Kama taarifa hizi za 'Hujuma' inayofanyiwa Simba na Yanga ni kweli, hatua kali zichukuliwe

Kuanzia jana na leo huko Temeke kila ukionekana umevaa nguo nyekundu unapewa ticket bila kujali ulinunua.
 
Kama ticket ya Tsh elfu 10 walishindwa kununua uwanja ukawa wazi ndo wataweza kununua ticket zote ili uwanja usijae? si wangeanza kununua za tamasha lao wagawe bure
 
Reactions: BRN
Kuna watu bongo wana pesa hazina kazi, kama we huna pambana kutafuta!
Hakuna mtu mwenye pesa hazina kazi, ndio maana hata Mo, Bakhresa na Bill gates bado wanaendelea kuzitafuta.
 
Kuanzia jana na leo huko Temeke kila ukionekana umevaa nguo nyekundu unapewa ticket bila kujali ulinunua.
Unanichukia na hunikubali halafu Kutwa ( 24/7 ) bado tu unanifuatilia hapa JamiiForums kwa ama Kuzisoma Threads
au hata Posts zangu. Mimi mbona siwashobokei?

Nashauri kwakuwa nimekuwa Chukizo Kwenu naomba msiwe hata mnawashwawashwa Kusoma Mada zangu hapa JamiiForums bali kasomeni / kazisomeni za wale mnaowana ni bora zaidi yangu na mnawakubali.

Mnaboa na Kukera...!!
 
Acha nyege kakutukania mamako wapi?mbona tusi hatulioni?wee ni hoples
Achana na Fool huyo kaja na ID yake nyingine na Kaanzisha Thread kuna natukana Mama za Watu hapa JamiiForums na naenda tena huko huko Kumjibu kwa hiyo ID yake nyingine.
 
Pumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…