavyo unaweza kuviweka kwenye choo chako pembeni ili kukusaidia kukanyaga na ukajisaidia pasipo kukaa! (Na vikanyagio hivyo unaweza kuvitoa wakati wowote ukihitaji maana ni vya kusogeza kama viti) ili muonekano wa chumba chako ubaki na hadhi ileile!
Hata kama una fundi wako ni bora zaidi kumtumia Samico Tanzania kama rafiki mshauri kwenye ujenzi na umeme!
View attachment 2886667
Ubora wa kitu unaupimaje wewe! Kwa muonekano au huduma?Gari ya auto ilibuniwa kwa ajili ya walemavu lakini leo hii ndio gari bora zaidi.
Choo cha kukaa ni bora ndugu yangu.
Hiki choo kinakidhi mahitaji ya walemavu, wagonjwa, wajawazito na watu wazima.
Fanya utakavyoweza nyumbani usikose choo cha Kukaa.
Narudia tena
Choo cha kukaa ni bora kuliko choo cha kuchuchumaa. Kipo reliable kwa watu wengi zaidi ukilinganisha na choo cha kuchuchumaa
Hakuna hoja ya kujibu hapo. Wewe mwenye akili ndogo ndio unaweza kuona kama kuna hoja ya kujibu, hakuna hoja yoyote hapo. Hizo ni hisia tu na maoni ya mtoa mada.Hujajibu hoja hata moja ya mwandishi. Hata kama ameandika uongo ila wewe ndio umeonesha ujinga zaidi.
Unampinga kwa kumshambulia badala ya kupangua taarifa yake
Wewe ni fundi umeme. lakini mbona umetoa ushauri wa kitabibu? Au ni daktari pia?Mimi kama Fundi ujenzi na umeme pokea ushauri wangu!
Watu wengi sana wanaamini choo cha kukaa ni bora zaidi! Ukweli ni kwamba choo cha kukaa kilibuniwa kwa mara ya kwanza ili kukidhi mahitaji ya walemavu na wazee wasioweza kuchuchumaa!
Maumbile ya mwanadamu hususani mwafrika yanafunguka vizuri zaidi anapochuchumaa ili kujisaidia kuliko akikaa!
Sehemu za haja zimeumbiwa seal (mfuniko) ambao ili ufunguke ni lazima binadamu achuchumae ndipo swichi iliyopo kwenye ubongo iruhusu kusukuma uchafu (haja).
Hilo kufanyika kinyume chake ni sawa na kuulazimisha kukata kifuniko hicho kwa nguvu (seal)
Ambapo ni hatari sana kiafya!
Miongoni mwa madhara yanayoweza kumpata binadamu kwa kutumia choo cha kukaa!
1. Kukata au kulegeza seal kifuniko cha haja kubwa
2. Inaweza sababisha BAWASIRI
3. Haimalizi haja hususani kwa watu wasiyokunywa maji mengi
Faida za kuchuchumaa wakati kujisaidia
1. Mwili ndivyo ulivyoumbwa ndiyo maana makalio yaligawanywa pande mbili ili uchuchumae
2. Ni sehemu pekee ya kuupa mwili mazoezi
3. Ni kipimo cha kujitathimini afya ya uzito na mifupa (ukiweza kuchuchumaa na kunyanyuka kirahisi)
4. Humaliza haja yote
Kipi kifanyike ili kulinda muonekano mzuri wa choo
1. Kwa watumiaji wa vyoo vya kuchuchumaa vipo vifuniko vizuri vinavyeleta muonekano mzuri chumbani
2. Kwa watumiaji wa choo cha kukaa, zipo bench au Vikanyagio vya pembeni ambavyo unaweza kuviweka kwenye choo chako pembeni ili kukusaidia kukanyaga na ukajisaidia pasipo kukaa! (Na vikanyagio hivyo unaweza kuvitoa wakati wowote ukihitaji maana ni vya kusogeza kama viti) ili muonekano wa chumba chako ubaki na hadhi ileile!
Hata kama una fundi wako ni bora zaidi kumtumia Samico Tanzania kama rafiki mshauri kwenye ujenzi na umeme!
View attachment 2886667
Point hapa ni namna unapojisaidiaGari ya auto ilibuniwa kwa ajili ya walemavu lakini leo hii ndio gari bora zaidi.
Choo cha kukaa ni bora ndugu yangu.
Hiki choo kinakidhi mahitaji ya walemavu, wagonjwa, wajawazito na watu wazima.
Fanya utakavyoweza nyumbani usikose choo cha Kukaa.
Narudia tena
Choo cha kukaa ni bora kuliko choo cha kuchuchumaa. Kipo reliable kwa watu wengi zaidi ukilinganisha na choo cha kuchuchumaa
Ukiona unapata tabu kutumia choo cha kuchuchumaa ujue kabisa mwili wako hauko sawa,Mimi kama Fundi ujenzi na umeme pokea ushauri wangu.
Watu wengi sana wanaamini choo cha kukaa ni bora zaidi. Ukweli ni kwamba choo cha kukaa kilibuniwa kwa mara ya kwanza ili kukidhi mahitaji ya walemavu na wazee wasioweza kuchuchumaa.
Maumbile ya mwanadamu hususani mwafrika yanafunguka vizuri zaidi anapochuchumaa ili kujisaidia kuliko akikaa.
Sehemu za haja zimeumbiwa seal (mfuniko) ambao ili ufunguke ni lazima binadamu achuchumae ndipo swichi iliyopo kwenye ubongo iruhusu kusukuma uchafu (haja).
Hilo kufanyika kinyume chake ni sawa na kuulazimisha kukata kifuniko hicho kwa nguvu (seal)
Ambapo ni hatari sana kiafya.
Miongoni mwa madhara yanayoweza kumpata binadamu kwa kutumia choo cha kukaa;
1. Kukata au kulegeza seal kifuniko cha haja kubwa
2. Inaweza sababisha Bawasiri
3. Haimalizi haja hususani kwa watu wasiyokunywa maji mengi
Faida za kuchuchumaa wakati kujisaidia;
1. Mwili ndivyo ulivyoumbwa ndiyo maana makalio yaligawanywa pande mbili ili uchuchumae
2. Ni sehemu pekee ya kuupa mwili mazoezi
3. Ni kipimo cha kujitathimini afya ya uzito na mifupa (ukiweza kuchuchumaa na kunyanyuka kirahisi)
4. Humaliza haja yote
Kipi kifanyike ili kulinda muonekano mzuri wa choo;
1. Kwa watumiaji wa vyoo vya kuchuchumaa vipo vifuniko vizuri vinavyeleta muonekano mzuri chumbani
2. Kwa watumiaji wa choo cha kukaa, zipo bench au Vikanyagio vya pembeni ambavyo unaweza kuviweka kwenye choo chako pembeni ili kukusaidia kukanyaga na ukajisaidia pasipo kukaa! (Na vikanyagio hivyo unaweza kuvitoa wakati wowote ukihitaji maana ni vya kusogeza kama viti) ili muonekano wa chumba chako ubaki na hadhi ileile
Elimu ya bure hii tumezawadiwa bila ghiyana.
Unajua binadamu tumeumbwa kwa kushikanishwa vipande viwili na si makalio tu, bonyeza sehemu ya juu katikati ya sura yako utakuta kuna kama ufa.Mimi kama Fundi ujenzi na umeme pokea ushauri wangu.
Watu wengi sana wanaamini choo cha kukaa ni bora zaidi. Ukweli ni kwamba choo cha kukaa kilibuniwa kwa mara ya kwanza ili kukidhi mahitaji ya walemavu na wazee wasioweza kuchuchumaa.
Maumbile ya mwanadamu hususani mwafrika yanafunguka vizuri zaidi anapochuchumaa ili kujisaidia kuliko akikaa.
Sehemu za haja zimeumbiwa seal (mfuniko) ambao ili ufunguke ni lazima binadamu achuchumae ndipo swichi iliyopo kwenye ubongo iruhusu kusukuma uchafu (haja).
Hilo kufanyika kinyume chake ni sawa na kuulazimisha kukata kifuniko hicho kwa nguvu (seal)
Ambapo ni hatari sana kiafya.
Miongoni mwa madhara yanayoweza kumpata binadamu kwa kutumia choo cha kukaa;
1. Kukata au kulegeza seal kifuniko cha haja kubwa
2. Inaweza sababisha Bawasiri
3. Haimalizi haja hususani kwa watu wasiyokunywa maji mengi
Faida za kuchuchumaa wakati kujisaidia;
1. Mwili ndivyo ulivyoumbwa ndiyo maana makalio yaligawanywa pande mbili ili uchuchumae
2. Ni sehemu pekee ya kuupa mwili mazoezi
3. Ni kipimo cha kujitathimini afya ya uzito na mifupa (ukiweza kuchuchumaa na kunyanyuka kirahisi)
4. Humaliza haja yote
Kipi kifanyike ili kulinda muonekano mzuri wa choo;
1. Kwa watumiaji wa vyoo vya kuchuchumaa vipo vifuniko vizuri vinavyeleta muonekano mzuri chumbani
2. Kwa watumiaji wa choo cha kukaa, zipo bench au Vikanyagio vya pembeni ambavyo unaweza kuviweka kwenye choo chako pembeni ili kukusaidia kukanyaga na ukajisaidia pasipo kukaa! (Na vikanyagio hivyo unaweza kuvitoa wakati wowote ukihitaji maana ni vya kusogeza kama viti) ili muonekano wa chumba chako ubaki na hadhi ileile
View attachment 2886667
Amekuambia ni mjenzi, ninadhani huyu ni yule fundi Maiko( Michael).Mtoa mada anajua sana kupangilia mawazo. Ninakumbuka alivyotiririka suala la janga la Mlima Hanang na uzoefu wake.
Acha ushambaMimi huwaga nikikuta choo cha kukaa huwaga napanda hapo nachuchuma kisha nashusha mzigo