Kama taarifa hizi za 'Hujuma' inayofanyiwa Simba na Yanga ni kweli, hatua kali zichukuliwe

Weka hapa hiyo video nasi tuweze kuiona, na kama hilo limetokea basi lengo la hao watu linaweza kuwa ni kupata faida kwa kuuza hizo tiketi kwa bei kubwa zaidi ya aliyonunua yeye kwasababu kutakuwa na uhitaji mkubwa siku ya mechi
Amesema wazi wamefanya hivyo ili uwanja usijae ili kuikomoa Simba kwa hiyo sidhani kama nia ni kuuza hizo tiketi.

Ingia youtube channel ya finest online mahojiano ya jana na mshabiki mwenzenu yule anayepigaga vigeregere simjui jina lake.
 
Si yanga tunataka mpira baina yetu na Simba na tawi lao pendwa Azam uwe vita kamili kama Boca na River plate na upande wetu tumeishatangaza tayari msimu huu ni WA vita
 
Kuna taarifa (si rasmi bado naendelea Kuzichunguza) zinadai kuwa Tiketi nyingi za 'Simba Day' zilizonunuliwa huku Uongozi wa Simba SC ukifurahia SOLD OUT yake wakiamini kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utajaa hadi Pomoni Keshokutwa zimenunuliwa na Matajiri wenye UMAFIA wa Yanga SC kwa Makusudi ili Mashabiki wa Simba SC wakose Tiketi na Uwanja usijae kisha Simba SC Waumbuke na Wachekwe kwani kama kweli Uwanja ukijaa (Nyomi likiwa ni la Kufa Mtu) kwa Mkapa hadi Uhuru itakuwa ni Fedheha (Aibu) kubwa kwa wana Yanga na Klabu yao ya Yanga SC inayojinasibu kuwa na Mafanikio makubwa ya ndani na nje ya Uwanja.

Hivyo basi GENTAMYCINE nichukue nafasi hii Kuuomba Uongozi wa Simba SC na hata Watendaji wa Serikali na Vyombo vyake muhimu (hasa Watu wa TISS) kulifuatilia na kulichunguza na kama lina Ukweli basi ni muda sahihi sasa kwa Klabu ya Yanga kuchukuliwa Hatua kwani wanachokifanya sasa (kama hii taarifa ni ya kweli) siyo Uungwana na Uanamichezo bali ni Vita rasmi ya Ugaidi Michezoni (Mpirani) na ikiachwa ipo Siku itatupeleka kubaya na Mpira Wetu utakuwa ni Vita Kamili na siyo Burudani tena kama lilivyo Lengo Mama la wenye Mamlaka nao (nalo) akina FIFA Kidunia na CAF kwa Afrika.

Tutaniane, ila tusileteane Uhuni!!!
Si waache milango wazi tu ili watu waingie kwa kuwa wameshalipiwa?
Simba na Yanga ni ndugu na Yanga wapo tayari kufanya lolote ili Simba iendelee kufanikiwa.
 
Amesema wazi wamefanya hivyo ili uwanja usijae ili kuikomoa Simba kwa hiyo sidhani kama nia ni kuuza hizo tiketi.

Ingia youtube channel ya finest online mahojiano ya jana na mshabiki mwenzenu yule anayepigaga vigeregere simjui jina lake.
Nimejaribu kucheck hiyo video, ni tambo tu za utani wa jadi. Anayefanya tukio baya ajitangazi mapema hivyo. Na hakuna uthibitisho kuwa kweli mashabiki wa Yanga wamenunua hizo tiketi
 
Wewe umetaka uthibitisho nimekupa. Hayo mengine ni ya kudhania tu ila maneno yake na hizo kadi kaonyesha. Watu wa kutumia 20M au 40M kwenye masuala haya ya kutambiana kwenye mpira wapo kwa hiyo lolote linawezekana.
 
Kuna taarifa (si rasmi bado naendelea Kuzichunguza) zinadai kuwa Tiketi nyingi za 'Simba Day' zilizonunuliwa huku Uongozi wa Simba SC ukifurahia SOLD OUT yake wakiamini kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utajaa hadi Pomoni Keshokutwa zimenunuliwa na Matajiri wenye UMAFIA wa Yanga SC kwa Makusudi ili Mashabiki wa Simba SC wakose Tiketi na Uwanja usijae kisha Simba SC Waumbuke na Wachekwe kwani kama kweli Uwanja ukijaa (Nyomi likiwa ni la Kufa Mtu) kwa Mkapa hadi Uhuru itakuwa ni Fedheha (Aibu) kubwa kwa wana Yanga na Klabu yao ya Yanga SC inayojinasibu kuwa na Mafanikio makubwa ya ndani na nje ya Uwanja.

Hivyo basi GENTAMYCINE nichukue nafasi hii Kuuomba Uongozi wa Simba SC na hata Watendaji wa Serikali na Vyombo vyake muhimu (hasa Watu wa TISS) kulifuatilia na kulichunguza na kama lina Ukweli basi ni muda sahihi sasa kwa Klabu ya Yanga kuchukuliwa Hatua kwani wanachokifanya sasa (kama hii taarifa ni ya kweli) siyo Uungwana na Uanamichezo bali ni Vita rasmi ya Ugaidi Michezoni (Mpirani) na ikiachwa ipo Siku itatupeleka kubaya na Mpira Wetu utakuwa ni Vita Kamili na siyo Burudani tena kama lilivyo Lengo Mama la wenye Mamlaka nao (nalo) akina FIFA Kidunia na CAF kwa Afrika.

Tutaniane, ila tusileteane Uhuni!!!
kama yanga wanafanya ni wapumbavu japo ni timu yangu
 
acha kupoteza muda kama ni sold out unafungua mageti watu wanaingia bure Tena unatangaza mapema mida ya saa saba utajaa tu
 
Mbona hilo suala dogo sana. Simba nendeni kanunueni vile vitikiketi vidogo vidogo vya dala dala mkae navyo kwenye kona za kuingilia uwanjani. Ikifika saa kumi uwanja hauna dalili ya kujaa basi anzemi kuwauzia watu wavitumie kuingilia uwanjani. Hapo mmepiga ndege wawili kwa jiwe moja pesa itaingia mara mbili halafu mtakuwa mmewakomesha Yanga. Wakimwaga ugali unasongwa mwingne fasta.

Ni mtizamo tu wa kifala.
 
Una akili na mawazo ya kijinga sana, unawaaibisha hadi waliyokupa tuzo. Una upuuzi mwingi sana hadi umepitiliza
Kuna watu shuleni walienda kusomea ujinga.
 
MBUMBUMBU MZUNGU WA LELI KWENYE UBORA WAKE.

KAKA UWE UNAFICHA UJINGA.
UNATIA AIBU MNO.
 
Kuna taarifa (si rasmi bado naendelea Kuzichunguza) zinadai kuwa Tiketi nyingi za 'Simba Day' zilizonunuliwa huku Uongozi wa Simba SC ukifurahia SOLD OUT yake wakiamini kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utajaa hadi Pomoni Keshokutwa zimenunuliwa na Matajiri wenye UMAFIA wa Yanga SC kwa Makusudi ili Mashabiki wa Simba SC wakose Tiketi na Uwanja usijae kisha Simba SC Waumbuke na Wachekwe kwani kama kweli Uwanja ukijaa (Nyomi likiwa ni la Kufa Mtu) kwa Mkapa hadi Uhuru itakuwa ni Fedheha (Aibu) kubwa kwa wana Yanga na Klabu yao ya Yanga SC inayojinasibu kuwa na Mafanikio makubwa ya ndani na nje ya Uwanja.

Hivyo basi GENTAMYCINE nichukue nafasi hii Kuuomba Uongozi wa Simba SC na hata Watendaji wa Serikali na Vyombo vyake muhimu (hasa Watu wa TISS) kulifuatilia na kulichunguza na kama lina Ukweli basi ni muda sahihi sasa kwa Klabu ya Yanga kuchukuliwa Hatua kwani wanachokifanya sasa (kama hii taarifa ni ya kweli) siyo Uungwana na Uanamichezo bali ni Vita rasmi ya Ugaidi Michezoni (Mpirani) na ikiachwa ipo Siku itatupeleka kubaya na Mpira Wetu utakuwa ni Vita Kamili na siyo Burudani tena kama lilivyo Lengo Mama la wenye Mamlaka nao (nalo) akina FIFA Kidunia na CAF kwa Afrika.

Tutaniane, ila tusileteane Uhuni!!!
Ninachokuhakikishia ni tiketi kutonunuliwa zote. Hizo habari zinatafuta justification ya uwanja kutojaa. Mwaka Jana Jambo hili lilitokea sehemu zikabaki na mapengo.
 
Back
Top Bottom