Kama taarifa hizi za 'Hujuma' inayofanyiwa Simba na Yanga ni kweli, hatua kali zichukuliwe

Kuna taarifa (si rasmi bado naendelea Kuzichunguza) zinadai kuwa Tiketi nyingi za 'Simba Day' zilizonunuliwa huku Uongozi wa Simba SC ukifurahia SOLD OUT yake wakiamini kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utajaa hadi Pomoni Keshokutwa zimenunuliwa na Matajiri wenye UMAFIA wa Yanga SC kwa Makusudi ili Mashabiki wa Simba SC wakose Tiketi na Uwanja usijae kisha Simba SC Waumbuke na Wachekwe kwani kama kweli Uwanja ukijaa (Nyomi likiwa ni la Kufa Mtu) kwa Mkapa hadi Uhuru itakuwa ni Fedheha (Aibu) kubwa kwa wana Yanga na Klabu yao ya Yanga SC inayojinasibu kuwa na Mafanikio makubwa ya ndani na nje ya Uwanja.

Hivyo basi GENTAMYCINE nichukue nafasi hii Kuuomba Uongozi wa Simba SC na hata Watendaji wa Serikali na Vyombo vyake muhimu (hasa Watu wa TISS) kulifuatilia na kulichunguza na kama lina Ukweli basi ni muda sahihi sasa kwa Klabu ya Yanga kuchukuliwa Hatua kwani wanachokifanya sasa (kama hii taarifa ni ya kweli) siyo Uungwana na Uanamichezo bali ni Vita rasmi ya Ugaidi Michezoni (Mpirani) na ikiachwa ipo Siku itatupeleka kubaya na Mpira Wetu utakuwa ni Vita Kamili na siyo Burudani tena kama lilivyo Lengo Mama la wenye Mamlaka nao (nalo) akina FIFA Kidunia na CAF kwa Afrika.

Tutaniane, ila tusileteane Uhuni!!!
Kwani kuna shida gani? Kama Yanga wamenunua tiketi zote, yaani 'SOLD OUT' Simba si wafungulie mageti watu waingie free, maana tayari 'mpunga' wameishaupata.
 
Weka hapa hiyo video nasi tuweze kuiona, na kama hilo limetokea basi lengo la hao watu linaweza kuwa ni kupata faida kwa kuuza hizo tiketi kwa bei kubwa zaidi ya aliyonunua yeye kwasababu kutakuwa na uhitaji mkubwa siku ya mechi
 
Kuna taarifa (si rasmi bado naendelea Kuzichunguza) zinadai kuwa Tiketi nyingi za 'Simba Day' zilizonunuliwa huku Uongozi wa Simba SC ukifurahia SOLD OUT yake wakiamini kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utajaa hadi Pomoni Keshokutwa zimenunuliwa na Matajiri wenye UMAFIA wa Yanga SC kwa Makusudi ili Mashabiki wa Simba SC wakose Tiketi na Uwanja usijae kisha Simba SC Waumbuke na Wachekwe kwani kama kweli Uwanja ukijaa (Nyomi likiwa ni la Kufa Mtu) kwa Mkapa hadi Uhuru itakuwa ni Fedheha (Aibu) kubwa kwa wana Yanga na Klabu yao ya Yanga SC inayojinasibu kuwa na Mafanikio makubwa ya ndani na nje ya Uwanja.

Hivyo basi GENTAMYCINE nichukue nafasi hii Kuuomba Uongozi wa Simba SC na hata Watendaji wa Serikali na Vyombo vyake muhimu (hasa Watu wa TISS) kulifuatilia na kulichunguza na kama lina Ukweli basi ni muda sahihi sasa kwa Klabu ya Yanga kuchukuliwa Hatua kwani wanachokifanya sasa (kama hii taarifa ni ya kweli) siyo Uungwana na Uanamichezo bali ni Vita rasmi ya Ugaidi Michezoni (Mpirani) na ikiachwa ipo Siku itatupeleka kubaya na Mpira Wetu utakuwa ni Vita Kamili na siyo Burudani tena kama lilivyo Lengo Mama la wenye Mamlaka nao (nalo) akina FIFA Kidunia na CAF kwa Afrika.

Tutaniane, ila tusileteane Uhuni!!!
Madunduka bana. Dah
 
Kumbe ni huyu,tumwache kijana bado anajitafuta kimaisha na alishaona platform yake ni hii ya kujifyatua akili kupitia kofia ya kuwa shabiki lia lia wa Yanga.Uwanja utajaa tena mapema tu na watu wataingia kwa tiketi halali walizonunua.
 
Una waha wa kipuuzi sana. Narudia, laiti ungekuwa demu mmeo angegongewa sana mtaani kwenu
 
Back
Top Bottom