Kama taarifa hizi za 'Hujuma' inayofanyiwa Simba na Yanga ni kweli, hatua kali zichukuliwe

Kwani kuna shida gani? Kama Yanga wamenunua tiketi zote, yaani 'SOLD OUT' Simba si wafungulie mageti watu waingie free, maana tayari 'mpunga' wameishaupata.
 
Kweli SAUT imepata hasara, hili nalo ni zao la SAUT
 
Weka hapa hiyo video nasi tuweze kuiona, na kama hilo limetokea basi lengo la hao watu linaweza kuwa ni kupata faida kwa kuuza hizo tiketi kwa bei kubwa zaidi ya aliyonunua yeye kwasababu kutakuwa na uhitaji mkubwa siku ya mechi
 
Madunduka bana. Dah
 
Kumbe ni huyu,tumwache kijana bado anajitafuta kimaisha na alishaona platform yake ni hii ya kujifyatua akili kupitia kofia ya kuwa shabiki lia lia wa Yanga.Uwanja utajaa tena mapema tu na watu wataingia kwa tiketi halali walizonunua.
 
Una waha wa kipuuzi sana. Narudia, laiti ungekuwa demu mmeo angegongewa sana mtaani kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…